Habari nilizosikia Clouds FM leo zimenipa utata kweli. Eti Dr. Shukuru kawambwa, waziri mwenye dhamana ya elimu Tanzania anasema mimba za wanafunzi wa vyuo vikuu zinashusha kiwango cha elimu?
WanaJF,
Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa chama kikuu cha upinzani kabla na baada ya uchaguzi nimegundua kuwa uamuzi mwingi wa chama unatoka kwenye forum yetu yaani JF mfano.
1.Gari la Azania...
RSS
Home
BOOKMARK THIS PAGE
Kukemea uovu si udini -Pengo
Send to a friend
Monday, 06 December 2010 08:39
0
digg
Kardinali Pengo
Boniface Meena
WAKATI serikali ikionyesha hofu ya
udini...
WANAOONA MH. ZK anawakera wahame wampishe ili wasikereke? Kwanini wakereke na vyama viko vingi? je kwanini kama kuna mtu hawamtaki wasimpishe akabaki na chama chake wao wakatokomelea mbali. Kwani...
Mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania ulianza mwaka 1992 baada wanaharakati wakisaidiawa na Nyerere kuilazimisha CCM kukubali mfumo huo ingawa CCM ilikuwa imeshinda kwa asilimia 85 -15 ya kura za...
Hi there will be a meeting on 11/12/2010 in Dar at KIMARA RESORT CLUB, which will tackle on political issues, constitutional issues, communal issues and civic and human rights issues. Hence...
Je JK anaweza kuibuka mshindi wa tuzo maarufu ya MO IBRAHIM ya USD 5MN mwaka 2016 atakapokuwa amemaliza kipindi chake cha pili katika uongozi wa nchi yetu?
Ndugu poleni kwa majukumu ya kila siku.
Ningependa kuwasilisha hoja jukwaani kuhusiana na kuelezwa kilichojiri kwenye matokeo ya uchaguzi wa raisi. Na kumbuka Dr slaa alishaandikwa sana...
Ndugu poleni kwa majukumu ya kila siku.
Ningependa kuwasilisha hoja jukwaani kuhusiana na kuelezwa kilichojiri kwenye matokeo ya uchaguzi wa raisi. Na kumbuka Dr slaa alishaandikwa sana kwenye...
Mchungaji Christopher Mtikila wa DP amesema atafungua kesi mahakamani kupinga uamuzi wa Nec kumuengua katika kinyanganyiro cha urais.
Mtikila, ambaye alienguliwa kwa madai ya kutotimiza...
mbunge wa kigoma kusini ana mpango wa kupeleka hoja binafsi ya kutokuwa na imani na waziri Ngeleja kutokana na issue ya umeme na mgao usioeleweka! Hakumtaja Ngeleja kwa jina bali kwa cheo chake...
Badala ya kujunguana hapa JF basi tuangalie na hili... Hali mbaya sana kwa wauguzi.. Hapa ukiwa na Malaria Sugu lazima ufwe
Kwa kweli tanzania ni pabaya hasa unapotawaliwa na wasanii ambao...
Wanajf, salamu.
Ninajiuliza kwa nini umoja wa wanawake wa ccm wanaendelea kujiita UWT sijapata jibu.
Kwa nini mama yangu na wengine wasio wa stail ya Sofia simba wanaendelea kuingizwa...
Ndugu zangu nimepatwa na mshangao mkubwa kuona aliyekuwa WAZIRI WA MAMBO YA NDANI (USALAMA WA RAIA) na mwanasheria kwa taaluma kuondoka na samani za OFISI YA MBUNGE WA BUNGE LA JMT.
Naomba...
Mimi nahisi lamsingi zaidi kwa Chadema nikudai Tanganyika yenu ambayo Mwalimu Nyerere alitumia jasho lake lote na nguvu zote kudai uhuru wa Tanganyika (11 December 1961) kuliko kudai katiba mpya...
*** HAYA RAIS WETU KAANZA NA SAFARI ZA NJE...
AMECHAGULIWA SIKU 30 ZILIZOPITA
HAONGELEI MATATIZO YA UMEME, MAJI NA MADENI AU ANGALAU KATIBA MPYA?
PRESIDENT Jakaya Kikwete left Dar...
Viongozi wa CCM Kila Leo Wanajitanza Wamefanikiwa na Wanaendelea Kupambana kwa Nguvu na Mali Kumaliza Rushwa. Hii ni Kweli Jamani? Kama ni Kweli Mbona Inchi Ingekuwa Mbali na Matokeo Tungeyaona...
Nimekuwa nikimsikia Pinda na kauli mbiu yake kuwa yeye ni mtoto wa mkulima na akiwa akifanya vitu ambavyo binafsi naona kama vile mama theresa anavifanya sio mtendaji wa serikali. Pinda ajue...
JK hajasafiri nje mpaka sasa !! Safari ya kwanza itakuwa ya wapi? Tutafaidika vipi? Atasafiri mara ngapi katika muhula wake wa mwisho? Safari zitapungua? Mpaka sasa mwanzo mzuri, hajasafiri bado...
Mwalimu aliwasema vizuri CDM, kwa nini nyie CDM hamjasema vizuri? Nauliza kulikoni? Nyerere maisha yake yalipofikia mwisho aliicha familia ambayo kwa hakika inapendwa na watanzania hasa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.