Elections 2010 Mbunge aliyezomewa mbele ya jk aweka mali zake rehani(bond)

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
anayegombea ubunge jimbo la manyoni magharibi kwa tiketi ya ccm bwana lwanja ambaye alizomewa wakati wa ujio wa jk,yupo kwenye wakati mgumu baada ya kuamua kuliweka rehani gari yake na nyumba yake ya makalanja hapa itigi kama dhamana ya kukopeshwa pesa kwa ajili ya kuendesha kampeni zake ktk kipindi hiki cha lala salama baada ya hali yake kisiasa kuwa mbaya jimboni hapa,upinzani mkubwa anaupata toka kwa mgombea wa chadema bwana lupaa
 
ccm watamrudishia hela zake akishindwa.
ccm inawajali wanachama wake hasa wale wanaotoa sana rushwa kipindi cha uchaguzi. huwa wanawarefund wakishindwa hahahaha
hekaya za kilevi
 
si apumzike, kwani lazima awe mbunge...au ni zaidi ya ubunge???

Asante kwa taarifa
 
Ndiyo matatizo ya CCM hayo. Wanafikiri ubunge bado unanunuliwa kama zamani.

Baada ya uchaguzi presha, then tunamsahau. Si anacheza kamari ya politics???
 
anayegombea ubunge jimbo la manyoni magharibi kwa tiketi ya ccm bwana lwanja ambaye alizomewa wakati wa ujio wa jk,yupo kwenye wakati mgumu baada ya kuamua kuliweka rehani gari yake na nyumba yake ya makalanja hapa itigi kama dhamana ya kukopeshwa pesa kwa ajili ya kuendesha kampeni zake ktk kipindi hiki cha lala salama baada ya hali yake kisiasa kuwa mbaya jimboni hapa,upinzani mkubwa anaupata toka kwa mgombea wa chadema bwana lupaa

hapo inatakiwa wapiga kura kupatiwa elimu kuwa akiwapatia fedha wachuke kwa kuwa sni sehemu ya fedha za wananchi alizozichota kule bungeni na waendelee na mipango yao ya kumchagua mgombea wanayemtaka. Kwani kura ni siri kati ya mtu na sanduku la kura.
 
Hilo lipo kwenye maandiko matakatifu yasemayo:-

PROVERBS 13:11 The wealth gained by dishonesty will be diminished but he who gathers by labour will increase
 
Back
Top Bottom