Elections 2010 Jk atahutubia nini nyerere day?

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
kama ilivyo kawaida ya porojo za ccm kuwa wanamuenzi baba wa taifa huku wakiwa wachafu kimaadili kupindukia,ikiwa sasa kwenye kampeni zake hasa kwenye majimbo yenye wagombea wenye maadili shakani kama chenge,lowasa,rostam yeye amewasafisha japo wanabaki na tuhuma zao mbele ya jamii,hivi atawahutubia nini watanzaania siku ya kumkumbuka mwalimu oct 14?
 
ratiba yake inaonyesha siku hiyo atakuwa anaomba kura
 
Atakachosema kitakuwa tofauti na kile kilicho moyoni. Atasisitiza amani na pia kuahidi nafasi kwa wanawake. Hataogelea wanafunzi kunyimwa haki ya kupiga kura wala kuwapamba Rostae na Lowasaee. Ofcourse Kimoyo moyo atamshukuru Mungu Azimio la Arusha lilifukiwa kina kirefu na hivyo halitoi harufu. Kimoyomoyo atafurahia jinsi familia yake inavyotawala kifalme. Kulia atakaa malikia Salma (Bi mkubwa) na kushoto ataka mwanamfalme (Prince) Riz1
 
Kwani anachelewa kuvunja utaratibu wa hiyo ratiba?jana yenyewe karudi tena manyoni na kahutubia kata za chikuyu na kintiku na wakati ratiba yake inaonyesha yupo mkoa wa dodoma
 
Hana jipya kwani yeye ni adui namba moja wa mfuko wa Mwl.Nyerere(mwl.Nyerere foundation).Amezuia ujenzi wa jengo la kisasa ghorofa 20 la kumbukumbu ya huyo mzee kipenzi chetu ati kwa kigezo eneo la ikulu haitakiwi kuzungukwa na majengo marefu zaidi ya ghorofa 4.Swali Majengo pacha ya kifisadi BOT vipi? na pia kuna jengo kubwa la MANJI na taasisi moja ya serikali(ubia wa kifisadi) pale ocean load vipi?
JK kamtendea visivyo huyo mzee na mzimu huo utamtafuna mpaka atujuta kumfahama baba wa Taifa mwl.julius kambarage Burito Nyerere.
Hata familia na watanzania tunamshangaa.HASHINDI YULE !!!!!!!!!!HAJATENDA HAKI KWA MWALIMU
 
Aiseeee kumbe...anacheza na Mwenye-Heri. Angejua!
 
kama ilivyo kawaida ya porojo za ccm kuwa wanamuenzi baba wa taifa huku wakiwa wachafu kimaadili kupindukia,ikiwa sasa kwenye kampeni zake hasa kwenye majimbo yenye wagombea wenye maadili shakani kama chenge,lowasa,rostam yeye amewasafisha japo wanabaki na tuhuma zao mbele ya jamii,hivi atawahutubia nini watanzaania siku ya kumkumbuka mwalimu oct 14?

eeka urasa, hivi kuna siku ya WANGWE? labda tukijua hotuba ya Slaa siku ya wangwe tunaweza kupata hint ya atakachosema JK
 
Back
Top Bottom