Prof. Makame Mbarawa - Upanuzi wa Airport za Arusha, Lindi, Mwanza pia mwekezaji gati namba 8 bandari ya DSM apatikana

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,319
24,220
08 December 2023
Arusha, Tanzania

16th Joint Transport Sector Review Meeting

Hayo yamejiri leo katika mkutano wa 16 unaohusisha wadau wa sekta ya Uchukuzi ukiotayarishwa kwa pamoja baina ya Wizara ya Uchukuzi kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala wa Mikoa na serikali za mitaa ( TAMISEMI / PO-RALG )

PROF. MBARAWA : MWEKEZAJI MPYA KUWEKEZA BANDARI YA DSM, SIO DP WORLD NI KAMPUNI NYINGINE

View: https://m.youtube.com/watch?v=8X9S3V7uREU
Ambapo waziri wa uchukuzi amebainisha kuwa taratibu zinaendelea za kumpata mwekezaji kuendesha shughuli katika gati namba 8 hadi gati 11 bandari ya Dar es Salaam huku akisisitiza gati hizo namba 8 hadi 11, kampuni ya DP World haihusiki katika uwekezaji huo.

Pia viwanja vya ndege kama Arusha airport unaoongoza kwa miruko / flights nyingi za ndege Tanzania unaongezewa urefu wa njia ya kuruka ndege na kuwekewa taa ili ndege ziweze kutua wakati wote usiku na mchana.
1702082247894.png

Pia waziri Prof. Makame Mbarawa amesema Lindi kutajengwa uwanja wa ndege kwa kuwa kuna miradi mingi ya uwekezaji ktk sekta ya gesi n.k hivyo kunahitajika uwanja wa ndege. Vilevile viwanja vya ndege Mtwara jengo la abiria na Mwanza airport jengo la abiria kuendelezwa upya ulingane na hadhi yake.

MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA UCHUKUZI JIJINI ARUSHA

View: https://m.youtube.com/watch?v=xsF-PWh-WSk
Video wizara ya ujenzi
 
Vilevile viwanja vya ndege Mtwara jengo la abiria na Mwanza airport jengo la abiria kuendelezwa upya ulingane na hadhi yake.
Habari za ajabu hizi.
Kwani hilo jengo lililojengwa hapo Mwanza uamzi ulipofanywa lijengwe, hiyo habari ya kulingana na hadhi ya uwanja wahusika hawakuiona?
Hii ni mipango ya dharura inayofanyika bila plani maalum?

Huyo mwekezaji, huko kwenye ghati namba nane, kwani akiwa DP World kuna tatizo, mbona inakaziwa sana hiyo habari.
Na tutajuaje kuwa hiyo kampuni nyingine siyo tawi la DP World, kama kuna tatizo na huyo DP World!
 
Hadhi ya jengo la Mwanza hadhi yake ipi? ya kimataifa au domestic! lingewekwa wazi,shida ya Mwanza ni international airport ilingane na hadhi ya jiji vinginevyo ni bure.
 
Utakuta ni hao hao tuu wamekuja na jina tofauti, na sasa wamejiongezea maslahi, ukiwaambia waweke mkataba tuone au lini umejadiliwa na bunge watakuita mkorofi, CCM ndio chanzo Cha ufisadi na umaskini Tanzania, CCM must go!
 
mwekezaji kuendesha shughuli katika gati namba 8 hadi gati 11 bandari ya Dar es Salaam huku akisisitiza gati hizo namba 8 hadi 11, kampuni ya DP World haihusiki katika uwekezaji huo.
Adani Ports and Special Economic Zone Ltd (APSEZ) inasemekana kukaribia kupata haki za kuendeleza na kuendesha baadhi ya sehemu za mizigo katika bandari kuu ya Tanzania ya Dar es Salaam....

Tangu Januari mwaka huu, APSEZ iliajiriwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania kuendesha magati manne ya kuhudumia makontena (8 hadi 11) katika Bandari ya Dar es Salaam kama mtoa huduma, baada ya mkataba wake wa miaka mitano na Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICTS). kitengo cha Hutchison Port Holdings Ltd cha Hong Kong, kilimalizika.....

20 July 2023​

APSEZ Said To Acquire Berths At Dar Es Salaam Port​

Adani Ports and Special Economic Zone Ltd (APSEZ) is said to be close to winning the rights to develop and run some cargo berths at Tanzania’s main port of Dar es Salaam.

Since January this year, APSEZ was hired by Tanzania Ports Authority to run four container handling berths (8 to 11) at Dar es Salaam Port as a service provider, after its five-year contract with Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICTS), a unit of Hong Kong’s Hutchison Port Holdings Ltd, ended.

Dar es Salaam Port has a rated capacity of 14.1 million tonnes (mt) dry cargo and 6 million tonnes of bulk liquid cargo. The port has a total quay (berth) length of about 2,600 metres with eleven deep-water berths.

The port has five general cargo berths (0-5) for handling break bulk, dry bulk and one roll-on, roll-off (RORO) berth to handle vehicles and six container handling facilities with a combined capacity of 1 million TEUs.

The port also runs a grain terminal (silos with storage capacity of 30,000 tons), Inland Container Depot (ICD) with capacity of 24,300 twenty-foot equivalent units (TEUs) and a Container Freight Station with a capacity to hold 6,000 vehicles.

The port has two oil terminals – the single point mooring (SPM) facility and the Kurasini Oil Jetty (KOJ) for handling crude oil and refined petroleum products.

Tanzania Ports Authority is implementing the Dar es Salaam Maritime Gateway Project (DMGP) with a $345 million loan from the World Bank to improve the port’s efficiency by helping larger ships to dock and raise the cargo handling capacity to 28 million tons by 2025.

The DMGP aims to strengthen and deepen the 11 cargo berths and the RORO terminal to 14.5 metres, deepen and widen the entrance channel and turning basin in the port to the end of berth 11 to 15.5 metres, and construct a new multipurpose berth at Gerezani Creek.

As a precursor to the acquisition of berths at Dar es Salaam Port, APSEZ and Abu Dhabi Ports Group signed a memorandum of Understanding in August last year for pursuing strategic joint investments in end-to-end logistics infrastructure and solutions, including rail, maritime services, port operations, digital services, industrial zone, and the establishment of maritime academies in Tanzania.

The agreement set in motion a series of potential country-level investments to grow, improve, and promote an end-to-end maritime and logistics ecosystem which will make Tanzania a hub for the African region, the two companies said after signing the MoU to pursue the collaboration.

“This MoU with Adani Ports and SEZ Ltd is significant in its impact on both Tanzania’s ability to transform itself into an African trading hub, as well as our ability to further develop our global capabilities and connections that will bring goods to market faster and more efficiently,” Capt Mohamed Juma Al Shamisi, Managing Director and Group CEO, AD Ports Group, said after signing the MoU.

“Our strategic investment in Tanzania in infrastructure and solutions will enable international companies to enter African markets.

. In line with the direction of the UAE’s leadership, we are positioning Abu Dhabi as a global leader in logistics and industry,” he added.

APSEZ CEO Karan Adani said that partnering with the “AD Ports Group in the development of key quality infrastructure in Tanzania especially in the ports and maritime sector will improve and bring about positive change in the communities”.
“We continue to support local employment, as well as general economic growth in Tanzania and East African countries that will benefit from our investments through the collaboration with AD Ports Group,” Karan Adani said.

Abu Dhabi Securities Exchange listed A D Ports Group, a part of Abu Dhabi Developmental Holding Company, is one of the region’s largest holding companies based in the capital of the United Arab Emirates.

On 24 January, US-based Hindenburg Research accused the Adani Group of accounting fraud, stock manipulation and other corporate governance lapses.
The Adani Group has denied these allegations.
In January this year, a consortium of APSEZ (70 percent stake) and local firm Gadot Group, took control of Haifa Port Company at Israel’s largest commercial port, in a $1.13 billion deal under that country’s privatisation programme.

In 2021, APSEZ signed a concession agreement with Sri Lanka Ports Authority (SLPA) to build a container terminal in Colombo Port, a regional transhipment hub.

APSEZ holds 51 percent stake in the under-construction West Container Terminal at Colombo Port that will be designed to handle 3.8 million twenty-foot equivalent units (TEUs) a year in multiple phases over a 35-year contract.

APSEZ and its two local partners – John Keells Holdings PLC and Sri Lanka Ports Authority (SLPA) will invest some $650 million to build the terminal. The first phase of the terminal, with a capacity to handle 1 million TEUs, is expected to start operations in December 2024.

Adani Ports and Special Economic Zone Ltd (APSEZ)

Fahamu ukubwa wa kampuni ya APSEZ inayofanya kazi kwa ubia na Kampuni ya MSC katika sector ya bandari na usafirishaji bahari

View: https://m.youtube.com/watch?v=38WqQifLJ1A
ET SASA inasafiri hadi Mundra, bandari kubwa zaidi ya kibiashara nchini India ! Tunakuletea mahojiano ya kwanza ya runinga ya Karan Adani. Yeye ni mwana mkubwa wa Gautam Adani & mrithi dhahiri wa $12 bn Adani Group. Tazama mazungumzo yake na Nayantara Rai.
 
Asante kwa Taarifa ya habari Mkuu.

TUNAKUSHUKURU/ WE THANK YOU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Bandari ya Mundra iliyopo Gujarat India inavyofanya kazi
Mafanikio Makubwa kwa India | APL Raffles inatia nanga kwenye Bandari ya Mundra, Gujarat

View: https://m.youtube.com/watch?v=Xnvs8rb_L2g

Ikipokea meli kubwa yenye urefu unaokaribia viwanja 4 vya mpira mita 397 na uwezo wa kubeba makasha 17,000 ikiingia katika bandari ya Mundra Gujarat inayoendeshwa na kampuni ya Adani. Uendeshaji wa bandari unahitaji kreni za kisasa kuweza kupakua na kupakiza makasha kwa kasi, muda mfupi na tija kubwa kutokana na uwejezaji mkubwa.
 
08 December 2023
Arusha, Tanzania

16th Joint Transport Sector Review Meeting

Hayo yamejiri leo katika mkutano wa 16 unaohusisha wadau wa sekta ya Uchukuzi ukiotayarishwa kwa pamoja baina ya Wizara ya Uchukuzi kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala wa Mikoa na serikali za mitaa ( TAMISEMI / PO-RALG )

PROF. MBARAWA : MWEKEZAJI MPYA KUWEKEZA BANDARI YA DSM, SIO DP WORLD NI KAMPUNI NYINGINE

View: https://m.youtube.com/watch?v=8X9S3V7uREU
Ambapo waziri wa uchukuzi amebainisha kuwa taratibu zinaendelea za kumpata mwekezaji kuendesha shughuli katika gati namba 8 hadi gati 11 bandari ya Dar es Salaam huku akisisitiza gati hizo namba 8 hadi 11, kampuni ya DP World haihusiki katika uwekezaji huo.

Pia viwanja vya ndege kama Arusha airport unaoongoza kwa miruko / flights nyingi za ndege Tanzania unaongezewa urefu wa njia ya kuruka ndege na kuwekewa taa ili ndege ziweze kutua wakati wote usiku na mchana.
View attachment 2837162

Pia waziri Prof. Makame Mbarawa amesema Lindi kutajengwa uwanja wa ndege kwa kuwa kuna miradi mingi ya uwekezaji ktk sekta ya gesi n.k hivyo kunahitajika uwanja wa ndege. Vilevile viwanja vya ndege Mtwara jengo la abiria na Mwanza airport jengo la abiria kuendelezwa upya ulingane na hadhi yake.

MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA UCHUKUZI JIJINI ARUSHA

View: https://m.youtube.com/watch?v=xsF-PWh-WSk
Video wizara ya ujenzi

hii ni nzuri sana. .
 
Hadithi ya ilipoanzia Bandari ya Salama yaani Dar es Salaam toka enzi ya Sultani wa Zanzibar inashabiana na ya bandari ya Mundra Gujarat India iliyoanza katika kijiji kidogo hadi kuwa bandari tajwa kubwa India .

10 October 2023

Maadhimisho miaka 25 ya Bandari ya Mundra, Gujarat

View: https://m.youtube.com/watch?v=YK_-P732gwY
Mundra, kijiji kidogo cha robo karne iliyopita, sasa ni nyumbani kwa bandari kubwa ya kibinafsi ya India. Kutoka kwa gati ya kawaida, sasa imekaribisha meli kubwa zaidi ya kontena kuwahi kupamba ufuo wa India. Bandari ya Mundra inasimama kama mchangiaji muhimu kwa safari ya India ya maendeleo na mafanikio endelevu . Wacha tusherehekee hadithi hii nzuri ya mafanikio kwa hisia ya fahari na mafanikio.
Source: Adani Group

View: https://m.youtube.com/watch?v=HdmxJXVkJWM&pp=ygUSQWRhbmkgTXVuZHJhIFBvcnQg
 
08 December 2023
Arusha, Tanzania

16th Joint Transport Sector Review Meeting

Hayo yamejiri leo katika mkutano wa 16 unaohusisha wadau wa sekta ya Uchukuzi ukiotayarishwa kwa pamoja baina ya Wizara ya Uchukuzi kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala wa Mikoa na serikali za mitaa ( TAMISEMI / PO-RALG )

PROF. MBARAWA : MWEKEZAJI MPYA KUWEKEZA BANDARI YA DSM, SIO DP WORLD NI KAMPUNI NYINGINE

View: https://m.youtube.com/watch?v=8X9S3V7uREU
Ambapo waziri wa uchukuzi amebainisha kuwa taratibu zinaendelea za kumpata mwekezaji kuendesha shughuli katika gati namba 8 hadi gati 11 bandari ya Dar es Salaam huku akisisitiza gati hizo namba 8 hadi 11, kampuni ya DP World haihusiki katika uwekezaji huo.

Pia viwanja vya ndege kama Arusha airport unaoongoza kwa miruko / flights nyingi za ndege Tanzania unaongezewa urefu wa njia ya kuruka ndege na kuwekewa taa ili ndege ziweze kutua wakati wote usiku na mchana.
View attachment 2837162

Pia waziri Prof. Makame Mbarawa amesema Lindi kutajengwa uwanja wa ndege kwa kuwa kuna miradi mingi ya uwekezaji ktk sekta ya gesi n.k hivyo kunahitajika uwanja wa ndege. Vilevile viwanja vya ndege Mtwara jengo la abiria na Mwanza airport jengo la abiria kuendelezwa upya ulingane na hadhi yake.

MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA UCHUKUZI JIJINI ARUSHA

View: https://m.youtube.com/watch?v=xsF-PWh-WSk
Video wizara ya ujenzi

Huyu anauza nchi kama yake
Wazabuni hawa wanapatikana vipi?
Mmetuzoea sana ninyi watawala but why?
 
Huyu anauza nchi kama yake
Wazabuni hawa wanapatikana vipi?
Mmetuzoea sana ninyi watawala but why?

Kila kitu kilicho maliasili vinapigwa mnada kila kona ya nchi na sheria za nchi zimempa rais na serikali nguvu kuliko raia mamilioni ambao ndiyo warithi za vitu vinavyotambulika kama Mali ya umma ikiwemo ardhi za wananchi, vijiji, bandari, maeneo ya uchimbaji mdogo wa madini, bahari na maziwa makuu

PART II
PERMANENT SOVEREIGNTY OVER NATURAL WEALTH AND
RESOURCES
Proclamation of
permanent
sovereignty
4.-(1) The People of the United Republic shall
have permanent sovereignty over all natural wealth and
resources.
(2) The ownership and control over natural
wealth and resources shall be exercised by, and
through the Government on behalf of the People and
the United Republic.
Inalienability of
natural wealth and
resources
5.-(1) The natural wealth and resources shall be
inalienable in any manner whatsoever and shall always
remain the property of the People of the United
Republic.
(2) The natural wealth and resources shall be
held in trust by the President on behalf of the People of
the United Republic.
 
Back
Top Bottom