From Nyerere to Kikwete: Maendeleo yatakuja lini Tanzania??!

Xuma

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
683
225
Hebu tujikumbushe kuhusu Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa hizi few Facts alafu tujadili mwelekeo wa sasa wa serikari ya Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.

Mwalimu JK Nyerere

During his retirement, he continued to travel the world meeting various heads of government as an advocate for poor countries and especially the South Centre institution. Nyerere travelled more widely after retiring than he did when he was president of Tanzania. One of his last high-profile actions was as the chief mediator in the Burundi conflict in 1996.

He has received honorary degrees from:
1.University of Edinburgh (UK),
2.Duquesne University (USA),
3.University of Cairo (Egypt),
4.University of Nigeria (Nigeria),
5.University of Ibadan (Nigeria),
6.University of Liberia (Liberia),
7.University of Toronto (Canada),
8.Howard University (USA),
9.Jawaharlal Nehru University (India),
10.University of Havana (Cuba),
11.National University of Lesotho,
12.University of the Philippines,
13.Fort Hare University (South Africa),
14.Sokoine University of Agriculture (Tanzania), and
15.Lincoln University (PA, USA).

Awards & Prizes
He received:
Nehru Award for International Understanding in 1976,
Third World Prize in 1982,
Nansen Medal for outstanding services to Refugees in 1983,
Lenin Peace Prize in 1987,
International Simón Bolívar Prize in 1992, and the
Gandhi Peace Prize in 1995.

President Yoweri Museveni of Uganda awarded Nyerere the Katonga, Uganda's highest military medal, in honour of his opposition to colonialism and Idi Amin's government in 2007.

Dr. JM Kikwete
Honour Awarded
1.Honorary doctorate degree in Law, University of St. Thomas (Minnesota) 2006 in recognition of his dedicated public service
2.Honorary degree (Doctor of Humane Letters), Kenyatta University December 2008 in recognition of his efforts in solving conflicts and ensuring peace in Africa
3.Honorary doctorate in the science field of International Relations, Fatih University February 2010 for promoting international relations between Turkey and Tanzania
4. Dodoma university 2010........................................

Lengo sio kuwafananisha ila, kukataka wanajf mchambue muone Kama JKN alikuwa mfano wa kuigwa je JMK anafata nyayo? na Je kama hafati nyayo tutegemee nini mwisho wa siku?
 
Zwangedaba

Member
Feb 1, 2009
99
95
Hivi mbona viongozi wendine wa nchi wenye PhD za ukweli huwa wahatumii title zao mf. Godown Brown, Ila Mh. Dk. JMK anatumia tu tena PhD. yenyewe ya uchakachuaji?
 
Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,533
0
How can someone call him self "DR" bila kuisotea?? Kweli tunatofautiana.

Mtu hata masters huna eti Dk.....! kama unapedna title ingia darasani, sio kuomba udokta kwenye vyuo ulivyovianzisha.
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,528
2,000
Wote hao hakuna kitu uchumi ulitumikia siasa bora hata mzee ruksa mwinyi alitufumbua macho wa tz!nyerere uchumi ulimshinda
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,120
2,000
uDr wa Kikwete ULIKUZWA ghafla na kwa kasi wakati wa uchaguzi mkuu ili kwenda sambamba na Dr. Slaa.
 
NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,669
0
Hivi hakuna insititution zinazoweza kusimama na kupiga BAN hizi doctorate za kipuuzi???

Nina ndugu yangu ni one of competent and repsectable PhD holders in Tanzania na anaumia kuona alikula msoto wa kutosha halafu watu wanajiokotea bure alafu wanapambwa kila mahali.

Pia wanaotoa hizi tuzo wawe wanawasiliana na watu wa nyumbani, sio kupeana sifa za ajbu ajabu.

Ni sawa na ka-NGO fulani hapa mtaa wa jirani wanadai ukitaka uukwae ucheti wa Mchapakaazi bora na mazawadi kemkem we mrambe miguu mukubwa
 
NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,669
0
uDr wa Kikwete ULIKUZWA ghafla na kwa kasi wakati wa uchaguzi mkuu ili kwenda sambamba na Dr. Slaa.

Hapa umenena maana mimi nimekujua kujua na kusikia bango za JK ni PhD holder kuanzia wakati wa kampeni....hhaahaha ujuha bwan, hadi kwenye mambo ya msingi
 
Kudadeki

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
859
0
Hapa umenena maana mimi nimekujua kujua na kusikia bango za JK ni PhD holder kuanzia wakati wa kampeni....hhaahaha ujuha bwan, hadi kwenye mambo ya msingi

Duh! Mijitu iliyomaliza shule hivi karibuni utaijua tu, hasa shule zenyewe hizo za kununua mapepa na kuhonga waalimu! Hata honorary degree maana yake hawajui ndiyo maana inahaha kama MAFISI waliokosa mzoga kumchafua huyo mbaya wao!

Sasa kama ROHO ZINAWAUMA sana na hizo honorary degree za JMK, aidha mjinyonge au mkajilipue kwenye vyuo vikuu vilivyompa hizo honorary doctorate degrees.
 
ngwendu

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
1,965
0
Hebu tujikumbushe kuhusu Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa hizi few Facts alafu tujadili mwelekeo wa sasa wa serikari ya Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.

Mwalimu JK Nyerere

During his retirement, he continued to travel the world meeting various heads of government as an advocate for poor countries and especially the South Centre institution. Nyerere travelled more widely after retiring than he did when he was president of Tanzania. One of his last high-profile actions was as the chief mediator in the Burundi conflict in 1996.

He has received honorary degrees from:
1.University of Edinburgh (UK),
2.Duquesne University (USA),
3.University of Cairo (Egypt),
4.University of Nigeria (Nigeria),
5.University of Ibadan (Nigeria),
6.University of Liberia (Liberia),
7.University of Toronto (Canada),
8.Howard University (USA),
9.Jawaharlal Nehru University (India),
10.University of Havana (Cuba),
11.National University of Lesotho,
12.University of the Philippines,
13.Fort Hare University (South Africa),
14.Sokoine University of Agriculture (Tanzania), and
15.Lincoln University (PA, USA).

Awards & Prizes
He received:
Nehru Award for International Understanding in 1976,
Third World Prize in 1982,
Nansen Medal for outstanding services to Refugees in 1983,
Lenin Peace Prize in 1987,
International Simón Bolívar Prize in 1992, and the
Gandhi Peace Prize in 1995.

President Yoweri Museveni of Uganda awarded Nyerere the Katonga, Uganda's highest military medal, in honour of his opposition to colonialism and Idi Amin's government in 2007.

Dr. JM Kikwete
Honour Awarded
1.Honorary doctorate degree in Law, University of St. Thomas (Minnesota) 2006 in recognition of his dedicated public service
2.Honorary degree (Doctor of Humane Letters), Kenyatta University December 2008 in recognition of his efforts in solving conflicts and ensuring peace in Africa
3.Honorary doctorate in the science field of International Relations, Fatih University February 2010 for promoting international relations between Turkey and Tanzania
4. Dodoma university 2010........................................

Lengo sio kuwafananisha ila, kukataka wanajf mchambue muone Kama JKN alikuwa mfano wa kuigwa je JMK anafata nyayo? na Je kama hafati nyayo tutegemee nini mwisho wa siku?
You are wasting your time. Anything ambacho kuna muislam hata kama nkizuri vipi watu wanaJF wengi wataponda tu. we know kwamba wengi waliopo hapa na wachangiaji wakubwa ni wakristo. Hakuna cha maana kitakachojadiliwa hapa zaidi ya kumponda kama mhusika ni muislam. Fungua thread ingine ya leo ambapo Dr. Ramadhani Dau amechaguliwa kuwa member wa ISSA ambayo headquater yake ipo Geneva Uswisi,then utaelewa ninachosema na kumaanisha.
 
Ngoja nimcheki tena Dr. Dau!
 
Yaani kuna watu humu wanatumia UTI WA MGONGO kufikiria sijui! nimezisoma Comments kuhusu uteuzi wa dr. Dau, nafikiri watu kama hao ni kuwaignore tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom