MAFISADI WANATUUA, wa Tz tupambane bil Tshs 185..!!?? wananchi hii ni vita kuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAFISADI WANATUUA, wa Tz tupambane bil Tshs 185..!!?? wananchi hii ni vita kuu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jay One, Dec 4, 2010.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Jamani, hii ni hatari mno, si siasa, wala vyama, wala TANESCO, bali linatuhusu wananchi wote,
  Mafisadi hawajaridhika na kutunyonya, sasa wanataka bil Tshs 185, hii ni sawa na kuwamaliza na kuwaangamiza wananchi, tuamke, wapinzani, wana CCM, maaskofu, masheikh, ordinary citizens, hatuwezi kuliwa hivi, sasa inatosha, sina imani na serikali,
  bcos tayari waziri Ngeleja karusha mpira to Tanesco watoe majibu as if hajui chochote, this is rediculous, hii ni kutowajibika, kukwepa majukumu, he knows A-Z. nasema bcos mmiliki wa Dowans anajulikana, na yupo, atueleza hadharani anatutakia nini Wa Tz, napendekeza
  asiwepo ktk nchi yetu, hii ni hatari kuu, hatuwezi kukaa na mtu kama huyu, tuamke serikali
  as usual msitegemee chochote, na tukatae ICC kutuendesha kwani ICC ilianzishwa na
  mabepari to safeguard their properties, hata kama ni uwizi watawatetea tu, sisi tuna mahakama zetu, tupinge, hii ni HATARI, na tusikae na watu hatari kwa wananchi hadi kufikia hivi, wananchi sasa ni wakati muafaka hadi tujue wanataka nini hasa huyu Dowans.
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani hukumu aliitowa mmiliki wa Dowans? Na mlipovunja mkataba wa halali mlitegemea basi, yeye alieleta mitambo na kuisafirisha na kuifunga na kuifanyisha kazi, hizo gharama alizoingia apate yeye hasara? Kumbuka, Dowans si Richmond na Dowans ilitumis fedha yake kununuwa hiyo mitambo, kuisafirisha, kuiunga na kuifanyisha kazi. Haikungoja fedha za Tanzania wala za Benki wala za Tanesco.
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jamani pamoja na maumivu yooote, ukweli wa kisheria unabaki pale pale! Waku-deal nao ni viongozi wetu walioingia mkataba huu na hao jamaa kwani walikuwa na maslahi yao waloyajua. You never know hata kuvunja mkataba wenyewe ulifanyika while at the back of their mind walijua kitachokuja! Tunaomba muongozo kutoka kwa kina Mwakyembe vs Zitto!
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmh,kwa nilipo sijui nifanye nini!
  labda kusubiri kama wata "jilipa" au wata "jisamehe"
   
 5. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280

  u have nothing constructive, u r hopeless, u r fisadi associates or beneficiary, no one would
  mind what u say, wale wananchi ambao tupo wengi hadi tujue huyu Dowans si raia, na anataka kutuangamiza, na pia ana uchafu mwingi amefanya, hafai kuishi hapa TZ, so ni wakati wa sisi wananchi kupaza sauti kuu, hadi aondoke, si raia huyu, sasa ndi muda hatujali ICC wala nani, TZ kwanza
   
 6. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Kumbuka Richmond ndio Dowans, wameuziana mitambo kiundugu, Richmond ilitutia a big loss ever, leo huyu Dowans nae eti alipwe bil 185,
  ni jukumu letu as citizens tupambane face to face viongozi wetu hatuna, hadi sasa nilitegemea Rais atoe tamko kali kulaani ila wapi, waziri kasema Tanesco wajibu is like hajui issue nzima, nasema imefika sisi raia tuanze kumtafuta huyu dowans hafai kuishi hapa TZ, si raia mwema kwani raia mwema hawezi kutufanyia haya, huu ni kutuangamiza, atafute pa kuishi si hapa TZ, we are tired of him, hii ni hatari sana, kitu kimoja yaani Richmond then Dowans inatumaliza mara 2 mfulullizo, na sisi tunaangalia tu, hii haikubaliki
   
 7. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145


  Hao Maaskofu na mashekhe ulio wataja hapo tafua tafua wafute hapo maaaana hao ni wanafki wa kwanza kujipendekeza kwa JK hupenda kutuhubiria AMANI bila kupewa HAKI zetu kama hizi sasa watu wanaingia mikataba mibofu na unakuta hawa huwa wana siri kubwa sana wanazijua na wanakaaga kimya kwa taaarifa yenu, Just mjiulize kwani Serikali hukimbilia sana kwa watu wa dini kuna nini kuwa hawa jamaa wana nguvu sana kuliko hata serikali ila ni wanafki wakubwa wa kwanza ambao wanatufanya sie watanzania twa suffer katika hii hali.
   
 8. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaaaaaaap tupo baba that is true, wananchi ndio sasa waingie hata mitani ikibidi, huyu Dowans atatuangamiza kizazi cha mtanzania, serikali isilipe
  kamwe, tena imkamate huyu dowans, maana huu ni ujambazi mkubwa, Richmond= Dowans, sasa wote ndugu moja wametutia loss ya mabilioni ya
  shilingi leo wanakuja na kudai bil185, we will fight for our rights, Nyerere hayupo, ila hatukubali, enough is enough we ready for anything
  huyu ndie styling i heard hata ktk kuiba kura, Mungu tubariki tushinde
   
 9. N

  Nonda JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280


  Mr. President,

  Umeleta mada nzuri. Iwe ni chachu ya kuwaamsha waliolala na kuona kuwa kuna watu wanachota, wanavuna bila huruma kutoka shamba la bibi.

  Pia iwe sababu ya sisi hapa JF kuacha longo longo, na tuweze kukitumia chombo hiki kama kichocheo cha kuzinduana na kupeana rai njema, ya jinsi gani tunaweza kushughulikia masuala ya msingi ya kitaifa. (Pitia threads nyingi hapa JF utajionea jinsi hamasa, dharau, kejeli, kumwagiana upupu, majivuno yasio na maana, name-calling nk. zilivyoshamiri, zimezagaa kama kauzu, dagaa wanapokuwa baharini/majini)

  Baada ya kusoma mada yako, nimecheka!, nimecheka kwa uchungu ,kwani uliyoyasema kwenye mada ni mambo mazito, kila mwenye uchungu na Tanzania atahisi maini yanamkatika!

  Nilicheka kwa nini basi?

  Jina lako Mkuu!, Jina lako lilinifanya nicheke. Nikajiuliza, ikiwa Mr. president ameshindwa kuchukua hatua madhubuti, ameshindwa kufanya maamuzi magumu.
  Ikiwa Mr, President analalama, jee sisi "mkia wa mbuzi" tufanye nini?

  Umejipa jina zito hilo, ningekushauri ulibadilishe, mkuu!(just for a laugh ,mkuu)

  Hivi mkuu ni mahakama ipi imetoa hukumu hii? Ni mahakama ya Tanzania? Au ya nje ya Tanzania?
  Vyovyote iwavyo, kama ni hukumu ya mahakama basi kama hakuna kukata rufaa basi hakuna namna ila mabilioni hayo yatatutoka.

  Tanzania haijajenga utaratibu wa kuwajibishana, tumejenga utamaduni wa kulindana na kupongezana. Hapa inapasa aliyepelekea kuliingiza taifa, au shirika la umma katika hasara hii apate adhabu inayostahiki, aadabishwe.

  Sasa katika nchi ambayo haina utaratibu wa kuwajibika na kuwajibishana ni « nani atamfunga paka kengele ? »
   
 10. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Mh Zitto Kabwe alitutahadharisha tumwona eti kahongwa hela, dr idrisa rashid akasema akaambiwa anyamaze kwani muda wake tanesco umekwisha. nashangaa zaidi kuonna waziri ngeleja anajitoa kwenye sakata kwa kuwambia tanesco watoe maelezo wakati anahusika yote yamefanyika chini yake na niyeye aliyewapa maelekezo kama waziri mwenye dhamani
   
 11. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Many thanks,
  niliamua kuchukua hili jina ili kuteteta wanyonge as a really shadow President, na kwanini hili jina? kwasbb hata ww shahidi, Rais wetu
  hata maswala ya msingi kama hili hatoi tamko, wala hajibu, hata hashtuki vile, is like is not present, although hakupata kura yangu, but
  sina imani nae, can u imagine bil 185 eti mahakama ya mafisadi nje ya nchi inatoa amri tulipe na serikali haitoi tamko kali, huu ni uwizi na uangamizaji wa wananchi, kumbuka EPA ilikuwa Bil 133 hii eti tulipe bil 185 na wanaodai wapo hapa TZ na wanajiita raia, nasema mwenye dowans tumwondoe, hafai
   
 12. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Don't talk of Zitto next time, faith, trust & hope tulikuwa nayo mwanzano haipo, na jiulize Zitto ana sifa zipi? ile ya kupewa ban
  na bunge kisa Buzwagi tu, nothing more, he popularized himself, and got big bichwa, hafai, na we spotted him, kuhusu Dr Rashid huyu mjue vizuri pia, he is one of the top mafisadi for u r info, so u r advice with ref to these two guys haufai, about ngeleja anakwepta commitment na lazima tutie shaka, we looking very closely what is up next, huu uwizi wa mchana hofu ni kubwa sana kwa wananchi, nilitegemea Rais atoe tamko kali, as usual he is ...........
   
 13. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  mambo haya sasa ndio Rais anatakiwa aonyeshe watanzania kuwa yeye sio mtu wa kuchekacheka.
  Ila matokeo yake yeye anakaa Ikulu tu na kusubiri wageni wa kisukuma wanaotoka Mikoani kwa usafiri wa Baiskeli mpk hapa Dar eti kuja kumpongeza...teh teh Maralia Sugu sijui yuko wapi?
   
 14. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2010
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,611
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Zitto alipoleta hoja bungeni kununua mitambo ya Dowans mkamuita kila majina fisadi, mwizi na mengine mengi.

  Wengine tukaandika kwamba huwezi kudefault legitimate contact kwa sababu za kisiasa, tulishakosea mwanzoni. wengine tukasema kwamba bunge linaweza kutengeneza sheria ambayo itawafanya hawa wawekezaji wajione kama wapo jehanamu. Weka tax burden kwenye energy sector kwa 70% specific kuwa target wao, then watakuja kujadili mada mezani wenyewe.

  Sasa Tanzania inatakiwa ilipe pesa ambayo tungetengeneza barabara kilometer kadhaa. Na ni wazi kabisa Muhammed Gire and Muhommed Saleh wa Dowans ni washikaji, wamesoma wote, wanafahamiana vilivyo. so, Dowans ni Richmond and JK knows that....

  But next time we need to learn, you don't default anything for the sake political gain.
   
Loading...