Ushauri wa bure kwa Chadema na wanaJF

Status
Not open for further replies.

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
127
Nimekuwa nikifuatilia sana siasa za Chama kikuu cha upinzani na kuweza kuona mambo yafuatayo.

1. Inaonyesha viongozi wa chama hawana msukumo kisiasa na kidiplomasia kwa kuwa uamuzi wao mwingi unaelekezwa na watu wa kwenye forums hasa JF. Chukulia mfano swala la Zitto na wabunge walioandikiwa barua za kujieleza. Ukifuatilia maoni ya wanachama wa JF utaona kuwa Chama kimewaitikia maelekezo yao na kuonyesha hawakuwa na habari kama kuna wabunge 10 hawakuingia bungeni siku ile mpaka iliposemwa na HR.

2. Ni ukweli usiopingika kuwa Chadema haina wanasiasa bali wengi wao ni wana harakati wanaotoka kwenye asasi zisizo za kiserikali na ndio maana hawawezi kufikia maamuzi kupitia itifaki badala yake wanasikiliza kina JF wanasemaje. Mfano wa asasi zisizo za kiserikali ni kama TNGP ( Naomi Kaihula), Chama cha wanasheria wao simamia haki za wachimba madini, na viongozi wa mashirika ya dini mfano mbunge aliepingwa hivi juzi na monica mbega.

3. Chadema hawajakomaa kisiasa, hawachukui kukosolewa kama changamoto na kufanyia kazi mapungufu. Ila facts zinazoikosoa zitachukuliwa kwa jazba na wafuasi wake.

4. Chadema hakuna demokrasia, ukifuatilia viti maalum vya chama utaona kuna watu wamejenga mazoea wao lazima wapitishwe, hakuna utaratibu wa kidemokrasia wa kuteua wabunge wa viti maalum badala yake kuna mtu anaewachakugua kupata huo ubunge wa upendeleo ni Mwanaume (hapo bwana kama ikitokea yale mambo yetu mtu akayamind halafu ukakataa ujue huna chako).

Udhaifu wa nafsi ya binadamu unaeleweka na ushahidi upo jinsi mama Musori alivyowekewa zengwe. Hii ni kuwa hakukuwa na utaratibu wa kupigiana kura ila kulikuwa kunautaratibu wa kupeana.

5. Ni chama kinachoendesha maswala kwa jazba na kusahau kuwa uongozi ni busara, ikiwa kiongozi anakuwa na jazba mara nyingi anaweza kuleta machafuko especial kwenye kundi linaloona halitendewi haki na anaweza kutoa maamuzi yake kwa jazba bila kuangalia sheria inasemaje.

6. Viongozi na Wanachama wamejawa chuki na fitina, badala ya kukuza chama na demokrasia ikiwa pamoja na kuandika katiba itakayo toa demokrasia mapaka namna ya uchaguzi wa wabunge wa viti maalum. Wao wanajadili nani afukuzwe kwenye chama.

Chadema kwa kuwa Chama kwa kiasi kikubwa kinaendeshwa na sisi wanaJF ni matumaini yangu mtaichukua hii changamoto na kuifanyia kazi ili chama kiwe imara zaidi.

Kuna kila sababu ya Chadema kujitazama isije kikawa chama cha msimu watanzania wanawasoma miaka mitano si mingi msije mkaaibika.

Angalizo:

Kama una pont za kuchangia mada hii unakaribishwa ila kama unataka kutoa matusi badala ya hoja nadhani ni busara ukaacha kuchangia na kutafuta thread za mapenzi na mahusiano ukachangia.

Shukran.
 
Hilo ndio tatizo lenu nadhani upeo wenu ni mdogo sana kwenye mambo ya siasa na ndio maana nikasema kama unaona huna hoja tafuta thread za mapenzi uchangie maana watanzania wengi hapo ndio tunapoweza kuchangia na maswala ya ngoma. Siasa ngumu mkuu zinataka uweledi wa hali ya juu. Ndio maana kuna masomo yanafundishwa "elimu ya siasa" vyuoni.

Hongera kwa kuongeza post lakini.
 
inaonyesha ni jinsi una akili fupi kama maisha ya funza, tatizo ulilonalo halitatuliwi na shule bali ni mabadiliko yatakayoletwa na watoto wako miaka kumi ijayo, laiti watoto wako watagundua kwamba ulishawai kuandika upuuzi kama huu watajiona ni watoto wanye baba limbukeni ila wataificha aibu yako kwa kukubali mabadiliko.
 
unategemea nini kutoka kwa Mbowe, Lissu, Marando? wote micharuko
 
Sokomoko hoja yako ya 4 inahitaji kuangaliwa upya.Hilo la kuona sura zile zile za viti maalum umeliona kwa Chadema tu?CCM yako mbona ina ukoloni uliopitiliza.Sofia Simba na Anna Abdalah wana majimbo hawa?Amepitishwa mara ngapi viti maalum?Magreth Sitta je?Pindi Chana?Kina Likokola?wewe acha kuliona hilo kwa wenzako.Isitoshe Dr Kitila Mkumbo nakumbuka alishawahi kutoa maelezo ya nini kilitokea.Pili,Mbowe alipoulizwa na Mwakitwange kwenye mdahalo alitoa maelezo ya kushibisha.Au hukufuatilia?Hatuongei kwa upenzi ila kwa facts zilizopo.Mwisho,chadema kutazama au kuchukua maoni ya wanaJF sio dhambi.Humu tunatoa maoni ambayo wengi wetu hatufiki makao makuu kutoa maoni yetu.Tupo mbali kwanini tusitumie nafsi hii kushauri?
Kabla sijatoka,huko CCM nako bila kutoa "ushirikiano" kwa wakubwa hupati ubunge wa viti maalum na ndio maana hawa hawana hoja bungeni za kushibisha umma.Huwezi kumlinganisha LIkokola na Suzan Lyimo.
 
Nimekuwa nikifuatilia sana siasa za Chama kikuu cha upinzani na kuweza kuona mambo yafuatayo.

1. Inaonyesha viongozi wa chama hawana msukumo kisiasa na kidiplomasia kwa kuwa uamuzi wao mwingi unaelekezwa na watu wa kwenye forums hasa JF. Chukulia mfano swala la Zitto na wabunge walioandikiwa barua za kujieleza. Ukifuatilia maoni ya wanachama wa JF utaona kuwa Chama kimewaitikia maelekezo yao na kuonyesha hawakuwa na habari kama kuna wabunge 10 hawakuingia bungeni siku ile mpaka iliposemwa na HR.

2. Ni ukweli usiopingika kuwa Chadema haina wanasiasa bali wengi wao ni wana harakati wanaotoka kwenye asasi zisizo za kiserikali na ndio maana hawawezi kufikia maamuzi kupitia itifaki badala yake wanasikiliza kina JF wanasemaje. Mfano wa asasi zisizo za kiserikali ni kama TNGP ( Naomi Kaihula), Chama cha wanasheria wao simamia haki za wachimba madini, na viongozi wa mashirika ya dini mfano mbunge aliepingwa hivi juzi na monica mbega.

3. Chadema hawajakomaa kisiasa, hawachukui kukosolewa kama changamoto na kufanyia kazi mapungufu. Ila facts zinazoikosoa zitachukuliwa kwa jazba na wafuasi wake.

4. Chadema hakuna demokrasia, ukifuatilia viti maalum vya chama utaona kuna watu wamejenga mazoea wao lazima wapitishwe, hakuna utaratibu wa kidemokrasia wa kuteua wabunge wa viti maalum badala yake kuna mtu anaewachakugua kupata huo ubunge wa upendeleo ni Mwanaume (hapo bwana kama ikitokea yale mambo yetu mtu akayamind halafu ukakataa ujue huna chako).

Udhaifu wa nafsi ya binadamu unaeleweka na ushahidi upo jinsi mama Musori alivyowekewa zengwe. Hii ni kuwa hakukuwa na utaratibu wa kupigiana kura ila kulikuwa kunautaratibu wa kupeana.

5. Ni chama kinachoendesha maswala kwa jazba na kusahau kuwa uongozi ni busara, ikiwa kiongozi anakuwa na jazba mara nyingi anaweza kuleta machafuko especial kwenye kundi linaloona halitendewi haki na anaweza kutoa maamuzi yake kwa jazba bila kuangalia sheria inasemaje.

6. Viongozi na Wanachama wamejawa chuki na fitina, badala ya kukuza chama na demokrasia ikiwa pamoja na kuandika katiba itakayo toa demokrasia mapaka namna ya uchaguzi wa wabunge wa viti maalum. Wao wanajadili nani afukuzwe kwenye chama.

Chadema kwa kuwa Chama kwa kiasi kikubwa kinaendeshwa na sisi wanaJF ni matumaini yangu mtaichukua hii changamoto na kuifanyia kazi ili chama kiwe imara zaidi.

Kuna kila sababu ya Chadema kujitazama isije kikawa chama cha msimu watanzania wanawasoma miaka mitano si mingi msije mkaaibika.

Angalizo:

Kama una pont za kuchangia mada hii unakaribishwa ila kama unataka kutoa matusi badala ya hoja nadhani ni busara ukaacha kuchangia na kutafuta thread za mapenzi na mahusiano ukachangia.

Shukran.

Katumwa na ccm pamoja na ccm-b (cuf)! Kama mnabisha fuatilieni mada zake!
 
Sokomoko,
Maoni yako ni ya ukweli kabisa. Tatizo lililopo ni kama unaloliona kwenye post za hapo juu. Hawa watu HAWAJUI siasa na wanataka kupata habari za kuvutia tu hata kama za uongo.
Yaani wanabehave kama mwanamke aliyechumbiwa, yeye hupendi kupata taarifa nzuri tu za mchumba wake, akiambiwa jambo lenye kuleta changamoto huona kama vile anaingiziwa fitna kwenye uchumba wake.

Hawa Chadema mimi nimeamua kuwaacha, kwa sababu thamani ya ushauri ni kubwa sana. Siwezi kuwapa bure na matusi juu, kwa sababu ushauri hawataufanyia kazi anyway!
 
Katumwa na ccm pamoja na ccm-b (cuf)! Kama mnabisha fuatilieni mada zake!

ni kweli kabisa wote wenye kufikiria tofauti na sisi wametumwa, kinachotakiwa ni kusikiliza anachotaka Mbowe na kufuatailituwe sahihi, by the way tunajua mawazo ya mbowe yanatoka kwa mkwewe.
 
Hilo ndio tatizo lenu nadhani upeo wenu ni mdogo sana kwenye mambo ya siasa na ndio maana nikasema kama unaona huna hoja tafuta thread za mapenzi uchangie maana watanzania wengi hapo ndio tunapoweza kuchangia na maswala ya ngoma. Siasa ngumu mkuu zinataka uweledi wa hali ya juu. Ndio maana kuna masomo yanafundishwa "elimu ya siasa" vyuoni.

Hongera kwa kuongeza post lakini.

Sokomoko ni Zitto uliyebadilisha ID ili kila siku jamvi lijadili mtu badala ya mada zinazohusu maendeleo ya taifa hadanganywi mtu hapa nenda kaoge uende msikitini
 
Hao wa Chadema huwa hawapewi Ban hapa JF.
Ukitaka Ban andika maneno mabovu kwenye thread inayomsifia Mbowe au Slaa.

nilikuwa sijajua, ngoja nianze kumsifia kijicho hapa ili nisipigwe ban maana sina umri mkubwa humu.
 
Hao wa Chadema huwa hawapewi Ban hapa JF.
Ukitaka Ban andika maneno mabovu kwenye thread inayomsifia Mbowe au Slaa.
Nia yenu tunaijua ni kuchafua jamvi ili lionekana lina wafuasi wa chama fulani halafu serikali ilifute si bure muna mission ya muda mrefu tunawajua lengo lenu mpaka sasa
 
ni kweli kabisa wote wenye kufikiria tofauti na sisi wametumwa, kinachotakiwa ni kusikiliza anachotaka Mbowe na kufuatailituwe sahihi, by the way tunajua mawazo ya mbowe yanatoka kwa mkwewe.

ccm/ccm-b (cuf) bwana, kama hamna cha kuwaeleza wananchi siku hizi si muachie ngazi kupisha watu wenye mapenzi mema na nchi hii? Haya tueleze ni wazo lipi la Mbowe lilitoka kwa mkwewe na wewe ulilisikiaje wakati analipewa?
 
Nimekuwa nikifuatilia sana siasa za Chama kikuu cha upinzani na kuweza kuona mambo yafuatayo.

1. Inaonyesha viongozi wa chama hawana msukumo kisiasa na kidiplomasia kwa kuwa uamuzi wao mwingi unaelekezwa na watu wa kwenye forums hasa JF. Chukulia mfano swala la Zitto na wabunge walioandikiwa barua za kujieleza. Ukifuatilia maoni ya wanachama wa JF utaona kuwa Chama kimewaitikia maelekezo yao na kuonyesha hawakuwa na habari kama kuna wabunge 10 hawakuingia bungeni siku ile mpaka iliposemwa na HR.

2. Ni ukweli usiopingika kuwa Chadema haina wanasiasa bali wengi wao ni wana harakati wanaotoka kwenye asasi zisizo za kiserikali na ndio maana hawawezi kufikia maamuzi kupitia itifaki badala yake wanasikiliza kina JF wanasemaje. Mfano wa asasi zisizo za kiserikali ni kama TNGP ( Naomi Kaihula), Chama cha wanasheria wao simamia haki za wachimba madini, na viongozi wa mashirika ya dini mfano mbunge aliepingwa hivi juzi na monica mbega.

3. Chadema hawajakomaa kisiasa, hawachukui kukosolewa kama changamoto na kufanyia kazi mapungufu. Ila facts zinazoikosoa zitachukuliwa kwa jazba na wafuasi wake.

4. Chadema hakuna demokrasia, ukifuatilia viti maalum vya chama utaona kuna watu wamejenga mazoea wao lazima wapitishwe, hakuna utaratibu wa kidemokrasia wa kuteua wabunge wa viti maalum badala yake kuna mtu anaewachakugua kupata huo ubunge wa upendeleo ni Mwanaume (hapo bwana kama ikitokea yale mambo yetu mtu akayamind halafu ukakataa ujue huna chako).

Udhaifu wa nafsi ya binadamu unaeleweka na ushahidi upo jinsi mama Musori alivyowekewa zengwe. Hii ni kuwa hakukuwa na utaratibu wa kupigiana kura ila kulikuwa kunautaratibu wa kupeana.

5. Ni chama kinachoendesha maswala kwa jazba na kusahau kuwa uongozi ni busara, ikiwa kiongozi anakuwa na jazba mara nyingi anaweza kuleta machafuko especial kwenye kundi linaloona halitendewi haki na anaweza kutoa maamuzi yake kwa jazba bila kuangalia sheria inasemaje.

6. Viongozi na Wanachama wamejawa chuki na fitina, badala ya kukuza chama na demokrasia ikiwa pamoja na kuandika katiba itakayo toa demokrasia mapaka namna ya uchaguzi wa wabunge wa viti maalum. Wao wanajadili nani afukuzwe kwenye chama.

Chadema kwa kuwa Chama kwa kiasi kikubwa kinaendeshwa na sisi wanaJF ni matumaini yangu mtaichukua hii changamoto na kuifanyia kazi ili chama kiwe imara zaidi.

Kuna kila sababu ya Chadema kujitazama isije kikawa chama cha msimu watanzania wanawasoma miaka mitano si mingi msije mkaaibika.

Angalizo:

Kama una pont za kuchangia mada hii unakaribishwa ila kama unataka kutoa matusi badala ya hoja nadhani ni busara ukaacha kuchangia na kutafuta thread za mapenzi na mahusiano ukachangia.

Shukran.

Shikamoo mkuu! Mbona naona thread ni utumbo tu, tena wa bata!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom