Kikwete ni Golikipa aliyeuza timu kwa wapinzani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete ni Golikipa aliyeuza timu kwa wapinzani!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KIDUNDULIMA, Oct 5, 2010.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Ameuza timu toka kipenga cha kwanza kilipopulizwa. Ameruhusu magori kuingia hata pale alipotakiwa kudaka.
  (i) Ameruhusu David Balali kukimbia nchi,
  (ii) ameruhusu Andrew Chenge kuendelea kupeta mitaani na kuwa miongoni mwa viongozi wa chama pamoja na mgombea ubunge wa bariadi mashariki
  (iii) Amewanadi Mramba na Rostam kwa ajili ya ubunge pamoja na tuhuma zote walizo nazo
  (iv) Anawadanganya watanzania kuwa Lowasa alistaafu wakati alijiuzuru
  (v) Ameshindwa kuwakamata wafujaji wa pesa za EPA, Meremeta na tangold
  (vi)Amewakumbatia mafisadi ndani ya chama
  (vii) Ameruhusu walanguzi wa umeme waendelee kutulangua kwa kisingizio cha gharama za uendeshaji
  (viii)..............
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Kweli wewe uneipenda ccm kama mimi mkuu naipenda ccm ila nachukia ufisadi tena kwa vitendo.
   
 3. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  kweli mkulu katutosa. Hivi mbona hajaenda kwenda kumsalimia Obama?
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  anaupendo na watanzania ndo maana yupo mpaka saizi
   
Loading...