Waziri Makamba: Tanzania yataka Mdahalo wa Wagombea wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Africa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Tanzania imependekeza Uwepo Mdahalo wa Wagombea wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Africa

Mdahalo huo utawezesha nchi Wanachama kutambua Maono ya Wagombea watakaochaguliwa, amefafanua Makamba

Aidha imesisitiza Uchaguzi huo Kuzingatia taratibu na Kanuni za Uchaguzi
---
1710537382840.png
Tanzania imependekeza kufanyika mdahalo kwa wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika ili kutoa nafasi kwa wananchi wa nchi wanachama kutambua maono ya wagombea watakaochaguliwa.

Aidha, imesisitiza uchaguzi huo kuzingatia kanuni na taratibu za uchaguzi zikiwemo uwazi, uwezo wa wagombea na usawa wa kijinsia.

Source: Swahili Times
 
Kichwa chenyewe Cha mdahalo ni nani hao 🤣🤣🤣🤣 is was the which where what the zee
 
Tanzania imependekeza Uwepo Mdahalo wa Wagombea wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Africa

Mdahalo huo utawezesha nchi Wanachama kutambua Maono ya Wagombea watakaochaguliwa, amefafanua Makamba

Aidha imesisitiza Uchaguzi huo Kuzingatia taratibu na Kanuni za Uchaguzi
---
Tanzania imependekeza kufanyika mdahalo kwa wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika ili kutoa nafasi kwa wananchi wa nchi wanachama kutambua maono ya wagombea watakaochaguliwa.

Aidha, imesisitiza uchaguzi huo kuzingatia kanuni na taratibu za uchaguzi zikiwemo uwazi, uwezo wa wagombea na usawa wa kijinsia.

Source: Swahili Times
CCM ni musanyiko la Wahuni Fulani hivi. Kama mnajua midahalo inasaidia kupima uwezo wa wagombea, Mbona midahalo ya wanasiasa ndani ya Nchi mnaikataa? AU msikibali uhuni wa hawa Chawa wa kike.
 
Umeshapanic 😂😂🔥

Lisu ajiandae 2025
 
Tanzania imependekeza Uwepo Mdahalo wa Wagombea wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Africa

Mdahalo huo utawezesha nchi Wanachama kutambua Maono ya Wagombea watakaochaguliwa, amefafanua Makamba

Aidha imesisitiza Uchaguzi huo Kuzingatia taratibu na Kanuni za Uchaguzi
---
Tanzania imependekeza kufanyika mdahalo kwa wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika ili kutoa nafasi kwa wananchi wa nchi wanachama kutambua maono ya wagombea watakaochaguliwa.

Aidha, imesisitiza uchaguzi huo kuzingatia kanuni na taratibu za uchaguzi zikiwemo uwazi, uwezo wa wagombea na usawa wa kijinsia.

Source: Swahili Times
Anayetaka mdahalo anafahamika wala siyo Tanzania, asituchonganishe na majirani, yaani bado anataka kwenda kudai mafao ya wenza wa wastaafu na huko!!!

Hana mshipa wa aibu!!
 
Kuna mgombea atapiga nanana..nanaa kigugumizi mwanzo mwisho.....Kenya ndio wametaka wakijua huku kalas...mwatapenya....huku wazee fitna tupu ila ku mulomo hakuna kituuu
 
Huo mdahalo usiishie huko tu ambako tunapendekeza uwepo bali ukajage hata hapa nchini kwa wagombea ubunge na udiwani kufanyishwa midahalo ili tujuwe wanajuwa nini juu ya majimbo na kata zao na nini watafanya wakipewa nafasi na kipi wamefanya kwa wale waliokuwepo awali.
Loooh! Wajameni wanaJF njooni mjionee mgonjwa wetu wa akili anaendelea kupata nafuu.
Anyway, kwanini huo mdahali usiwe pia kwa wagombea wa nafasi ya uRais hapa nchini?
 
Huo mdahalo usiishie huko tu ambako tunapendekeza uwepo bali ukajage hata hapa nchini kwa wagombea ubunge na udiwani kufanyishwa midahalo ili tujuwe wanajuwa nini juu ya majimbo na kata zao na nini watafanya wakipewa nafasi na kipi wamefanya kwa wale waliokuwepo awali.

Mbona unabagua? Maoni yako yanaonesha ulivyo mnafiki. Kwa nini umeiacha nafasi ya wagombea wa Urais?

Sema mdahalo wa namna hiyo pia ufanyike hata hapa kwetu kwa nafasi zote, kuanzia kwa wagombea wa nafasi ya Rais.
 
Ndivyo itakavyokuwa 2025 😄🔥
 
Disrespect for elders. Raila Odinga ni elder statesman.
Unataka kupeleka corruption za politics za Tanzania kwenye AU.
There is no respect for the AU.
Mambo watu wanayojadili kwenye meza zilizojaa konyagi wanataka kuyapeleka AU.
Watu wanaoleta corruption hapa Tanzania wanataka kuivamia AU.
Hakuna unity hapa. Jana tumesikia hoodlums wametumwa kumshuti mtu anatuhumiwa kutaka kugombea ubunge. Ndiyo nchi yetu ilivyo sasa. Halafu tunataka kuiongoza Afrika.
Na wake hoodlums wametumwa wapi? Nadhani huko huko nyumbani kwake Makamba.
Uhuru wa vyombo vya habari unaingiliwa. Watu wanafanya harmless political speculation,wanakamatwa. For no reason. Kila mtu anajua Makamba anazo grandiose political ambitions.
Jamii Forums pia,watu wanasema,"Tusizungumze ukweli. Tujali maslahi ya Taifa."
Tanzania haiko tayari kuiongoza Afrika.
All other factors being equal,you should give way to the elder. Mwache Raila apate opposition from West Africa. Kwa nini sisi tumpinge Raila,ambaye alikuwa rafiki wa Magufuli katika siku ambayo tunaadhimisha kifo cha Magufuli?
Eti TCRA imewakamata watu waliomkashifu Makamba.
Tunalipa mikopo ya simu ambayo hatukuitumia. Kama ilikuwa ni kosa la matapeli,kwa nini mikopo ( feki) hiyo inadaiwa na TIGO? Kwa nini wasimkamate Rostam Aziz?
Unababaishwa na chromium furniture unashindwa kuwakamata wahalifu.
 
Back
Top Bottom