• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Kaa la Moto
Reaction score
217

Profile posts Latest activity Postings About

 • Omulangi
  Shalom. Jana tulikuwa na Dr wa ukweli katika kumtuza tuzo ya amani. Soma post yangu ya jana jukwa la siasa ya Prof Shirvji na dhana ya ubinadamu na haki za binadamu. Ubarikiwe sie wote ni wazima
  BAK
  Hello Mchukia Fisadi,

  I would like to take this opportunity to wish you and your loved ones a very Merry Xmas and a happy and prosperous New Year. Also I wish you good health, happiness and good luck during the coming year of 2009.

  May God bless you and your loved ones.

  Merry Xmas and a Happy and prosperous New Year.
  M
  Mchukia Fisadi, pole na matatizo. Ndio kazi ya Mungu tena kila mmoja wetu ana mwisho hapa duniani.

  Nakutakia heri na fanaka katika Xmas, Mungu akujazeni faraja.
  Kaa la Moto
  Asante mama nashukuru kwa kunikumbuka. Bahati mbaya leo PC yangu imepata matatizo kiasi kwamba sijapata muda mzuri wa kuingia JF. Hapa imebidi nitafute nyingine ili tu angalau niingie JF na kuwapa mkono wa IDD
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top