Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,050
- 460
Kwa maoni yangui JF imekuwa mbele sana katika kuelimisha jamii ingawa ni wachache wetu tunaweza kuwa na access ya internet, katika uchaguzi huu wa mwaka 2010 JF imesaidia mengi sana hasa katika upande na changamoto za mapinduzi, ni njia nzuri mojawapo imeweza unganisha Watanzania na kuongea openly as slogan ya JF, sasa basi je 2015 sio mbali wanaJF mnajipangaje kuongozana mguu kwa mguu na wanamapinduzi kuelimisha watz juu ya UPAMBANAJI katika mabadiliko nchini? Mnajipangaje kuwajulisha watanzania kuwa VYAMA vingi sio UCHOCHEZI wa umwagaji damu nchini bali ni ukombozi wa taifa letu?
Nawakilisha wajameni...MS usiniattack kwa kisingizio cha udini
Nawakilisha wajameni...MS usiniattack kwa kisingizio cha udini