Elections 2010 Nauliza kweli wanaokuja kwenye kampeni za JK huletwa na Maroli?

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Kwa muda mrefu kumwkuwa na thread kuwa wengi wa wanaokuja katika kampeni za CCM na JK mbali na kushangaa kuwa mgombea mmoja anaweza kusafiri kwa herikopta 3 lakini kuna tetesi kuwa huwa wanasombwa kwa maroli. Mimi sitaki kuamini hata kidogo. je yupo ambaye ana picha atuwekwee tuone maroli yakileta watu mkutanoni?
Karibu mwenye uthibitisho
:director:
 
Kwa muda mrefu kumwkuwa na thread kuwa wengi wa wanaokuja katika kampeni za CCM na JK mbali na kushangaa kuwa mgombea mmoja anaweza kusafiri kwa herikopta 3 lakini kuna tetesi kuwa huwa wanasombwa kwa maroli. Mimi sitaki kuamini hata kidogo. je yupo ambaye ana picha atuwekwee tuone maroli yakileta watu mkutanoni?
Karibu mwenye uthibitisho
:director:
Hudhuria mikutano ya kampeni ya CCM. Hasa ile anapokuja JK. Maana inaonekana kama viongozi wa Wilaya na Mikoa wana agenda ya kumfanya JK aamini kuwa CCM inakubalika kila mahali. Kwa hiyo pale ambapo watu hawatoshi wanajazia kwa kusomba na malori.
 
hapa manyoni juzi alipokuja kikwete lori namba t 307 afl lilikuwa na hilo jukumu la kusomba watu
 
kwani unaishi sehemu gani yasikoonekana haya mkuu, haka ukiwa barabarani utaona kofia zimejikusanya zikisubili mabasi na maroli
 
kwa muda mrefu kumwkuwa na thread kuwa wengi wa wanaokuja katika kampeni za ccm na jk mbali na kushangaa kuwa mgombea mmoja anaweza kusafiri kwa herikopta 3 lakini kuna tetesi kuwa huwa wanasombwa kwa maroli. mimi sitaki kuamini hata kidogo. Je yupo ambaye ana picha atuwekwee tuone maroli yakileta watu mkutanoni?
Karibu mwenye uthibitisho
:director:

hivi ina maan haukuona zle picha za wanafunzi wa shule mbali mbali mkoani iringa? Wanafunzi kampeni inawahusu nini wakati wanatakiwa kuwa masomini?
 
Swali lako linafanana na hili. "Jee barghashia inavaliwa Pemba?" jibu lake liko wazi mkuu.
 
sasa wewe uko bongo unataka uyaoneje hayo malori. nenda kwenye kampeni yake mojawapo na ufikie kijiji cha jirani siku moja kabla. utasikia balozi anaandikisha wananchi na kuwapa posho ya kujikimu (disturbance allowance buku 2) kisha majira ya saa 4 (kama mkutano ni jion) magari yanatinga kijijini kusomba raia
 
Hukuona malori ya waarabu (fm abri ) yanaposomba watu kutoka iringa vijijini kwenda ir. Mjini na wanafunzi walifunga shule kwa muda ili kwenda kujaza uwanja wa samora.
 
SASA HUAMINI NINI, NA HUPEWA tSH 3000 HADI 10,000 KUTEGEMEA NA WEWE NI NANI KATIKA CHAMA , na pia huongezewa fulana, kapelo, Tshirt na chupi za bure.
 
Back
Top Bottom