Barabara kutoka Cairo Misiri hadi capetown Afrika Kusini, hapa Tanzania inakatisha mikoa ipi?

Annie X6

JF-Expert Member
Mar 16, 2023
405
751
Huu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine.
Screenshot_20240316_051620_Chrome~2.jpg


Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.
 
Dom, Moro,Iringa na Mbeya!!
Barabara ya Cairo to Capetown haipitii mkoa wa Morogoro hiyo unayotaka kusema ni barabara ya Africa mashariki na au SADCC Kwa hapa tz inatokea Kenya kupitia border ya horohoro, Tanga mjini, korogwe, handen, Kilindi, mvomero, then dumila wilaya ya kilosa baadae inaungia mikumi unakamata barabara ya Dsm mbeya
 
Anataka ajifunze ilipopita.Si kwamba atarndesha baiskeli yake aina ya "Swala" hadi Cairo!
Kwani ipo? Nachokumbuka lilikuwa wazo la mkoloni mmoja, Cecil Rhodes, kama sijakosea kwamba ijengwe. Haikuwahi kujengwa zaidi ya za kuungaunga kati ya nchi na nchi.
 
Wanakatiza Mbeya, Iringa then mtera,Dom hao Babati kwenda mbele huko wanapotea mpaka South.
Kuna jamaa alitoka na pikipiki London mpaka Cape town wiki moja.
Google "long way down"
Kapita kote hapo bongo. Rwanda,Malawi, Botswana, Morocco,.
Mpaka kafika yule mwamba.
 
Back
Top Bottom