Who's the Most Popular Modern President?
John Hudson John Hudson Mon Dec 6, 6:07 pm ET
WASHINGTON, DC According to a new Gallup survey, President John F. Kennedy remains the...
Kutokana na hali ya mgao wa ememe inayorindima Tanzania, kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa na huduma mbalimbali za kijamii pasipo kujua hatma yake.mimi kama Mtanzania mwenye kipato cha chini...
Ninaangalia taarifa ya habari ya ITV,Libya imeendelea sana.Miundombinu safi,maji n.k.Libya ipo kwenye jangwa ila Tanzania licha ya rasilimali zote bado tunasuasua.Nimeumia sana.Jiji la Dar tu...
Naam,
viongozi wetu bado hawajaanza kazi. wanaona kwamba ndiyo kwanza wamechaguliwa, wanahisi wanahitaji kupumzika kidogo. Matatizo yetu hayawasubiri wapumzike, yanaendelea kukua na mapya...
Professor Watson, mtaalam aliyebobea katika mambo ya vinasaba (DNA), alitueleza kuwa watu weusi tunavinasaba inferior kulinganisha na watu weupe, ilizua mjadala ambao ulijikita katika mazingira ya...
Katika gazeti la Mwananchi, December 2, 2010; imeandikwa:
SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limeamriwa kulipa fidia ya Sh106 bilioni kwa kampuni ya ufuaji umeme ya Dowans Tanzania Limited baada...
Natoa tamko kuwa habari ya Jamboleo ni ya kutunga yenye lengo la kugawa uongozi wa CHADEMA na kuleta mgogoro.
Kumekuwa na habari kwenye magazeti kitambo sasa zenye kuonyesha mgogoro ndani ya...
Angalia Azimio la Arusha, 1967.
"TUMEONEWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMENYONYWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMEPUUZWA KIASI CHA KUTOSHA. UNYONGE WETU NDIO ULIOTUFANYA TUONEWE, TUNYONYWE NA KUPUUZWA. SASA...
salam za OB kwa JK kama alivyozipost michuzi. salamu hizi zilizotoka baada ya kimya kikuu kirefu zimetumia fasihi ya ajabu kufikisha ujumbe. zisome, tafakari chukua hatua.akili ni nywele kila Ntu...
Africa ni bara ambalo ni zuri sana! Lina mimea mizuri ya asili,mito,bahari,madini kila aina,milima
mbuga mzuri za wanyama,wasomi na viongozi wa taasisi mbalimbali. Nadiriki kusema mungu ali...
Uchakachauaji wa Bajeti iliyowasilishwa bungeni na ile iliyopelekwa kwa wahisani, nani awajibishwe? Na kifanykike nini serikali iwache kuchakachua?:angry:
Safari hii jasho litawatoka mawaziri na spika wa sisiemu mjengoni!!!!!!! Kabla hata miswada ya Tume Huru ya Kuchunguza matokeo ya Uchaguzi, Kuandika Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi (Kuwafukuza...
Viongozi wetu wakisafiri umati wa viongozi na wananchi wengine huenda 'eapoti' na wakirejea hupokelewa kwa mbwembe....nini kinawasukuma watu kuacha kufanya kazi na kupoteza muda na rasilimali...
David Kafulila mbele ya microphone.
Mbele ya macho ya Watanzania.
Anasema (nanukuu):
"Kama Watanzania wangezingatia sera za vyama wakati wa kuchagua viongozi, basi chadema kisingeshinda"...
Wengi wetu tunajua yaliyotokea huko ivory coast ambapo wagombea wa viti vya urais wawili wote wanadai wameshinda uchaguzi mkuu na kila mmoja kujitangazia waziri wake mkuu,naomba tujadili...
Kutokana na wizara hiyo kupewa askari wa ukweli inasemekana ndo itakuwa wizara bora kutokaxa na kombinesheni ya dokta Pombe na dokta Mwakyembe,ama kweli wizara ya ukweli hii
By DAILY NEWS Reporter, 6th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 4
THE government is working on a strategy that will ensure Senior Citizens in the country receive medical treatment...
WanaJF ivi toka mwaka 1964 baada ya kuanzishwa kwa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,kila tarehe 31 ya Disemba uwa tunasherekea uhuru wa Tanganyika au Tanzania? Maana kama ni wa Tanzania,then...
SIKU chache baada ya Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Cellina Kambani kuseam hakuna haja ya kuwa na katiba moya, Jaji Mkuu Mstaafu, Mark Bomani amesema kinachoisumbua serikali ya CCM ni uwoga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.