Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kuwa Synovate na REDET wamegoma kutoa matokeo ya kura za maoni zinazoonesha kuwa Dk. Willibrod Slaa amempiku Jakaya Kikwete, na gazeti la serikali Daily News na la CCM Uhuru wameleta mizengwe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nahitaji namba za simu za Slaa, Mbowe na Zito....! ninalo la kuwaambia.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jakaya Mrisho Kikwete. HAKUNA ubishi kwamba matarajio ya Watanzania wengi katika uchaguzi mkuu ujao ni kuona mabadiliko makubwa yakitokea katika nafasi mbalimbali za uongozi wa nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikia Lipumba naye ni miongoni mwa watu wa CCM anawayeyusha CUF Za ndani zaidi na zitakak
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Kama CCM wameweza kukodi mabasi na maroli ya kubeba watu kwenda kwenye kampeni, kununua T-shirt na kofia kwa kila mtu mwenye muda wa kwenda kwenye kampeni zao nchi nzima kwa pesa za Umma...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Nimekuwa nikisoma gazeti la Raia mwema kwa muda kuna mtu ameamua kubadili jina lake na kutumia jina Msomaji Raia ili kumshambulia Rais Kikwete.mtitiliko wa maandishi yake hautofautiani na...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
naona ndugu zetu sasa wameanza kuzidiwa na mashambulizi ya hoja na kuja kivingine
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hapo basi ndipo ninapopata wasi wasi wa siasa za Tz, mimi nina asli ya upinzani ktk damu yangu,na nishafikia kuapa kuwa siwezi kuwa ccm,kwa jinsi ninavoichukia hii ccm,lkn kuna baadhi ya vitu ktk...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndg zangu mie bado ninatafakari habari za wa 16. Wazo langu ni kwamba huko. Tuliko tuhakikishe basi tunafanya kazi ya kufa na kupona kwa kukuwa mabalozi wazuri kwenye zoezi la kusimamia uhesabuji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya Serikali kutangaza nafasi ya kazi ya CEO mpya wa Tanroads, Ephraem Mrema wa Tanroads amewaambia watendaji wake kwamba tangazo la kazi la CEO mpya ni danganya toto maana ameshaonana na JK...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mpiga debe ambaye pia ni mke wa rais wa Tanzania ameingia katika simanzi ya aina yake pale idadi ya watu waliohudhuria kampeni alizokuwa akiziendesha katika ukumbi wa kibo kuzidiwa na wale...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mchakato wa kampeni za uchaguzi wa mwaka huu unaonyesha ccm na hasa kikwete imepata upinzani mkubwa sana ambao hawajawahi kuu-experience na wala hawakuutegemea, imekuwa 'surprise' nakuleta ' a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa nini viongozi wa ngazi za juu serikali nyumba zao zipo sehemu fulani tu ? Je usingekuwa ubunifu wa kuwa karibu na wananchi kama kwa mfano serikali ikawa na nyumba mbili za watendaji sinza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kulikuwa na tetesi kuwa Karatasi za kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zinachapwa Uk, zina serial numbers kwa ajili ya control na haziwezi kuchezewa (kuchakachuliwa) lakini punde nimepata...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kama tukiendelea kutawaliwa (sio kuongozwa) na CCM, tunaelekea kuzimu kwani tukijashtuka hatuna madini tena (yote yamechukuliwa na "wawekezaji"), hatuna gesi tena, tumeua mbuga za wanyama (maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jukwaa, Leo ndio siku mwenge ulitinga katika mji wa Bukoba. Moja ya miradi iliyoibuliwa na mwenge ni jengo la kibiashara la gorofa mbili linalomilikiwa na mfanya biashara ambaye ni mwenyeji...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kigumu chama cha mapinduzi kushinda mwaka huu! VIGUMU! Kwa jinsi walivyokataa kuwawajibisha mafisadi na hata kuwakumbatia! NI NGUMU FIKRA ZA MWENYEKITI! NI NGUMU Kudhania kuwa familia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti moja la kila siku limeandika leo kuwa Mkapa amewashangaa Wazanzibari kukubali kuunda serekali ya mseto ya umoja wa kitaifa. Alikuwa anahojiwa na BBC. Binafsi nimeshangazwa na kauli ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
naam nimekutana na hii habari hebu tuisomeni kwa makini kisha tuanze kuichangia jee yapo ya kujifunza humu ? Mgogoro wa kikatiba Tanzania: Chanzo ni nini? Makala ya Kiongozi wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom