Serikali yaogopa mandamano ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yaogopa mandamano ya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by franksarry, Jul 29, 2011.

 1. franksarry

  franksarry JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 1,107
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Serikali kupitia Mwanasheria Mkuu na Naibu Spika imezungumzia wasiwasi wake khs maandamano yanayosisitizwa na Wabunge wa Chadema wakati wa Uchangiaji wa Hoja ya Waziri wa Mambo ya Ndani.

  Wabunge hao wamesisitiza kuyahamasisha pale ikibidi kama Serikali legelege haitajitahidi kujirekebisha ktk kuboresha maisha ya watanzania...!

  Mh H Kiwia wa Ilele Mwanza, alikwenda mbali zaidi pale aliposema maandamano kwake ni kama wazazi wake kisiasa, wakati wa Uchaguzi 2010, bila maandamano hayo ya wakazi wa jiji la Mwanza asingeweza kutangazwa Mshindi ktk uchaguzi huo....., alilieleza bunge leo asbh wakati akitoa mchango wake.
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  magama na gamba lao wana kazi safari hii! walizoea kutuita wadanganyika, sasa sauti imebadilika.
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Serikali haiogopi maandamano, tumekuwa tukiandamana kupongeza hotuba ya mwenyekiti wa ccm mara nyingi tu.

  Tumekuwa tukiandamana kupongeza hotuba ya rais kila mwisho wa mwezi ama katika baadhi ya matukio kama hotuba ya kulaani nfilamu ya mapanki na hotuba ya mbayuwayu.

  Tumekuwa tukifanya maandamano kusherekea sikukuu mbalimbali kama siku ya ukimwi, siku ya mwanamke/mtoto wa kike na mambo mengine kama hayo.

  Serikali inachoogopa ni maandamano yanayofanywa na vyama vya upinzani na kwa sasa wanaogopa sana maandamano yanayoitishwa na kuongozwa na chadema.
   
 4. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Maandamano kwa kwenda mbele kama kawa!
   
 5. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Imekula kwao...hata Werema mwenyewe alikuwa anaongea kwa kutetemeka akionyesha kabisa kuwaogopa CDM...
   
 6. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  More succinctly put, "Chadema is my greatest problem and has made me irrelevant
   
 7. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sawa, lakini ukipenda maandamano usilalame ukipatwa na virungu, manundu, kuvunjwa viuno/shingo/miguu etc. Matokeo ya maandamano yanaweza pia kukufanya uishie mortuary na kesho yake maiti yako ikagombewa kisiasa. Hivyo wapenzi wa maandamano tuwe tayari kwa yote, ndio utamu/adha ya maandamano. Mwenye masikio na asikie.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  sasa weewe mwita manyara umeandik nini? ni kama vile umeiponda hoja mwishowe unaiunga mkono ka 100%
  au kama kauli ya jk kuwa afrika haijaendelea kwa sababu haina pesa
   
 9. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Haitarajiwi kwamba katika hali hii ambapo maisha ya wananchi yamekuwa magumu sana ukiongezea na mgao wa giza wananchi waogope virungu ama mabomu ya polisi ili wasiandamane.

  inafahamika kwamba sasahivi serikali ya ccm inazidi kupoteza uhalali wa kuiongoza nchi hii kwahiyoi kilichobaki ni kutumia vibaya nguvu za dola kuminya uhuru na haki za wananchi.

  Kwahiyo watapiga virungu, mabomu na hata risasi za moto lakini wananchi hawatorudi nyuma kamwe hadi kitaeleweka tu.
   
 10. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Peleka huko uzezeta wako, hatishiwi mtu hapa!!! Maandamano yatafanyika na magamba lazima mng'olewe. Nyie ndio mnamdanganya Kikwete kwamba mtamlinda kwa bunduki na mabomu kumbe mnazidi kumchimbia kaburi. Kamuulize Gadaffi hayo mabomu na risasi kibao alivyokuwa navyo vimemfikisha wapi? Kumbuka ya Tunisia na Misri nao walikuwa na magari ya maji ya kuwasha, mabomu na risasi lukiachilia mbali virungu akini nguvu ya umma usicheze nayo kabisa. Kama uamini, endelea kumdanganya Kikwete aendelee kulala asitekeleze kilio cha Watanzania kupitia msemaji CDM halafu mtaona muziki wake!!!

  Tiba
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
 12. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia amelieleza Bunge kuwa maandamano ya CDM bado hayajaanza hizo ni mvua za rasharasha, siku watakapoona maandamano yanaanzia Mwanza kuelekea DAR na kutoka AR-Town hadi DAR Pia kutoka Singapo hadi DAR basi wajue shughuli pevu imeanza.
   
 13. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kweli mkuu ki magamba vile,.... kelele nyingiiiiii halafu anamalizia kwa kuunga mkono mia kwa mia!

  Nisome vizuri kamanda, nilijaribu tu kuonyesha ni kwa namna gani ccm na serikali yake wanavyoogopa maandamano ya chadema kwa kukumbushia maandamano ambayo wao hufanya lakini hawayaoni kama ni maandamano kwa kuwa wameyaratibu wao.
   
 14. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inaonekana unaota. Gadafi ameondolewa lini? Na kwa taarifa yako haondoki ng'o, wapinzani wanazidi kushikishwa adabu. Jana wameua kubwa lao bado kuwanyonyoa wanasiasa wao uchwara. Wapinzani wa Tz kama nao wataleta za kuleta.....kama mnavyoota sasa.....mtafanyiziwa (tena kihalali tu) mpaka mtakaposhika adabu. Endeleeni na ndoto za mchana....CCM inajivua gamba kabla ya kujichukulia ushindi wa kishindo 2015. Hakuna upinzani wa kweli Tz, labda utoke CCM.
   
 15. F

  Froida JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kwa kitu gani ambacho askali Polisi,Magereza,Zimamoto watakashindwa kusimama pamoja na wananchi uthibitisho ni uchaguzi wa mwaka 2010 maeneo yote wanakokaa askari upinzani ulipata kura zaidi ya CCM,hao wapiganaji wetu watatuunga mkono tuu tukiamua kwa sababu wamepigika kuliko sisi bwanaaaaaaaaaaaaaa
   
 16. R

  Radi Member

  #16
  Jul 29, 2011
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Magamba Kishongo!!!! Tanzania ya leo sio ile ya miaka 47 watu wameamka na wanatumbua haki zao,upinzani utatoka sisiemu au wanaangalia matumbo yao tu na Posho?Time will tell now sisiem is over.Usifikiri tumelogwa kama wagalatia.
   
 17. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  2015 haiko mbali. Inshaalah, sijui mtatumia msamiati gani wa kujiliwaza wakati huo baada ya kugalagazwa? Msamiati wa 'KUCHAKACHUA' hautatosha. CDM inabaki kuwa NGO ya Wanung'unikaji.
   
 18. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  eeeti maandamano kupongeza hutuba ya raisi mnamboost eeeeh ni kweli she is veryweak ur president!
   
 19. franksarry

  franksarry JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 1,107
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mwana JF Kishongo kati yako na Mwana JF Tiba,
  nani anayeota?
   
 20. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Wewe jipe tu moyo kwamba Gaddafi hajaondoka. Huna habari kwamba nchi nyingi mpaka sasa zinawatambua wapinzani kama watu halali kuongoza nchi? Sasa hali ikiishafikia hapo unatarajia nini? Is a matter of time soon Gaddafi will be out na nyie Magamba msipoangalia, yatawakuta hayo hayo. Sisi tunasubiri tu amri ya makamanda tuweke kambi Mnazi mmoja mpaka kitakapoeleweka!!! Lema ameaambia maaskari ni wachache sana umma ukiamua kufanya kweli.

  Funguka macho uone, achana na hao mafisadi kwani siku zao zinahesabika!!!!

  Tiba
   
Loading...