JK kachoka sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kachoka sana

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mawenzi, Oct 5, 2010.

 1. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wana JF, ukimwangalia sana JK utagundua kuwa kachoka bin taabani! Analazimisha tabasamu! Anaongea kama vile anaongea na waandishi wa habari, haongei kama anahutubia. Atamaliza kweli kampeni?
   
 2. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huyu inabidi apumzike kwanza hana jipya lolote analowaambia Watanzania zaidi ya porojo zile zile za tangu 2005: nitafanya hiki, nitafanya kile... halafu utekelezaji hakuna.
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Kusoma sana si kufaulu mtihani, soma kidogo pumzika tengeneza afya.JK ni sawa na wasomaji wanaosoma sana kwa kudhani atafahamu zaidi kumbe ni kuharibu zaidi.Anapiga kampeni bila kupumzika kwa nini asichoke?? na bado

  Dr.Slaa tumekuwa naye mtaani kwa wiki nzima akijenga afya na kufanya networkings kama vile message chats, attend media conferences, visits and other sorts of.
  Baadae si tumeshuhudia nguvu alo anza nayo it is a mass destruction kind of force.
   
 4. g

  grandpa Senior Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 24, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nasubiri kwa hamu nimwone akipiga mweleka mwingine mbele ya kadamnasi!
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Tumwombee apone jamani huu si mda wakumcheka mheshimiwa wakuuu
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kachoka akili zaidi ya mwili, anayosema leo na mashaka kama atakumbuka baada ya uchaguzi huu. ila kwasababu atakua mkulima wa mananasi kule kwao Ukwereni basi hapana shaka atapa muda wa kutosha wa kubalizi.
   
Loading...