Nchi inaweza kusahau uwepo wa kina Membe na wenginewe wengi ila si kwa watu kama Magufuli n.k

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,943
4,131
Watu huja na watu hupotea! Lakini watu hao hao wengine huendelea kuishi kwa maana ya yale waliyowahi kuyafanya na kuyaacha kama mnara wa kumubukumbu zao kwenye vizazi na vizazi

Watanzania wasipomuenzi Magufuli, Waganda watamuenzi pindi wanapokuwa wakiliona bomba la mafuta kuyoka Hoima kuja Tanga Tanzania

Watanzani wasipomuenzi JPM, Nchi zote zilizowahi kufungia watu wao kwa lockdown zikapitia misukosuko ya kiuchumi na wengine kufa au kuuliwa kwa sababu ya kukiuka mashariti,

Wana wa Israeli kupitia Nabii Musa mtumishi wa Mungu, Mungu alitenda mengi ya ajabu kupitia mkono wa Musa, k wenyewe walifika pahala wakaanza kuyasahau matendo makuu aliyoyatenda Mungu kupitia mkono wa mtumishi wake Musa!

Mungu alipochungulia mbele ya safari yao na mwenendo wao, akaona isiwe tabu, akaona kabisa matendo hayo itakuwa ni rahisi kusahaulika katika vizazi vijavyo, alichokifanya, akamwambia Musa, ayaandike na ayawweke kwenye kumbukumbu kwa maana kwamba, yasije kusahaulika, na ndiyo kukawepo kitabu cha Kumbukumbu, kitabu hiki, ni miongoni mwa vitabu vilivyoandikwa kwa mkono wa Musa kwa maongozi ya Mungu na ili kwamba, vizazi vyote vya wa Israel pundi wasomapo wakiri kwamba, kwa hakika huyo alikuwa ni Mungu

Magufuli kusahaulika itachukua makarine mengi kwa sababu ya ukweli kwamba, jamaa alikuwa ni mtu si wasayari hii tuliyopo

Wakati viongozi wengi wa kiafrica wanamwagopa Marekani eti wasiagize mafuta Urusi kwa sababu tu watanyimwa mikopo, nakuhakikishia tungelikuwa na Magufuli, tusingekuwa na shida ya mafuta Tanzania

Wakati viongozi wengi wakijikomba kwa Wazungu ili wapewe Misaada na misaada yenyewe wakati mwingine inatweza utu wetu, Magufuli asingelikubali huo upuuzi

SGR na JKNHP vinatosha kabisa kufanya jina Magufuli liendelee kuishi miaka mingi ijayo ukiondoa nyuzi nyingi za wanazuoni wanazozichapisha kila uchao kumhusu Magufuli

17 march 2021, nchi ilipoteza mtu mmoja sawa na wanaccm 1000
 
Kama alifanya yote haya makubwa kwanini uchaguzi wa 2020 aliiba kura ?

MTU ambaye hajiamini utamuitaje shujaa?

Kiufupi kazidiwa mbali na Kizimkazi

Kuteka
Kuua
Kubamkia watu kesi.

Ebu anagalia leo lissu kapata ulemavu wa kudumu

huyo jamaa alikuwa dhaifu na MTU ambaye hana mikakati kaikuta nchi imestawi Ajira kwa wingi yeye kaharibu

Mpaka ajira za Kama upolisi ambazo haizna impact zilikuwa hazipatikani. It was hell.
 
Kila mtu na ushawishi wake, huyo jamaa nilishamsahau kitambo sana, Isipokuwa MKAPA, ananiuma kweli mpaka leo hii, siamini kama kifo chake kilikuwa ni kwa utashi wa mola.
 
Kama alifanya yote haya makubwa kwanini uchaguzi wa 2020 aliiba kura ?

MTU ambaye hajiamini utamuitaje shujaa?

Kiufupi kazidiwa mbali na Kizimkazi

Kuteka
Kuua
Kubamkia watu kesi.

Ebu anagalia leo lissu kapata ulemavu wa kudumu

huyo jamaa alikuwa dhaifu na MTU ambaye hana mikakati kaikuta nchi imestawi Ajira kwa wingi yeye kaharibu

Mpaka ajira za Kama upolisi ambazo haizna impact zilikuwa hazipatikani. It was hell.
Dunian kote kitengo cha utekaji na umafia kipo tu mkuu
 
Kama alifanya yote haya makubwa kwanini uchaguzi wa 2020 aliiba kura ?

MTU ambaye hajiamini utamuitaje shujaa?

Kiufupi kazidiwa mbali na Kizimkazi

Kuteka
Kuua
Kubamkia watu kesi.

Ebu anagalia leo lissu kapata ulemavu wa kudumu

huyo jamaa alikuwa dhaifu na MTU ambaye hana mikakati kaikuta nchi imestawi Ajira kwa wingi yeye kaharibu

Mpaka ajira za Kama upolisi ambazo haizna impact zilikuwa hazipatikani. It was hell.
Aliua watu wengi sn
 
nchi haijawahi endelea kwa kucheka na mtu wewe mzee hata wewe upewe hicho kiti utakuwa katili ambaye hajawahi tokea. Ukiwa pale unayafahamu mambo kwa engo zote na kuyaona kuliko watu ml56
 
Sasa huo ukatili umeleta maendeleo gani? Ya maana zaidi ya wizi
 
Watu huja na watu hupotea! Lakini watu hao hao wengine huendelea kuishi kwa maana ya yale waliyowahi kuyafanya na kuyaacha kama mnara wa kumubukumbu zao kwenye vizazi na vizazi

Watanzania wasipomuenzi Magufuli, Waganda watamuenzi pindi wanapokuwa wakiliona bomba la mafuta kuyoka Hoima kuja Tanga Tanzania

Watanzani wasipomuenzi JPM, Nchi zote zilizowahi kufungia watu wao kwa lockdown zikapitia misukosuko ya kiuchumi na wengine kufa au kuuliwa kwa sababu ya kukiuka mashariti,

Wana wa Israeli kupitia Nabii Musa mtumishi wa Mungu, Mungu alitenda mengi ya ajabu kupitia mkono wa Musa, k wenyewe walifika pahala wakaanza kuyasahau matendo makuu aliyoyatenda Mungu kupitia mkono wa mtumishi wake Musa!

Mungu alipochungulia mbele ya safari yao na mwenendo wao, akaona isiwe tabu, akaona kabisa matendo hayo itakuwa ni rahisi kusahaulika katika vizazi vijavyo, alichokifanya, akamwambia Musa, ayaandike na ayawweke kwenye kumbukumbu kwa maana kwamba, yasije kusahaulika, na ndiyo kukawepo kitabu cha Kumbukumbu, kitabu hiki, ni miongoni mwa vitabu vilivyoandikwa kwa mkono wa Musa kwa maongozi ya Mungu na ili kwamba, vizazi vyote vya wa Israel pundi wasomapo wakiri kwamba, kwa hakika huyo alikuwa ni Mungu

Magufuli kusahaulika itachukua makarine mengi kwa sababu ya ukweli kwamba, jamaa alikuwa ni mtu si wasayari hii tuliyopo

Wakati viongozi wengi wa kiafrica wanamwagopa Marekani eti wasiagize mafuta Urusi kwa sababu tu watanyimwa mikopo, nakuhakikishia tungelikuwa na Magufuli, tusingekuwa na shida ya mafuta Tanzania

Wakati viongozi wengi wakijikomba kwa Wazungu ili wapewe Misaada na misaada yenyewe wakati mwingine inatweza utu wetu, Magufuli asingelikubali huo upuuzi

SGR na JKNHP vinatosha kabisa kufanya jina Magufuli liendelee kuishi miaka mingi ijayo ukiondoa nyuzi nyingi za wanazuoni wanazozichapisha kila uchao kumhusu Magufuli

17 march 2021, nchi ilipoteza mtu mmoja sawa na wanaccm 1000
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
nchi haijawahi endelea kwa kucheka na mtu wewe mzee hata wewe upewe hicho kiti utakuwa katili ambaye hajawahi tokea. Ukiwa pale unayafahamu mambo kwa engo zote na kuyaona kuliko watu ml56
Hamna lolote zaidi ya ulevi wa madaraka. Au yeye ndio wa kwanza kuwa rais nchi hii? Acheni hizo.
 
Sasa huo ukatili umeleta maendeleo gani? Ya maana zaidi ya wizi
chukulia wewe ni baba wa familia katika kuongoza kwako familia mikiki yote ya upambanaji unajikuta kuna ndugu yupo kwako anakaa na majirani ama mahasimu wako na kueleza ABC za mipango yako ya kuikwamua familia, ilhali wewe ukijua una maadui kwelikweli na lazima ukaze utoboe kizazi chako kije kuishi safi ukikaa hivi wanaanza kukukwamisha vp wewe utafanya nini.
 
Kama alifanya yote haya makubwa kwanini uchaguzi wa 2020 aliiba kura ?

MTU ambaye hajiamini utamuitaje shujaa?

Kiufupi kazidiwa mbali na Kizimkazi

Kuteka
Kuua
Kubamkia watu kesi.

Ebu anagalia leo lissu kapata ulemavu wa kudumu

huyo jamaa alikuwa dhaifu na MTU ambaye hana mikakati kaikuta nchi imestawi Ajira kwa wingi yeye kaharibu

Mpaka ajira za Kama upolisi ambazo haizna impact zilikuwa hazipatikani. It was hell.
Uchaguzi uliharibiwa kweli ila kusema kuwa Chadema ilikuwa na uwezo wa kumshinda Magufuli hamna!
 
Watu huja na watu hupotea! Lakini watu hao hao wengine huendelea kuishi kwa maana ya yale waliyowahi kuyafanya na kuyaacha kama mnara wa kumubukumbu zao kwenye vizazi na vizazi

Watanzania wasipomuenzi Magufuli, Waganda watamuenzi pindi wanapokuwa wakiliona bomba la mafuta kuyoka Hoima kuja Tanga Tanzania

Watanzani wasipomuenzi JPM, Nchi zote zilizowahi kufungia watu wao kwa lockdown zikapitia misukosuko ya kiuchumi na wengine kufa au kuuliwa kwa sababu ya kukiuka mashariti,

Wana wa Israeli kupitia Nabii Musa mtumishi wa Mungu, Mungu alitenda mengi ya ajabu kupitia mkono wa Musa, k wenyewe walifika pahala wakaanza kuyasahau matendo makuu aliyoyatenda Mungu kupitia mkono wa mtumishi wake Musa!

Mungu alipochungulia mbele ya safari yao na mwenendo wao, akaona isiwe tabu, akaona kabisa matendo hayo itakuwa ni rahisi kusahaulika katika vizazi vijavyo, alichokifanya, akamwambia Musa, ayaandike na ayawweke kwenye kumbukumbu kwa maana kwamba, yasije kusahaulika, na ndiyo kukawepo kitabu cha Kumbukumbu, kitabu hiki, ni miongoni mwa vitabu vilivyoandikwa kwa mkono wa Musa kwa maongozi ya Mungu na ili kwamba, vizazi vyote vya wa Israel pundi wasomapo wakiri kwamba, kwa hakika huyo alikuwa ni Mungu

Magufuli kusahaulika itachukua makarine mengi kwa sababu ya ukweli kwamba, jamaa alikuwa ni mtu si wasayari hii tuliyopo

Wakati viongozi wengi wa kiafrica wanamwagopa Marekani eti wasiagize mafuta Urusi kwa sababu tu watanyimwa mikopo, nakuhakikishia tungelikuwa na Magufuli, tusingekuwa na shida ya mafuta Tanzania

Wakati viongozi wengi wakijikomba kwa Wazungu ili wapewe Misaada na misaada yenyewe wakati mwingine inatweza utu wetu, Magufuli asingelikubali huo upuuzi

SGR na JKNHP vinatosha kabisa kufanya jina Magufuli liendelee kuishi miaka mingi ijayo ukiondoa nyuzi nyingi za wanazuoni wanazozichapisha kila uchao kumhusu Magufuli

17 march 2021, nchi ilipoteza mtu mmoja sawa na wanaccm 1000
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Back
Top Bottom