Lipumba awe waziri wa fedha na uchumi

kibajaj

Senior Member
Apr 12, 2011
106
26
Wana jf kutokana na uhalisia uliopo juu ya mahusiano ya CCM na CUF katika siasa napendekeza lipumba kuchukua nafasi ya Mkulo kwa manufaa ya taifa hili kama ifuatavyo

1.Ni mchumi aliyebobea
2.Alishawahi kuwa mshauri wa kiuchumi katika nchi za Uganda Botswana na kwingineko
3.Anaweza kufanya maamuzi ya kiuchumi zaidi ya Mkullo ambaye ameshindwa kufanya hivyo

Sasa vile kigezo cha kuwa waziri ni kuwa mbunge agombee igunga theni Tumuombe Vasco da Gamma amteue waziri wa fedha ili kusaidia miaka minne iliyobaki jambo kutuokoa manake uyu jamaa kasafisha hazina
 
unajua kilichomwondoa huko? he is so bogus
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom