Boniphace Jacob (Boni Yai): Mwenyekiti ajaye CHADEMA?

CCM MKAMBARANI

JF-Expert Member
Mar 15, 2017
1,403
954
Sasa ni ukweli usiofichika kuwa mabilionea ndio wenye haki CHADEMA. Twende pamoja.

Hivi karibuni kumekuwepo hisia nyingi kuhusu uwenyekiti wa jabali la siasa Mzee Mbowe [Dj mstaafu na mlinzi benki kuu]

Ukweli unaoenda kutimia ni kuwa bilionea muuza mayai ndiye mrithi aliyependekezwa na bwana Mbowe kurithi nafasi yake, jumba la Boniyai limefadhiliwa na Mbowe ili ionekane boniyai anazo pesa na sababu Chadema bila hela ni rahisi kununuliwa na serikali.

Mbowe hampendi kabisa Lissu ambaye ni mwanaharakati na debe tupu anayekigharimu chama sababu lisu hana pesa kabisa tofauti na boniyai anaye jituma kuuza mayai,hivyo siku chache zijazo Mbowe ataachia kiti.

Masikini lissu labda awahi kuinunua TLP ili aungane na Lema waliamshe dude,ila Boniyai ni chaguo la Mbowe sababu ana akili za ujasiriamali kuliko lissu,na lissu ameshalijua hilo hivyo 2025 atagombea ubunge apate pesa za kustaafia siasa.

Kazi kwenu chadema.
 
Sasa ni ukweli usiofichika kuwa mabilionea ndio wenye haki CHADEMA.Twende pamoja.

Hivi karibuni kumekuwepo hisia nyingi kuhusu uwenyekiti wa jabali la siasa Mzee Mbowe [Dj mstaafu na mlinzi benki kuu]

Ukweli unaoenda kutimia ni kuwa Bilionea muuza mayai ndiye mrithi aliyependekezwa na bwana Mbowe kurithi nafasi yake,Jumba la Boniyai limefadhiliwa na Mbowe ili ionekane boniyai anazo pesa na sababu Chadema bila hela ni rahisi kununuliwa na serikali.

Mbowe hampendi kabisa Lissu ambaye ni mwanaharakati na debe tupu anayekigharimu chama sababu lisu hana pesa kabisa tofauti na boniyai anaye jituma kuuza mayai,hivyo siku chache zijazo Mbowe ataachia kiti.

Masikini lissu labda awahi kuinunua TLP ili aungane na Lema waliamshe dude,ila Boniyai ni chaguo la Mbowe sababu ana akili za ujasiriamali kuliko lissu,na lissu ameshalijua hilo hivyo 2025 atagombea ubunge apate pesa za kustaafia siasa.

Kazi kwenu chadema.
Puppet hawezi kua chairman wa Chadema hata siku moja atosheke na alipo 🐒

boni yai akiacha kufuga midevu akawa smart anaweza kua ka kitu 🐒
 
Angalau sasa wanachama wa CHADEMA wameshaanza kujia jinsi ya michango ya Join The Chain inavyotumika. Kuhusu uenyekiti kamwe hawezi kupewa mtu nje ya familia ya Mbowe. Kwa sasa Mbowe anamwandaa mwanae James auchukue uenyekiti.
 
"Ukweli unaoenda kutimia ni kuwa bilionea muuza mayai ndiye mrithi aliyependekezwa na bwana Mbowe kurithi nafasi yake, jumba la Boniyai limefadhiliwa na Mbowe ili ionekane boniyai anazo pesa na sababu Chadema bila hela ni rahisi kununuliwa na serikali.

Mbowe hampendi kabisa Lissu ambaye ni mwanaharakati na debe tupu anayekigharimu chama sababu lisu hana pesa kabisa tofauti na boniyai anaye jituma kuuza mayai, hivyo siku chache zijazo Mbowe ataachia kiti."

Sasa👆👆 iwapo Boni anajituma, na ni mjasiriamali anayeaminika na Mbowe, iweje tena huyo Boni akajengewa na Mbowe?

Embu nyoosha maelezo!
 
Atapatikana mwenyekiti stahiki wakati ukifika na yeyote yule anaweza kuchaguliwa.
Kwa sasa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ndio kipau mbele cha CDM sio uenyekiti.
 
Sasa ni ukweli usiofichika kuwa mabilionea ndio wenye haki CHADEMA. Twende pamoja.

Hivi karibuni kumekuwepo hisia nyingi kuhusu uwenyekiti wa jabali la siasa Mzee Mbowe [Dj mstaafu na mlinzi benki kuu]

Ukweli unaoenda kutimia ni kuwa bilionea muuza mayai ndiye mrithi aliyependekezwa na bwana Mbowe kurithi nafasi yake, jumba la Boniyai limefadhiliwa na Mbowe ili ionekane boniyai anazo pesa na sababu Chadema bila hela ni rahisi kununuliwa na serikali.

Mbowe hampendi kabisa Lissu ambaye ni mwanaharakati na debe tupu anayekigharimu chama sababu lisu hana pesa kabisa tofauti na boniyai anaye jituma kuuza mayai,hivyo siku chache zijazo Mbowe ataachia kiti.

Masikini lissu labda awahi kuinunua TLP ili aungane na Lema waliamshe dude,ila Boniyai ni chaguo la Mbowe sababu ana akili za ujasiriamali kuliko lissu,na lissu ameshalijua hilo hivyo 2025 atagombea ubunge apate pesa za kustaafia siasa.

Kazi kwenu chadema.
Jf ya sasa imevamiwa na aina ya watu wapumbavu sana
 
Angalau sasa wanachama wa CHADEMA wameshaanza kujia jinsi ya michango ya Join The Chain inavyotumika. Kuhusu uenyekiti kamwe hawezi kupewa mtu nje ya familia ya Mbowe. Kwa sasa Mbowe anamwandaa mwanae James auchukue uenyekiti.
Mzee nakwambia hivi pesa za join the chain zimeliwa balaa,boni yai kashirikiana na Mnyika kuzipiga na mtu anayezungukwa ni Lissu
 
anajitahidi
Ni moja ya wanachadema wenye consistency ua uchadema. Ila hekima bado sijui kama anazo za kutosha. Sina uhakika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom