Mi naona kikwete atatumia nguvu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mi naona kikwete atatumia nguvu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Safre, Oct 5, 2010.

 1. S

  Safre JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jaman hivi ni kwel tunaamina rais tunayempenda sis dk slaa akishinda atatangazwa mshindi. Nan kawateuwa viongoz wa tume ya uchaguz tuweke watu wenye msimamo, kwenye kulinda kula hawa watu watatumia hata ushilikina.mi naomba tunipange
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Hata msituni tutaingia soma signature chini hapo!
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Atatoka tuuu haijalishi wewe kapige kura yako tu!
   
 4. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,309
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  yeah, for the first tym we gonna build a rome in a day. jus weka tiki kwa DR SLAA.
   
 5. minda

  minda JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  tume ya taifa ya uchaguzi/nec ni chombo huru licha ya kuteuliwa na rais; hivyo usihofu hawawezi kuwasaliti watanzania kama ile ya kenya ilivyofanya.
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  Ushirikina!!!
  Ndugu tupo imara sana, sana kwa masuala hayo ya kishenzi, kabila ya tarehe mosi dunia itastaajabu aibu watakayoipata wote walifunga hirizi viunoni wakitarajia kuchukua uongozi wa taifa kupitia kuzimu walikoapishwa.
   
 7. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Hirizi kwa Dr.Slaa hazina nguvu zinasambaratishwa kiurahisi zinawarudia wao na kuwadhoofisha.
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kama anataka yatokee yale yaliyotokea Kenya, basi ajalibu kutumia nguvu.Nchi haitatawalika na The hegue itamsubiri kwa hamu kubwa.Jk ni kama chui wa karatasi hatishi!
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Hata mimi simuamini sana Huyu Mkwele, mbona kama vile kakaa kishari shari hivi....ogopa mtu anayejichekelesha na kukenuliwa meno, si rafiki hata kidogo..MUNGU sikia maombi yetu.

  Jana nilisikiliza kwa ufasaha sana Hotuba ya Kakobe, kweli ilikuwa nzuri na iliyojaa positive mtazamo,, kweli thithiemu hawana lao tena,
   
 10. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Tuwasilishe kura yetu tusiogope japo ccm wanasema ushindi ni lazima maana yake wako tayari kumwaga damu km walivyofanya zanzibar............tuko tayari kuuawa kwa ajili ya mabadiliko...........kikwete ondoka
   
 11. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  naona Wajukuu wa slaa mashawaza mbali saaaana kushika mitutu ya bunduki!! OLE WENU!!
   
 12. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Na ndio maana uwanunua mawakala wa vyama pinzani!
   
 13. P

  Preacher JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ee KIKWETE Uliye tufilisi, Jina lako USANII MTUPU, utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,
  utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani, uwape
  WASTAAFU pesa zao, uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe
  LOWASA, Usitutie katika mikataba FEKI, kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata
  milele, na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani…
  "AMINA"
  Tanzania yenye neema inawezekana changua mabadiliko – Changua CHADEMA
  www wilbrodslaa com

  mmmmmmmmmmmmmmmmm naomba KIKWETE ASOME HII SALA NI YAKE KABLA HAJAWAZA KUTUMIA NGUVU ZAIDI!!!!!!!!!!!!!!!!:decision:
   
 14. minda

  minda JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  sio nec, wanaotuhumiwa kwa hilo ni ccm!!!
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,233
  Trophy Points: 280
  Tume ya uchaguzi usifikiri hawaoni upepo unavyovuma dhidi ya bosi wao JK. kazi ya JK iliyobakia ni kuwarubuni wahesabu kura akishindwa hapo hilo ni baooooooooooooooooooo.

  Kazi ya Chadema ni kuwa waangalifu katika uteuzi wa wahesabu kura na kuchagua watu waliotosheka na ambao hawawezi kubabaishwa na vijisenti vya Bw. JK ambaye yupo tayari kuiuza hazina ili mradi tu yeye atangazwe mshindi.

  Hivi sasa serikalini kazi zote zimesimamishwa na hela yote inaelekezwa katika kuokoa jahazi la JK lisizame
   
Loading...