Kawawa bado mjumbe wa kamati kuu CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kawawa bado mjumbe wa kamati kuu CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Reyes, Oct 5, 2010.

 1. R

  Reyes Senior Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika pitapita zangu mtandaoni nimebahatika kukutana na tovuti ya CCM, duh jamaaa hawapo up-to date kabisaaaa yaani hadi leo kawawa yumo kama mjumbe wa CC. kwa hali hii tutafika kweli?
  1. Jakaya Mrisho Kikwete (Mwenyekiti)
  2. Pius Msekwa (Makamu Mwenyekiti Bara)
  3.Amani Abeid Karume (Makamu mwenyekiti Zanzibar)
  4. Ndugu Yussuf R. Makamba - Katibu Mkuu
  5. Capt. (mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
  6. Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
  7. Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
  8. Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
  9. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
  10. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
  11. Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
  12. Mzee Rashid Mfaume Kawawa - Mjumbe
  13. Dr. Salmin Amour - Mjumbe
  14. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
  15. Capt. (mst) John Zefania Chiligati - Mjumbe
  16. Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
  17. Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
  18. Ndugu Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe
  19. Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
  20. Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
  21. Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
  22. Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
  23.Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
  24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
  25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
  26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe
  27. Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
  28. Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
  29. Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
  30 . Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
  31 . Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
  32 . Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
  33. Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
  34 . Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
  35. Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
  36. Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
  37 . Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
  38. Ndugu Yussuf Moh'd Yussuf - Mjumbe

  Source: Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM
   
Loading...