Ng'wanangwa
Joined
Likes
1,279

Profile posts Latest activity Postings About

  • Kwa mujibu wa uchunguzi niliofanya katika kipindi hiki cha kampeni, nimegundua kuwa vijifulana na vijikofia vya CCM havivaliwi kama ilivyokuwa chaguzi zilizopita.

    Ni uchaguzi wa mwaka huu tu ambapo picha ya Kikwete zinachanwa kila zinapobandikwa kuliko wakati wowote ule. (Picha nyingi za Kikwete utazikuta mitaa wanayoishi Wahindi kama upanga na kisutu). Huku kwetu mbagaraa cheche kabisa. Picha ya Kikwete haina tofauti na tangazo Jahazi Modern Taarab.

    CCM lazima wasome alama za nyakati: wametutoa wapi, wametufikisha wapi na wanatupeleka wapi??
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…