kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,072
- 1,544
Baada ya wanajf kumchachafya jamaa aliyeletwa kwa ajili ya kusoma magazeti asubuhi pale tbc 1 bwana Sautimbaya, leo kasoma Shaban kisu. alianza na uhuru akafuata na habari leo!! mengine yakafuata lakini alionyesha features kama za bw. sautimbaya kwani alisoma vichwa kwa makosa na kuachana na habari alipoguindua haitawafurahisha wakuu...pia alipoteza muda mwingi kwenye michezo!! wanjf mliistukia hiyo?