Kundya ataka Nape,wenzake wapigwe 'stop'
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza,Rajabu Kundya, amesema ziara zinazofanywa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Nape Nnauye na...
Habari za uhakika zilitufikia leo ni kwamba uchaguzi wa jimbo la Ukonga uliokuwa na mvutano mkubwa kati ya baadhi ya wagombea na uliopangwa kufanyika jumapili ya 31/07/2011 UMEAHIRISHWA KWA WIKI...
Wakati wabunge watatu wa kambi ya upinzani, Mchungaji MSigwa, Tundu Lissu na Godbless Lema, wakitolewa nje ya bunge kwa kile kilichoelezwa na Naibu Spika, 'kuongea bila ruhusa', Mbunge wa Mbeya...
After 10 years of rise of cost of living, energy crisis and political scandals, it is time to have a breath of fresh air. Dr. Anna Tibaijuka, who is currently the Minister for Lands, Housing and...
Miezi Miwili baada ya Uchaguzi Mkuu kuna Mambo Kadhaa yametokea ambayo kwa kweli yanagusa Maisha ya Watanzania Directly or Indirectly
1: Mgao Mkali kuwahi kutokea Nchi Nzima wa Umeme
2: Dowans...
Haya mko gizani ,hamlalamiki,hamprotest,mmekaa tuu.why manapenda gizani why mnatakiwa mprotest .nchi haina umeme kwa nini manaachia na kukata tamaa na nchi yenu . Inasikitisha
HAYA YAMESEMWA NA MGURUGENZI WA SONGAS KAMA ALIVYONUKULIWA NA GAZETI LA MWANANCHI
"Mahitaji ya gesi ni makubwa kutokana na kuongezeka kwa matumizi yake na kwa sababub hiyo hata hiyo mitambo ya...
Tunaomba mchukue hatua haraka, msipochukua Hatua za haraka kulinusuru Taifa basi Watanzania waliochoka saaaana na haya maisha watatafuta mbadala wa Kupata Haki yetu.Nyie tumewapa dhamana ya...
Siku hizi baadhi ya wanasiasa wanapotaka kujenga hoja fulani ili kuhalalisha vitendo vinavyofanywa na baadhi ya vyombo vya dola pale ambapo kuna malalamiko ya uvunjaji wa haki za binadamu...
Jimbo la Ismani ni moja kati ya majimbo maskini Tanzania na mkoa wa Iringa.Ni jimbo linalongoza kwa njaa,ukosefu wa Elimu,maji na huduma ya Afya. Kwa mda mrefu vijana...
WanaJF Waziri wa Zamani wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Mazingira dr. Batilida Buriani yupo live TBC1 akinena kuhusu mazingira. Ukiweza na ukitaka msikilize
Nasikia fisadi Kapilimba kajiunga na magamba. Halafu maamuzi ya college baraza mbona hayafanyiwi kazi? Hivi TUSSO SMMUCO ni ya menejimenti au ya wanachuo?
Kama kiongozi wa Bunge nilitarajia Ndugu Job Ndugai awe Neutral na Asimamie Kanuni bila Kujali Mbunge anatoka Chama Gani. Ndugai ametetea Maneno ya kuudhi yaliyotolewa na Sitta dhidi ya Wabunge wa...
Wakuu,
Naona kila dalili kwamba wabunge wa CHADEMA na wale wa NCCR - Mageuzi wapo pamoja na naona ushirikiano wao ni mzuri sana bungeni. Kinacholeta tatizo ni huyu mwenyekiti wa NCCR - Mageuzi...
Bado najiuliza jamani kuhusu swala la jairo
mh pinda alidai bungeni kwamba kama yeye ameshapata majibu ya swala hili
lakini utokana na mtu huyo kuteuliwa na rais anaitaji kusubiri mapaka rais
aje...
Political analysts, the ordinary public and international community argue that Africa has one big problem to solve which is leadership, especially political leadership. The Mo Ibrahim Foundation...
Edward Lowassa, Prime Minister in the first two years of the Kikwete presidency, was at different times Minister of Lands and Minister of Water. Lowassa systematically used his position to extract...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.