Mungu atupe nini chadema....

Mungu atupe nini chadema....

Kiherehere

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,806
Reaction score
622
Makamba anaendelea, NA NINAMUOMBEA KWA MUNGU IKIFIKA KIPINDI CHA KUCHAGUANA APITE TENA.....

Anatupatia msaada mkubwa sanaaaaaa.

Na tuitumie fursa hii

Na ninaomba WAANDISHI wamfuate tena wamuulize " mtaji wa CCM kwenye uchaguzi wa 2015" ni nani/nini??
Utasikia VITUKO

Viva Makamba Viva CHADEMA

jionee hapa
 
tayali ccm wananjaa kazi kwenu chadema

Ndo maana ninaona kuwa CCM, uwezo wao wa kufikiri umefikia kikomo, yaani WAMESHINDWA KABISA KUJUA TATIZO.... nashukulu lakini KWA KUSEMA """kazi kwenu""" mi niifikiri tupo pamoja kwenye hili??? Umekimbia tayari?? umekata tamaa HENGE??
 
nilifurahi sana kusikia anaendelea! makamba ni mwanamageuzi halisi!
 
Kwa ili ni sawa na kuinadi CCM

Wakati makamba anaanza, CHADEMA ilikuwa na wastani wa viti 11 (kama sikosei unkichanganya na vya viti maalum) MIAKA MITANO ya uwepo wake kafanya chadema kuwa na wastani 400% ya viti vyake, hii inatia moyo kuwa for the next 5yrs, ataongeza wastani wa 400% ya viti 48 vyaa sasa... so aendelee kuwepo ni mwana mageuzi halisi.

Kama unayo hoja WEKA hapa, siyo kusema ni kuinadi CCM, pasi kufafanua.........
 
hahahahaha,duh watu mnaangalia mbali sana aisee
 
sawa kabisa mkubwa,kwa kumwacha aendelee ni mtaji wa CDM kwani amekwisha kisera na kiushawishi janja zake zote zimefahamika na wameshindwa kusoma alama za nyakati
 
sijui safari hii wataibua nini maana wameanzisha la udini, wake za watu lakini watanzania wako macho , kama udini ni ishue si waanzishe upagani kama Mzee wao Kingunge?
 
Back
Top Bottom