Jukwaa la katiba siku ya Jumamosi karibuni - wiki hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jukwaa la katiba siku ya Jumamosi karibuni - wiki hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kisendi, Jul 27, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana Jukwaa la katiba,
  Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimetualika wanajukwaa wote kushiriki mdahalo wa Katiba utakaofanyika Ubungo Plaza siku ya Jumamosi Tarehe 30/07/2011 saa 3-7 mchana. Wasemaji wakuu ni Wakili Francis Stola wa Tanganyika Law Society, Wakili Magdalena Rwebangira wa TAWLA na Mr. Bashiru Ally wa UDSM.
  Mratibu.
   
 2. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Na sisi tulioko Rorya tufanyeje ili tupate huo uhondo?
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Pamoja tutaattend
   
 4. Beso

  Beso JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wadau kutakuwa na mdahalo wa katiba jmosi hii tarehe 30/01/2011 katika ukumbi wa crystal ubungo plaza,watoa mada ni bashiru ally,deus kibamba na wakili francis stola.
  Mdahalo utarushwa live itv saa nne asubuhi.
  Source:itv.
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Issue umeme ndugu yangu,hop radio ONE WATARUSHA PIA
   
 6. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nathani utakuwa umekosea kuandika mwezi. Ungawa utakuwa umeeleweka.
   
 7. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mtarusha matangazo kupitia chanel zipi za tv na radio?sio wote tupo dar au tunaweza hudhuria.kazi nzuri.
   
 8. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mdahalo utafanyikia wapi mbona husemi mahali pa kukutanikia ?
   
 9. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huo mdahalo ni wa maana kuliko kwa ustawi mzuri wa taifa letu hivyo sharti nihudhurie. Lakini, je umeme utaturuhusu??????????????????????????????
   
 10. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Na siku hyo umeme lazma ukatwe
   
 11. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Nasita kuhoji maana hata kuuona ngeleja atanibania
   
 12. Beso

  Beso JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ooh yes! Nadhani kuwa na hofu ya mgao hivo haraka nkidogo.
   
 13. mtweve

  mtweve Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwa wadau wa katiba mpya na wapenda nchi yetu,kesho kutakuwa na kongamano la katiba pale ubungo plaza kuanzia sas tatu asubuhi mpaka saa saba mchana. mada ni "mchango wa wanafunzi wa elimu ya juu kuelekea katiba mpya" pamoja na kwamba hli ni kwajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu,watu wote mnakaribishwa sana. kongamano hili limeandaliwa na kituo cha sheria na haki za binadamu(LHRC) kwa kushirikiana na vyama vya haki za bidamu vyuo vikuu vya dar es salaam. unaweza ukapiga 0714 731006 au 0753 380 229 kama unataka maelezo zaidi
  ALUTA KONTINUA...
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  dah bahati mbaya sana majukumu yamenibana i wish ningekuwepo kuichanachana katiba mbovu ever to be written chini ya jua hili la maanani
   
 15. mtweve

  mtweve Member

  #15
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  chech itv au sikiiza radi one
   
 16. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  dah lini mtafanyia kongamano kama hilo uku Mtwara, hata na sie binadamu jamani na kuna vyuo vikuu pia uku
   
 17. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Tutafuatilia, i hope Ndugai atafuatilia
   
 18. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mdahalo umeanza, rais wa Tanzania lawa society ndo anaongea sasa........kabla ya hapo kulikuwa na shukrani kwa waandaaji
   
 19. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  antoaumuhimu wa katiba.......katiba ni mkataba kati ya viongozi na wananchi
   
 20. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anamnukuu nyalali alisema "ni muhimu kuelewa mambo yaliyopita ila tuepuke kuish maisha yaliyopita"
   
Loading...