Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Palikuwa na habari humu kumhusu mchungaji wa kanisa la wasabato na ofisa wa Takukuru kahama...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta nini chanzo cha kukatika umeme maana wananchi tunateseka sana mboga zetu zinachacha kwenye mafriji sisi wafanya biashara wa...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwa miaka 4 sasa tangu Godbless Lema awe Mbunge wa Arusha, nimekuwa nikivutiwa na hotuba zake, nikimfuatilia na kumjifunza kwa karibu. Baada ya kumfuatilia nimegundua sababu moja kubwa ya...
10 Reactions
124 Replies
16K Views
Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amemtaka mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche kusitisha mjadala kuhusu mradi wa kufua umeme wa Bonde la Mto Rufiji, Stiegler's Gorge hadi hapo...
12 Reactions
88 Replies
17K Views
Mheshimiwa Waziri, kwa heshima kubwa nakuomba uangalie kinachoendelea OFISI ZA NIDA TEMEKE, ni rushwa pamoja lugha chafu kwa watumishi wake. Mara nyingi tunapotoa malalamiko huwa wanasema ni wivu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwanaharakati Nguli na mtetezi wa Wanyonge nchini Dr Mdude Nyagali ameungana na Tundu Lisu kukiri hadharani kwamba Shujaa Magufuli alikuwa Mzalendo Mdude anasema hata Sabaya aliwahi kuhoji...
30 Reactions
200 Replies
11K Views
Wadau nawasabahi. Wakati umefika sasa wa kufanya Maamuzi Magumu ya KUIGAWANYA TANESCO. Tumekuwa tunawabadilisha MAWAZIRI WAKURUGENZI na BODI lakini MATATIZO ya TANESCO yapo pale pale na hiyo...
2 Reactions
8 Replies
871 Views
Kwa miezi sasa nchi imekuwa ikisumbuliwa na mgao wa umeme Leo nimeamka na taarifa za DG wa Tanesco kuondolewa Tanesco Wiki iliyopita ilitrend taarifa ya kampuni kubwa ya Starlink kuanza kazi...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni...
0 Reactions
4 Replies
895 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo...
8 Reactions
112 Replies
4K Views
Tumezowea kuyaona haya Nigeria: Kumbe na kwetu napo hali ingali ni hiyo hiyo. Umeme wa uhakika tuupate wapi sisi kama haba na haba tungali hatujui hujaza vibaba?
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Nchi ya panama ipo gizani Umeme ni mgawo kila siku. Sababu ya mgawo hailezwi kinaga ubaga, nchi hii nani kawaroga viongozi wake? Chama cha Maigizo ndiyo chama tawala toka Enzi na Enzi, kila siku...
4 Reactions
10 Replies
910 Views
Nitatumia utenguzi na uteuzi wa huyu DC kama mfano ktk uzi wangu. Huyu alikuwa DC wa Temeke, akatenguliwa 02 June 2023. Na leo 23 Septemba 2023 ameteuliwa tena kuwa DC wa Mtwara. Ndiyo kusema...
15 Reactions
38 Replies
3K Views
NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena...
8 Reactions
50 Replies
3K Views
Kikokotoo kimeandaliwa na watumishi wa umma na kinalalamimiwa na watumishi wa umma Bima ya watoto imeondolewa na watumishi wa umma kisa watoto wao wanatibiwa bure ila wanashindwa kufahamu kuna...
2 Reactions
0 Replies
736 Views
Taarifa zilizopo zinaonyesha kwamba walioondolewa na wanaotarajiwa kuondolewa Tanesco wamepatwa na furaha ya ajabu , kinyume na matarajio ya wengi waliodhani kwamba labda Waenda zao hao huenda...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
By MMM Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh. Magufuli kwa...
16 Reactions
242 Replies
20K Views
Ni kama tengua teua kila siku zaanza kuwa kawaida yani viongozi sasa hivi ni kama wameisha. Zile enzi za kusikia Mkuu wa Mkoa kutumikia kwa kipindi kirefu sasa zimeisha, sijui nini kimetokea...
0 Reactions
6 Replies
737 Views
Kumekuwa na shida ya kupata MADED waliokuwa na uwezo wa kusimamia Halmashauri hasa upande wa Miradi ambako Fedha zimekuwa zikichotwa hovyo, hii ni kutokana na MADED wengi wamekuwa wakiteuliwa...
1 Reactions
11 Replies
864 Views
Huduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno Ripoti za CAG zinawekwa makabatini tu kwa mh sipika bila kufanyiwa kazi na wahusika wapo, hii ni dhambi kubwa sana na unyanyasaji kwa vibaka wa...
56 Reactions
226 Replies
10K Views
Back
Top Bottom