Redio uhuru yaishambulia chadema bungeni, yaanika ccm zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Redio uhuru yaishambulia chadema bungeni, yaanika ccm zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Jul 29, 2011.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ukisikiliza kipindi cha habari an matokeo cha redio uhuru.redio ya CCM utahisi kuna kitu kimejificha.
  Kwa mfano. Leo katika kipindi chao cha bungeni. Wametoa sauti ya mbunge wa Jimbo la zamani la John Machela (sijumjui kwa sababu alivyozungumza sikutaka hata kujua jina lake )aliechangia wizara ya mambo ya ndani nchi kwa kulipongeza jeshi la Polisi kulinda VX na kulinda dhabau za wabunge wanawake na pia kuwashughulikia wanaokataa amri halalai ya polisi ambayo ilikuwa wazi ni kuishambulia Chadema.
  Lkn kilichonishangaza ilipokuja habari ya Baraza la wawakilishi huko Zanzibar , walizungumzia kubanwa kwa CCM na wawakilishi wa Cuf + CCM mlengo wa kushoto kuhusu swala zima la Ufisadi.
  Redio hiyo ya CCM ilimwaga radhi kwa kueleza kila kitu jinsi ya CCM inavyobanwa huko Zanzibar.
  Mara Ufisadi waitafuna smz, mara mwakilishi Jusa aituhumu Wizara kwa kununua majenereta kwa kutumia rushwa. Mara wawakilishi wataka uchunguzi ufanyike juu ya Jengo linaloruka rushwa.mara wawakilishi waifanya smz kuwa makini zaidi ktk utendaji wake wa kazi , mara baraza la wawakilishi sasa lawa chombo rasmi cha wananchi juu ya kuibana Serekali . yaani radhi kwenda mbele ,ukisikia habari za zanzibar kuhusu ccm inavyobanwa sikiliza redio uhuru. Yaani kila kitu kweupe.
  Lkn ukija bungeni huchukuliwa viapnde vya maneno vya wabunge wa ccm wanaoshambulia wapinzani na kuisifu ccm. Ukitaka kuudhuka basi sikiliza redio uhuru an kipindi cha bunge.
  SWALI: KWANINI ZANZIBAR WAWE - SIDE NA BARA WAWE +.? Jee waandaji wa kipindi hawana kifua cha kuhifadhi siri za Chama Zanzibar?

  HAYA SIO MASIFA NI UHALISIA
   
 2. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  unazidisha chumvi, siamini kama unachaondika kina ukweli
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,947
  Trophy Points: 280
  sasa unashangaa nini? hii redio ni ya ccm pure ..
   
 4. t

  thatha JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kama wewe magamba hiari yako. huo ndioukweli
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kwanini iswe na bara kuicahmbua ccm? au zanzibar hakuna wabunge wanaopongeza?
   
 6. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umesema vizuri mkuu,lakin uwe una-edit thread zako kabla ya kuzipost.
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  thanks. lkn si umefahamu?
   
 8. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,081
  Likes Received: 1,380
  Trophy Points: 280
  kwani hujui kuwa io ni radio ya kueneza propaganda za magamba na sasa hv wameingia ubia na radio clouds ktk kuwatukana upinzani,hata ukifatilia watangazaji na wafanyakazi wake wote asilimia kubwa ni watoto wa mafisadi,usiishangae sn
   
 9. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Jamani yaani mna mda wa kusikiliza radio uhuru yaani radio ccm? Mimi na nyumba yangu radio uhuru ni marufuku, tumeamua kumtumikia bwana.
   
 10. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa na haraka ya kupost?
   
 11. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  na wewe ulikuwa unatafuta nini huko radio uhuru
   
 12. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kusikiliza UHURU na clouds ni kukosa uzalendo, kwani nini zaidi wanatangaza zaidi ya kuupa nguvu itikadi zao za MAGAMBA kwa namna nyingine redio clause nayo ni gamba, pia redio uhuru ni gamba ya nini kupoteza mda wa kusikiliza magamba wenzako tuiliacha mada na wala hatutaki kuchafua akili zetu kwa kuwasikliza Vibonde.
   
 13. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,882
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Kama unataka kupata mtindio wa ubongo ww endelea kuskiliza radio Uhuru
   
Loading...