sababu tano kwanini CCM haitaendelea kushinda kila uchao

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
Sabnabu tano kwanini ccm itaangukia pua uchaguz ujao!!

Zifuatazo ni sababu tano kwanini CCM haitaendelea kushinda kila uchao
1. Kuna mbadala wa CCM Tanzania (CHADEMA)
2.Tanzania kuna upinzani wa kuitishia CCM
3. Upinzani wa Tanzania sasa umeamka kama ilivyo CHADEMA hivi sasa
4.Upinzani wa Tanzania upo mpaka vijijini (CHADEMA)
5. CCM is a master of tanzanian dirty politics.

NAOMBA KUWASILISHA HOJA

thithiem :alien::alien::alien::alien::alien::alien::alien::alien::alien::alien:
 
6. Wamependekeza raisi kilaza, anachukua madesa kila sehemu:

Obama_kikwete.jpg
 
Back
Top Bottom