Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,541
- 7,372
Duh haka kajamaa bana, tangu nianze kumjua kwenye ulingo wa siasa yaani yeye ni tishet nyekundu na kofia nyekundu tuuuuuu...tangu ule mdahalo wa tbc,nikahudhuria tena mkutano wake mabibo na sinza, ule mdahalo wa itv movenpic, tishet ni hiyohiyo tu nyekundu...leo nimemuona tena mitaa ya manzese uzuri na tishet nyekundu tena..dah!!!au ndio sare za CUF hizi? au ndio mambo yalelyale ya sheikh yahya na masons? kama vp pitisha kapu kwenye vikao vyako tutakuchangia tu baba!!!au ndio ishara za katazo la JW??Eeeh yangu macho...........!!