Lazima kitumike kidogo kupata kikubwa si kikubwa kupata kidogo. Maana hata kazi mbaya(ndogo) huzaa kazi nzuri (kubwa). Hatuwezi kuanza juu kushuka bali chini kukwea huku tukitumia kanuni ya hapo...
Ndg wan JF,
Kulingana na tathimini ya mwenendo mzima wa kampeni za uchaguzi kwa takribani siku 40, wapiga kura wameonyesha dhahiri kuwa CHADEMA itashinda katika majimbo yafuatayo; Hizi sio hisia...
Baada ya watu kuongelea saana kuhusu Kihehere1, 2 and 3 naona kampeni zao zime poa? kulikoni? wamekataa tamaa au nimi mimi kukosa mawasiliano nao/magazeti/redio au wanajadiliana kwanza. hatua za...
Bnafsi nilikua najua Dr. Slaa Atatembelea Iringa Tar 3 mwezi wa Kumi.
Nashangazwa katika mitandao fulani kuwa Dr. atakua Iringa leo. yaani tar 2 October.
Pita pita zangu mitaani wengi wanajua Dr...
Ujerumani yashangazwa kutoendelezwa Reli ya Kati
Na Mashaka Mgeta
Serikali ya ujerumani imesema ni aibu kwa Tanzania kuiacha reli ya kati inayoendeshwa na Shirika la Reli nchini (TRL)...
Ndugu wanajamii,nilikua natafakari sana urais kwa ndugu zetu wa Zanzibar,nimeona kua ni Vizuri wakampa Kura Maalim Seif wa CUF.Ukiangalia Dr Shain alipokua makamu wa Rais,amefanya kitu gani cha...
Daniel Mjema,Moshi
MBUNGE wa Jimbo la Simanjiro,Christopher Ole Sendeka (CCM) amemtetea mgombea Urais wa CCM, Jakaya Kikwete kuwa ni kinara wa vita ya ufisadi.
Alisema rais Kikwete ni kinara wa...
Jamani si kwamba nimehisi tishio lolote la hatari la kiusalama nchini kwetu.
Leo nimeona na kusikiliza katika CNN wenzetu (USA) wakidadavua mjadala kama mfumo wao wa rangi wa kushauri hali...
Wadau, nimeipata stori hii katika Tanzania Daima ya leo uk. wa 3:
Ujanja wa CCM wagundulika
N Mwandishi wetu, Dodoma
MBINU chafu za Chama cha Mapinduzi (CCM)...
JK: Bila safari za nje tungekufa njaa
Na Joseph Mwendapole
* Asema hawezi kubakia Ikulu akimtazama Salma
* Anataka akumbukwe kwa kujenga barabara, maji
Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi...
1. CCM hadi hivi sasa imefanya juhudi kubwa za kuifanya CHADEMA ionekane kama chama chenye fujo na kinaharibu "utulivu na amani" wa Watanzania!
CHADEMA bila kujua hila za CCM kimeingia mkenge...
Najua kua humu ndani kuna wanasheria waliobobea.Hivi CCM inapoamua kumpiga mtu au kundi la watu picha na kuamua kuweka publically kwenye mabango yao na bila ridhaa ya watu husika kwa manufaa ya...
Kuna Askofu mmoja huko Moshi alisema kuwa uchaguzi mkuu mwaka huu utashangaza na kama haitakuwa hivyo basi yuko tayari kupigwa mawe.
Nakubaliana naye na hapa kuna mengi ya kuangalia.
Ndio mwaka...
Dr. Slaa leo ameanza kuwakawaka channel ten
Katika taarifa ya habari ya channel ten ya jioni ya leo, Dr. Slaa ameonyeshwa akiwa anahutubia mkutano wake wa kampeni huko Ifakara...
...Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la D'Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amesema kwamba madai kwamba mgombea fulani ni chaguo la Mungu huo si usemi wa Kanisa Katoliki wala si msimamo wa Kanisa...
kuelekea uchaguzi mkuu,ubaguzi wa rangi,udini na ukabila vipigwe vita
Na JUMA KIDOGO
Kwanza kabla ya yote nitakuwa mchache wa fadhila kama sinta mshukuru Mungu ambaye ameniwezesha leo...
brahim Bakari, Kaliua
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete amesema anataka Watanzania wamkumbuke kwa mambo nane wakati atakapoondoka Ikulu 2015.
Kikwete alisema hayo alipokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.