Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,150
Wapendwa kwanza nawasalimu kwa jina la bwana wetu kristu alie hai..pili polen sana na shuguli za kila siku hasa wakati huu ukifikiria jinsi ya kwenda kugongana bams na watu huku wengine wakitoa masalio yao ya mchana mkiwa mmejaa na huku EPHRAAAAAAAAAAIMU KIBONDE akiwachekesha sana pasipo kuamini unasikia Mwisho wa GARI JAMANI ...si mbaya kuelezana ukweli wapendwa najua wachache watkaokuwa hapa jamvini baada ya uchaguzi
MI ni mmoja wa wapenda mageuzi lakini simbaya kusema ama kuelezana ukweli jamani hatuna upinzani zaidi ya kutumia fedha za wananchi kwenye uchaguzi na kuwahadaa watanzania ....nasema hivi kwa moyo mmoja pengine naahatarisha maisha lakini la hasha inaniuma pesa tunayotumia kwa ajili ya vyama vya upinzani ambavyo viko kama viko na vingine vinafikia kuwahadaa watu maofisini...si mbaya kusema hivi ila ndugu naomba mjue si wana CHADEMA/NCCR MAGEUZI/TLP wote ni wanachama wa hivyo vyama ama kwa kusema si wote wanaoshangilia UPINZANI ni wapinzani
Hili ni kuwajulisha wale waliojitwika kwa moyo mmoja wakitaraji mageuzi ya kweli yapo kwenye porojo .ndugu anguni kweli yawezekana tukawa na wabunge wapinzani lakini ukweli bado upinzani wa kweli aujafika tanzania..na kama kweli sijaona kwa nini wameshindwa kuungana na kumchagua mmpja kugombea urais..ukitaka kujua hizi chaguzi ni dili we jiulize hilo kabla aujaambiwa sh ngapi hivi vyama vinapewa kila mwezi ati kujiendeleza na huku shule zikikosa madawati....anyway wana mapinduzi tuwe makini na hawa wanaotushabikia na kurusha nguo zao ama vikanga vyao ovyo si wote wanamapinduzi wengine wametumwa na wamo umo humo ndani
Kila la kheri