Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unajua ukiwa juu unaweza kuviona vitu vyote vilivyoko chini kuwa ni vidogo; Na kwa kadiri unavyoenda juu zaidi ndivyo vitu hivyo vinaonekana kuwa vidogo zaidi. Hata hivyo ukweli wa mambo ni kuwa...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Gazeti la Majira la leo limeripoti ya kuwa wiki iliyopita CCM Wilaya ya Arusha ilimweka kiti moto Dr. Batilda na kumlaumu kuwa mikakati yake ya kuligawa jimbo ndiyo iliyochangia CCM kulipoteza...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
WanaJF, mmekuwa mkisikia Mzee Wa Visenti analamba jimbo la Bariadi wakigawana na Cheyo...Sasa nadhamiria kuthubutu maana nia na uwezo ninano wa kuweza kumwangusha Mwaka 2015 au hata kabla ya hapo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ilitokea 2006, wakasema halikuwa kosa lao. Sasa kimetokea tena, visababishi ni vile vile. Maumivu ya 2006 bado tunayo na gharama bado tunaendelea kulipa (dowans). Sijui safari hii wanataka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kabla ya uchaguzi mkuu watu walikuwa wanafananisha wabunge 20 wa CCM sawa na mbunge mmoja wa CDM, sasa kuna maneno huku mitaani watu wanasema kuwa Mh. Tundu Lissu mbunge wa CDM ni sawa na wabunge...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani, hii ni hatari mno, si siasa, wala vyama, wala TANESCO, bali linatuhusu wananchi wote, Mafisadi hawajaridhika na kutunyonya, sasa wanataka bil Tshs 185, hii ni sawa na kuwamaliza na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama kuna mwaka ambao historia imewekwa katika tasnia ya siasa basi ni 2010. Chama kilichopigwa vita kwa nguvu zote kwamba ni cha kikabila, kimkoa, kinini sijui, hatimaye kimezoa majimbo yote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa maneno aliyoyatoa Mh Tundu Lissu(MB) na mwanasheria wa CHADEMA inaonyesha CHADEMA wameanza kumtambua Rais Kikwete kuwa ndiyo Rais Halili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Na nyinyi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hebu tujikumbushe kuhusu Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa hizi few Facts alafu tujadili mwelekeo wa sasa wa serikari ya Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Mwalimu JK Nyerere During his retirement...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Raisi Mstaafu Mwinyi tulimpa ufyagio wa chuma mwaka 1990 ili asafishe ufisadi katika serikali yake lakini Mei mwaka huu alijigamba kuwa wakti wa serikali yake ufisadi haukuwepo...............na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Eti nalo lina vichwa vya habari vyenye kushawishi watu kulinunua. maajabu. mara hii tu munafikiri tumesahau? wehu kweli nyie watu wa gazeti la Mtanzania.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwanza niwieni radhi kwani thread hii nimeiandika harakaharaka lakini naamini mtaiona ni ya msingi. Mimi sina shaka na kina Tundu Lissu kufikisha hoja yoyote . Wala siiogopi majority ya CCM mle...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Makamba kuendelea kuula CCM Saturday, 04 December 2010 07:35 Fredy Azzah CCM imesema haina mpango wa kufanya mabadiliko yoyote ya uongozi hadi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa maoni yangui JF imekuwa mbele sana katika kuelimisha jamii ingawa ni wachache wetu tunaweza kuwa na access ya internet, katika uchaguzi huu wa mwaka 2010 JF imesaidia mengi sana hasa katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila kukicha kunafunuliwa jipya kuhusu Ufisadi na kigugumizi cha Chama Twawala kushika hatamu na kuwajibika. Butiama tumekwenda, tumefuta mwafaka, tukamhani Julius, tukaunyamazia uhujumu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jana, kupitia taarifa ya habari kwenye kituo kimoja cha TV, walioneshwa viongozi wa nchi za Afrika Mashariki wakizungumzia ishu ya kutunza misosi, sijui mabadiliko ya tabia nchi. Ilifanyika...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya wanajf kumchachafya jamaa aliyeletwa kwa ajili ya kusoma magazeti asubuhi pale tbc 1 bwana Sautimbaya, leo kasoma Shaban kisu. alianza na uhuru akafuata na habari leo!! mengine yakafuata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Nimekuwa nikifuatilia sana siasa za Chama kikuu cha upinzani na kuweza kuona mambo yafuatayo. 1. Inaonyesha viongozi wa chama hawana msukumo kisiasa na kidiplomasia kwa kuwa uamuzi wao mwingi...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Makamba anaendelea, NA NINAMUOMBEA KWA MUNGU IKIFIKA KIPINDI CHA KUCHAGUANA APITE TENA..... Anatupatia msaada mkubwa sanaaaaaa. Na tuitumie fursa hii Na ninaomba WAANDISHI wamfuate tena...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wandugu, Katika vituko ambavyo wengi wetu huwa tunavishuhudia nchi hii ni pale rais wetu anapopata uenyekiti wa mojawapo ya jumuiya za ushirikiano na nchi zingine za Afrika. Kwa mfano, katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom