JK amteua Kairuki kumrithi Makamba
Tuesday, 30 November 2010 19:09 newsroom
Na Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Mbelwa Brighton Kairuki kuwa Msaidizi wa Rais katika masuala ya...
Umeibuka mgogoro mkubwa kati ya Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara na kamati za siasa za wilaya tatu za mkoa huo na kusababisha zaidi ya madiwani wateule 40 wa chama hicho...
Tanzania forced to refund embezzled funds to Norway
Zebras cross a road in the Serengeti national reserve on October 25. Mid last year, the Norwegian government suspended...
Hivi majuzi nilimtembelea ndugu yangu mmoja pale Mikochen,katika maongezi nikamkumbushia mpango wake wa kununua kiwanja cha mzee fulani,Aaah,jamaa yangu huyu aliishia kuniambia namna BWANA MKUBWA...
In President John F. Kennedy's Inaugural Address, he provided what is quite possibly one of his most famous quotes:
"My fellow Americans, ask not what your country can do for you -- ask what can...
Ndugu wana Jf nimekuwa nikisoma habari mbalimbali ktk vyombo vya habari ktk wiki hii nimekutana na habari zaidi ya mbili zinazo lalamikia office za jimbo ambazo wabunge wapya wanatakiwa kuzitumia...
Wana JF mimi ni mtanzania mwenye nia njema na nchi hii, nimeanza harakati za kupigania maslahi ya nchi hii tangu 1995 nikiwa darasa la tano.
Kwa uelewa wangu wananchi wa moshi mjini wana haki ya...
1. Msiwapigie kura mafisadi na wale waliowagawia fulana, kofia na skafu kwani hao ndio wanaoharibu nchi.
Niliyonukuu hapo juu ni kauli ya utata ya Padri huko Moshi na ndio msingi wa kesi iliyo...
GreaTtHinkers!
Kipindi cha kampeni ya uchaguzi tumeuziwa ILANI nyingi na AHADI lukuki hivyo wananchi tukawa tumevutiwa na kuweka matumaini yetu juu ya hizo alani na ahadi zao.
Washindi...
Wadau,
Kuna dada mmoja toka familia ya Rockerffeller amemvamia Rais Kikwete kwenye facebook Yake. amewachamba na wapambe wake kisawasawa. anadai familia yake imetoa michango mingi tanzania na...
CCM Inatumia Katiba Tena Kuweka Maamuzi ya Kisiasa. Chadema Hawana Haki ya Kufanya Mikusanyiko Ila CCM Wanahaki ya Kuhutubia Bungeni na Kokote Inchini. Wananchi Hii Inazidi Kudhihirisha Njia Inchi...
TANZANIA GREAT THINKERS DISLIKE KIKWETE'S CABNET AND COMMENT AS MISUSE OF RESOURCES.
1. Prof. Issa Shivji –through Hamza Kasongo hour on Monday expressed his stand on the current big...
Rais mstaafu wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandela aliandika kitabu chake cha kwanza akielezea maisha yake tangu akiwa wakili hadi alipotoka gerezani kiitwacho A long walk to freedom. Waliokisoma...
Heshima zenu wanajamvi,
Ningependa kufahamishwa kazi za mawaziri wa nchi kwenye ofisi za Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ni zipi? Ama ni njia mojawapo inayotumika kuwapa vyeo mlolongo wa watu...
Elvan Stambuli na Makongoro Oging'
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Dk. Willbrod Slaa (pichani) amepewa kazi mpya ya kuhakikisha kuwa mwaka 2015, Tanzania inaingia...
kutokana na mdahalo wa jana nimesikia kua kuna wabunge kumi waligoma kutoka bungeni wakati wabunge wa chadema wakitoka nje ya bunge, yalielezwa na Hamad akijibu hoja ya Mbowe kuwa CUF inaonyesha...
Yote tumeona yaliyotokea.
Historia imeandikwa.
Kumbe uwepo wa CUF,UDP,NCCR,TLP,na vipanya vingine ulikuwa mchezo wa CCM kuidanganya dunia kuwa kuna demokrasia ya vyama vingi. Ukweli tumeujua...
Wakuu wa kazi naomba mnisaidie kwa hili..maana Umeme umeshakuwa tatizo sugu ambalo sijui mchawi ni nani.....Umeme umekuwa ni tatizo kwa miaka mingi hapa Tanzania..ni asilimia chache tu ya...
Mara baada ya kuapishwa rasmi kuchukua majukumu yao,Waziri wa Ujenzi na Naibu wake (Dr Magufuli na Dr Mwakyembe) walifanya mkutano na watendaji wote wa Tanroads pale ukumbi wa Karimjee jijin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.