Naomba MWONGOZO kwa wabunge wanaolala bungeni

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
kuna tabia ya baadhi ya wabunge hasa toka CCM wana tabia ya kulala wakati session ya ikiendelea. Wanaudhi sana, wamebadilisha viti kuwa vitanda.

Naomba mwongozo wenu kwa hawa waheshimiwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom