Wabunge wa Tanzania na siasa za Kishabiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa Tanzania na siasa za Kishabiki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kibajaj, Jul 30, 2011.

 1. k

  kibajaj Senior Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tofauti kabisa na nchi nyingine Africa na hata duniani Wabunge wetu wamekuwa bado na mtazamo duni wa kuendesha siasa za kishabiki Bili kutazama Maslahi ya nchi. Ni mara nyingi tuneona viongozi wa ngazi za juu kabisa wakifanya mambo huku wakipendelea maslahi ya chama fulani.
  Hivi karibuni tumeshuhudia wabunge wakifany michezo ya kuigiza bungeni, pale mtu alipogusa maslahi ya chama ulani then lazima migongano itokee. Hivi ni nin kilizuiya Jairo asifukuzwe kazi MOJA KWA MOJA tena na Kufunguliwa mashtaka ? Je nini kinasababisha beatrice shelukindo atishiwe kuuawa yote haya yanadhihirisha wazi kuwi siasa zetu ni za kishabiki na hazilengi maslahi ya taifa.

  Kwa nini usimame uunge mkono hoja ya jambo fulani kisa tu eti unalinda maslahi ya chama! Yan mtu anasimama anatoa tax holiday ya miaka kumi then inaungwa mkono watu wakipinga na kuhoji eti hizo ni kauli za wapinzani. Jamani siasa zetu ziwe kwa maslahi ya Taifa na ya vyama
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  wabunge wengi hawajui wajibu wao na hasa wa ccm kwa kufikiria kuwa ni wajibu wao kujiona wao wanawajibika kwa serikali baada
  ya wananchi waliowatuma. waliotengeneza mfumo wa bunge wakiona kinachoendelea TZN watasikitika sana kuwa bunge limegeuzwa kuwa
  kikao cha wakuu wa wilaya na kukomoana, haki za minority ktk bunge hazilindwi. ni aibu kwa kweli. spika anafumbia macho rushwa za wazi kabisa
  in the name of mwanaccm mwenzagu. it is shame.
   
Loading...