Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siku ile ailita wafanyakazi Mbayuwayu na kusema " Mimi ndio mwajiri wenu.Atakayegoma nitamfukuza kazi" Nasi Oct 31 twendeni TUKAMFUKUZE KAZI Alisahau kuwa sisi ndio waajiri wake.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi huu mjadala umeishia wapi? na kwa mujibu wa Mfalme Sele wa Morogoro,je Zanzibar ni Nchi au sio nchi? http://www.youtube.com/watch?v=lYuGc9lHlWU&feature=related
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu kumwkuwa na thread kuwa wengi wa wanaokuja katika kampeni za CCM na JK mbali na kushangaa kuwa mgombea mmoja anaweza kusafiri kwa herikopta 3 lakini kuna tetesi kuwa huwa wanasombwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF, ukimwangalia sana JK utagundua kuwa kachoka bin taabani! Analazimisha tabasamu! Anaongea kama vile anaongea na waandishi wa habari, haongei kama anahutubia. Atamaliza kweli kampeni?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hadi sasa wana jf jk hajafika pemba alikotakiwa kuhutubia na hapa watu wameanza kutawanyika,je ataweza kulinda muda uliowekwa na tume wa mwisho wa kampeni yaani 12 jioni?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
kama ilivyo kawaida ya porojo za ccm kuwa wanamuenzi baba wa taifa huku wakiwa wachafu kimaadili kupindukia,ikiwa sasa kwenye kampeni zake hasa kwenye majimbo yenye wagombea wenye maadili shakani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
By Al-amani Mutarubukwa, Citizen Reporter Dar es Salaam. Tanzania is the best governed country in East Africa, a new continental report shows. Ranked 15th among Africa’s 53 countries, Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu mtandaoni nimebahatika kukutana na tovuti ya CCM, duh jamaaa hawapo up-to date kabisaaaa yaani hadi leo kawawa yumo kama mjumbe wa CC. kwa hali hii tutafika kweli? 1. Jakaya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Duh haka kajamaa bana, tangu nianze kumjua kwenye ulingo wa siasa yaani yeye ni tishet nyekundu na kofia nyekundu tuuuuuu...tangu ule mdahalo wa tbc,nikahudhuria tena mkutano wake mabibo na sinza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sabnabu tano kwanini ccm itaangukia pua uchaguz ujao!! Zifuatazo ni sababu tano kwanini CCM haitaendelea kushinda kila uchao 1. Kuna mbadala wa CCM Tanzania (CHADEMA) 2.Tanzania kuna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa kwanza nawasalimu kwa jina la bwana wetu kristu alie hai..pili polen sana na shuguli za kila siku hasa wakati huu ukifikiria jinsi ya kwenda kugongana bams na watu huku wengine wakitoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman hivi ni kwel tunaamina rais tunayempenda sis dk slaa akishinda atatangazwa mshindi. Nan kawateuwa viongoz wa tume ya uchaguz tuweke watu wenye msimamo, kwenye kulinda kula hawa watu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ameuza timu toka kipenga cha kwanza kilipopulizwa. Ameruhusu magori kuingia hata pale alipotakiwa kudaka. (i) Ameruhusu David Balali kukimbia nchi, (ii) ameruhusu Andrew Chenge kuendelea kupeta...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwenyekiti UWT: CCM majungu yatatumaliza Monday, 04 October 2010 18:45 Mwandishi Wetu, Bukoba MWENYEKITI wa Umoja wa wananwake (UWT) Bukoba Mjini ...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mshiriki namba 6, Pendo Sam alizomewa alipokuwa anajibu swali lililomtaka aseme ni sifa gani za kiongozi anayemtaka kuwa Rais wa Tanzania. Pendo, alijitahidi kueleza sifa kulingana na kiwango...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
anayegombea ubunge jimbo la manyoni magharibi kwa tiketi ya ccm bwana lwanja ambaye alizomewa wakati wa ujio wa jk,yupo kwenye wakati mgumu baada ya kuamua kuliweka rehani gari yake na nyumba yake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
na Mwandishi wetu MGOMBEA wa ubunge wa jimbo la ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Hawa Ng'humbi amewaomba wakazi wa jimbo hilo, kuwapa ridhaa ya kuongoza kwa kipindi cha miaka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani sijui nakosea am a la yaani kuna huyu ant jaman nimekuwa nikisikiliza mikutanio yake yaani sijui nasema na ashukuru amepita kwenye chama cha ccm else uchaguzi ungekuwa mgumu maisha upande...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika hali inayoonesha wagombea wa CCM kuishiwa sera na kuendekeza dhana ya kuwaona Watanzania ni mazuzu, mgombea wa Ubunge jimbo la Segerea Bw. Dr. Makaongolo Makanga ametoa ahadi kichekesho kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
04 October 2010 Mussa Juma, Arusha WAGOMBEA wote wa viti vya ubunge na udiwani kupitia tiketi ya Chadema katika Jimbo la Arusha, jana waliandamana kwenda ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom