Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukweli usemwe kwamba pamoja na ardhi kubwa na uzalishaji mkubwa wa chakula tunaoringia nchini kwetu Watanzania wengi bado wanakula milo duni sana, wengi hawapati milo bora (balanced diet) na...
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imefanikiwa sana kuongeza ukaribu na wananchi kwa kusikiliza changamoto na kuzitatua kwa haraka...
0 Reactions
2 Replies
426 Views
Wadau hamjamboni nyote Taarifa hapo chini JESHI la Polisi mkoani Geita linamshikilia Imam wa msikiti wa Nyankumbu mjini Geita, ambaye pia ni mwalimu wa madrassa, Abdulrahman Yassin akituhumiwa...
14 Reactions
77 Replies
6K Views
Mbunge Msukuma hapa anaongea sana kukatiza katiza wataalamu wakati kichwani hamna kitu .Wataalamu wakitaka kumwekewrsha anakatiza katiza wakati kichwani hamna kitu anachoongea Wataalamu poleni
9 Reactions
59 Replies
4K Views
Rais mstaafu wa Tanzania mzee Kikwete ametunukiwa Tuzo ya Kiongozi Bora wa Africa kwa mwaka 2023 kama Kiongozi Bora wa Africa katika Amani na Usalama. === Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Ukweli ni Kwamba CCM ni chama Bora kabisa Tanzania na Barani Africa ila haiwezi kuwa na Maajabu yoyote kwa hawa " Wapiga kura wa Kisasa" Wakati Kikwete anasema CCM ijivue gamba alimaanisha...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Sheria ya Tanzania inataka pesa za noti ziwekwe kwenye waleti siyo mfukoni kwa kuzikunja kunja lakini watanzania hii sheria sijui kama tunaijua. Ukikunja pesa na kuiweka mfukoni tu ni kosa na...
3 Reactions
4 Replies
436 Views
Mama anazidi kukimbiza kazi kimya kimya.Watu wa Mwanza by Desemba 2025 mtaanza kupanda SGR walau Hadi Isaka wakati Kipande Cha Isaka-Tabora Kikisubiliwa kukamilika. Kimya kimya mama anakimbiza...
0 Reactions
2 Replies
896 Views
CHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa. Ona anavyoua wapinzani wake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Pale unapotokea msiba wapo ambao viongozi utoa pole kupitia mitandao ya kijamii, ipo misiba Mhe Rais utumia barua ya Ikulu nk Napenda kufahamu ili Mhe Rais atoe pole kwa kupitia akaunti yake ya...
0 Reactions
1 Replies
394 Views
Ni ushauri tu kwa Wanahabari nguli kama Pascal Mayalla na Aloyce Nyanda, nk, wakachukua ombi la Tanzania huko Umoja wa Africa kama ni fursa itakayoanzia hapa nyumbani. Midahalo inasaidia sana...
4 Reactions
19 Replies
910 Views
Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji. Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara. Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri...
11 Reactions
78 Replies
5K Views
Mapendekezo ya bajeti kwa mwaka wa Fedha unaokuja 2024/2025 ni kuwa bajeti ya Matumizi ya Kawaida kufikia ukomo wa Shilingi tilioni 33 na bajeti ya Maendeleo kufikia ukomo wa tilioni 15. Sababu...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Kipindi Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kinamuunga mkono na kumuita Mgombea wake wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga akitambulika pia kwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam sana Tunaandaa vipindi vya TV na Radio vya DSE. Kwa niaba ya Soko la Hisa la DSM DSE, napenda kutoa mualiko kwa watu wachache hasa Wajasiliamali wadogo na wa kati (Small and Medium...
5 Reactions
15 Replies
6K Views
Yaani katika kitu ambacho nawashauri vijana ni kutokuwa na utamaduni wa woga ambao umekuwa utamaduni wa Watanzania wengi. Ukiangalia vizuri kibinafsi na hata vyama vyovyote. Ukubwa wa vyama na...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Tangu CHADEMA ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja. Je, wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo...
10 Reactions
87 Replies
5K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Machi 13, 2024 ameongoza waombolezaji kuaga Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Christopher Keraryo Gimonge (Mstaafu)...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom