Mjadala wa Vijana na Mchakato wa Katiba Mpya chini ya uratibu wa asasi ya vijana TYVA unaendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala wa Vijana na Mchakato wa Katiba Mpya chini ya uratibu wa asasi ya vijana TYVA unaendelea

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by HomeSweetHome, Jul 23, 2011.

 1. H

  HomeSweetHome Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vijana mbalimbali kutoka asasi za vijana, shule za sekondari, wajariamali, vyuo vya elimu ya juu na vijana wa makundi mbalimbali wapo katika Mjadala wa Vijana na Mchakato wa Katiba Mpya hapa katika ukumbi wa Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni. Nikipata nakala ya mada iliyowasilishwa nitaituma hapa.Karibuni wadau
   
 2. M

  MLG New Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina bahati mbaya sana niko safarini na ninasikia kwenye gari pasipo usikivu mzuri. Kuna mtu anawezajua marudio hasa katika redio na/au TV ni lini na saa ngapi?
   
 3. Money Maker

  Money Maker Senior Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado siku chache watanzania wataingia barabarani,hali siyo shwari!
   
Loading...