Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema Dr. Willibrod Slaa amesema umasikini wa watanzania hauwezi kuondolewa kwakuwanunulia Bajaji (Pikipiki ya matairi matatu) iliyotolewa naJakaya Kikwete kwa...
Endapo hakutakuwa na mgombea wa Urais ambaye amepata kura zaidi ya asilimia hamsini basi wagombea wawili waliopata kura nyingi zaidi wataenda kwenye mzunguko wa pili ndani ya siku arobaini baada...
Ndugu wanajf
Mambo mengine yanayoyasikika na kushuhudiwa kwa macho kuhusu uchaguzi mkuu wa 2010, yanastahili kupewa jina moja tu VITUKO VYA UCHAGUZI kwani naamini kuwa huwa ni nadra sana...
Nimehudhuria Kampeni za kikwete leo hapa Dodoma katika uwanja wa jamuhuri. Mkutano ulianza kwa wanamuziki mbali mbali kutumbuiza na wananchi wakawa wanashangilia sana.
Baada ya muda kupita Mgombea...
Mimi nikiwa ni mmoja wa watu ninaye penda sana Burdani, nimegundua chama kina uwezo wa kuvunja taratibu za kampeni bila kufokewa na Msajiri wa Vyama vya siaasa wala Tume ya Taifa ya uchaguzi...
Badala ya kuenzi siku hii kwa kusikiliza hotuba zisizo na mashiko toka kwa wasioenzi ya wanayemuenzi nashauri mwaka huu siku hii itumike kuweka mikakati thabiti ya kuhakikisha mabadiliko ambayo...
Kwa wale ambao wanataka kumchangia Mwanaharakati Ndugu Halima Mdee mwaweza kufanya hivyo kama maelezo yake yanavyojieleza hapo chini na vilevile mwaweza kufuatilia mtungo wake UKOMBOZI WA KAWE
Tanzanians ready for change Slaa
By ThisDay Reporter
28th September 2010
THE presidential candidate of the opposition Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dr. Willibrod Slaa, has...
Juzi tumesoma kwenye magazeti na kuona picha jinsi askari wa kutuliza ghasia wakihitimu mafunzo ya kupambana na ghasia. Walikuwa kwenye vifaa vipya na kuonesha kufuzu mafunzo hayo. Moja ya malengo...
ZOMEA zomea kwenye mikutano ya kampeni ya CCM jana ilimgeukia mpigadebe aliyejaribu kuingiza masuala ya maisha binafsi ili kumponda mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa baada ya...
kukosekana kwa Uadilifu na Uwajibikaji ndani ya CCM kulianza zamani .... mpango mzima huu hapa BongoTz.com
UADILIFU NA UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA TANZANIA
Na, Samwel. H. Kasori: (Katibu...
Naomba siku ikifika muikumbuke thread hii.
Kikwete hafai na amekata tamaa. Sababu ni nyingi lakini sababu kubwa sitaitaja. Kamtu kadogo kama mimi siwezi kukubali kuleta taharuki ya taifa. Lakini...
NDIO kwa mgombea uraisi wa CUF Pr. Ebrahim Lipumba ,hizo ni habari mpya kabisa ambazo zimeanza kuzagaa mitaani kama moto wa mbugani.
Baada ya Dr Slaa kufumaniwa na mke wa mtu katika majukwaa...
Naomba nitoe wosia wangu na waraka huu kwa watanzania wote. Mi nimeshirikisana katika kupiga kura kwa awamu mbali mbali na sijawahi kutoa waosia wa kuwaasa watanzania wenzangu.
Ninaomba...
Kutokana na watu kuanza kuhofia wagombea kutokukubali matokeo na hata Jeshi kutishia.
Ufuatao ni ushauri wangu wa haraka wa kujiandaa kisaikolojia na kuwaandaa wafuasi.
1. Wagombea urais kama Dr...
Asalam aleikum wanajamvi
jamani kuna jambo linanitatiza na natumai kila mtu anachangia kile anachokijua kuhusu hili,
ni hivi.wapiga kura wote ni watu wazima wanaojielewa hivi inakuaje mtu...
Ndugu zangu wote walioangalia ITV jana, waliona jinsi kiongozi wa TAMWA, Ananilea Nkya alivyolaani kitendo cha JWTZ kujiingiza katika masuala ya CCM. Hivi ndivyo inavyopaswa kuwa sababu hasa wote...
Jana tuliboreka sana pale Mwembe togwa
Wangekuwa na collection ya nyimbo za kimapinduzi kama zile za kwenye filamu ya Sarafina.
Uchaguzi uliopita Malawi walikuwa wanazitumia sana.
Very patriotic...
sote si wageni wa chama chetu kilicholeta uhuru cha tanu na maadili yake,tazama hata viongozi wake waliweka maslahi ya umma kwanza na ndio maana wengi wao hadi mauti yanawakuta hawakuwa na mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.