Elections 2010 CCM Arusha yamweka kiti moto Dr. Batilda...

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Gazeti la Majira la leo limeripoti ya kuwa wiki iliyopita CCM Wilaya ya Arusha ilimweka kiti moto Dr. Batilda na kumlaumu kuwa mikakati yake ya kuligawa jimbo ndiyo iliyochangia CCM kulipoteza jimbo kwa Chadema................

Walimlaumu kwa kuutenga uongozi wa CCM wa Wilaya hiyo na kujiundia kamati yake ya kampeni kinyume na utaratibu.......................
 
Hivi hawa CCm wanadhani wao tuu ndio wenye hati miliki ya siasa za nchi hii kwa nini wasikubaliane ana ukweli pia kwamba wananchi ndio waamuzi na wanaweza kuamua kupata mabadiliko yebo kuna haja gani basi kuwa na mfumo wa vyama vingi kama wao wanaona ndio wanahaki ya kuongoza
 
Pia alikuwa anapigiwa kampeni na wahuni wa mjini. Yeye alikusanya wahuni, wala mirungi na vijana wamjini ndo wampigie kampeni. She was not serious. Alifiri alivyo mshinda Mrema basi ndo ameshakuwa mbunge. Viongozi wa CCM mkome kukremu.
 
Batilda na wenzake walioanguka walikuwa wanawadharau wananchi wakati ndiyo waliowaweka madarakani last time.
Jeikei baada ya kuona anashindwa akatumia nguvu kubakia madarakani......
 
CCM iligawanyika baada ya Batilda kumshinda Mrema kwa njia ya kifisadi kukawa na makudi baada ya kuona kuna watu hawa muuingi mkono akaunda kamati yake ya wajanja wajanja, kitu kingine anacho laumiwa huyu mama ni kuto wahusisha hata mabalozi wao wa nyumba kumi kumi kwenye kampeni hivyo wakasusa na kuanza kusapoti upinza kimya kimya.....
 
wangeana na raisi wa jamhuri ya ccm na cuf Kikwete, ye mbona laiwaacha wenziye na
kampeni kuongozwa na mkewe na mwanaye?
 
Gazeti la Majira la leo limeripoti ya kuwa wiki iliyopita CCM Wilaya ya Arusha ilimweka kiti moto Dr. Batilda na kumlaumu kuwa mikakati yake ya kuligawa jimbo ndiyo iliyochangia CCM kulipoteza jimbo kwa Chadema................

Walimlaumu kwa kuutenga uongozi wa CCM wa Wilaya hiyo na kujiundia kamati yake ya kampeni kinyume na utaratibu.......................

Na JK watamuweka lini??? Maana huyu dhambi yake nadhani ni kubwa kuliko Batilda. Yeye alitumia BMW (Baba, Mama Watoto) style ambayo ni mbaya zaidi ya ile ya Batilda.

Pole Batilda, hiyo ndo A-Town uliyoingizwa nayo mkenge bila kuifahamu.

Wamekuchinjia baharini chamaa angu
 
Batilda na wenzake walioanguka walikuwa wanawadharau wananchi wakati ndiyo waliowaweka madarakani last time.
Jeikei baada ya kuona anashindwa akatumia nguvu kubakia madarakani......

Msanii, be serious.
 
Kwa nini hawakumuweka kitimoto kipindi kile kabla ya uchaguzi? naona mchawi anatafutwa sasa...
 
JK kuhukumiwa na Mwenyezi Mungu kwa dhuluma aliyotufanzia katika uchaguzi huu...................
 
Batilda na wenzake walioanguka walikuwa wanawadharau wananchi wakati ndiyo waliowaweka madarakani last time.
Jeikei baada ya kuona anashindwa akatumia nguvu kubakia madarakani......
Simliweka wasimamizi na walisaini form za matokeo, basi leteni hayo matokeo yenu mliyoshinda na chadema yenu (church agent), mmebaki kubwabwaja tu kama mimbwa. Mnaudhi sana tu nyie watu. kuweni wastaarabu
 
Mkuu labda uanze wewe kwa kuwa mstaarabu.
Huitaji kutukana watu ili ueleweke...
 
Simliweka wasimamizi na walisaini form za matokeo, basi leteni hayo matokeo yenu mliyoshinda na chadema yenu (church agent), mmebaki kubwabwaja tu kama mimbwa. Mnaudhi sana tu nyie watu. kuweni wastaarabu

u r a straight hooligan, iiliterate, too local, JK kaiba kura unataka kubishana na mm? are u? kihiyo ww? ww ndiye mstaarabu wa kuttetea uwizi wa kura, bullshit, huna adabu ww, hawa watu wanakua bila displine then wana spread upuuzi hapa, JK wameiba kura narudia, ww unasemaje?
 
Na JK watamuweka lini??? Maana huyu dhambi yake nadhani ni kubwa kuliko Batilda. Yeye alitumia BMW (Baba, Mama Watoto) style ambayo ni mbaya zaidi ya ile ya Batilda.

Pole Batilda, hiyo ndo A-Town uliyoingizwa nayo mkenge bila kuifahamu.

Wamekuchinjia baharini chamaa angu

Nimependa hii BMW
 
Back
Top Bottom