Ushauri wa bure kwa CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa bure kwa CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nditolo, Jul 29, 2011.

 1. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Napeda kuishauri CCM bure bila malipo, ili msijepigwa mawe tena na watanzania kama sio watanganyika (sio KANGE wala MWANJELWA au TUNDUMA peke yake bali hata Msoga) zingatia haya;-
  1. Fukuzeni spika na wasaidizi wake wote ili kupunguza nuksi
  2. Wapeni elimu wabunge wenu ambo hawajui uwepo wao bungeni
  3. Mwenyekiti wenu apunguze safari zisizokuwa za lazima
  4. Mawaziri wenu waelimishwe namna ya kujibu hoja na sio vijembe kama vya mipasho ya kwenye taarabu
  5. Acheni kubeza upinzani hasa CDM wote na NCCR wale wanaotokea Kigoma, maana kwasasa hakuna mwananchi anaewaamini CCM
  6. Polisi waelimishwe na wajue kazi yao kwamba wasiifanye kisiasa
  7. Acheni kutumia vyombo vya habari vya umma hasa TBC, kama vyenu CCM na si wananchi
  8. Acheni kuhusisha familia zenu na madaraka au uongozi (watoto wenu kujifanya viongozi pia) Rz1.
  9. Harakisheni mchakato wa katiba, maana mlichaguliwa na tuma kwa matokeo ya kupikwa wala sio kura halali zilizopigwa.
  10. Polisi waache kuwasweka ndani wanaharakati wa upinzani maana wanazidi kuwa maarufu kuzidi kawaida maana sasa WABUNGE WA UPINZANI WANJULIKANA KULIKO HATA SODA AU HATA RAIS
  11. Acheni kuwadanganya waislamu kuwa CCM au CUF ndio vyama vyao maana kwa kufanya hivyo wenye uelewa mdogo wanayapokea kama yalivyo
  Zaidi ya hapo Lukuvi, Lusinde, Jenister Mhagama, Wasirra, Sitta, Nape, Pinda, Kombani Werema na wengine wengi sana waelimisheni kwenye vikao vyenu wajue kazi za bunge na wananchi wanataka kusikia nini kutoka kwao la sivyo KAANANI MTAIONA KWA MACHO.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Well said. I salute you. Lakini hawa magamba hawawezi kufanya ingawa naamini kuna wachache baadhi yao wana muono kama huo.
   
 3. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nice one mwenye macho haambiwi tazama.
   
 4. O

  Olive Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  CCM wameona hizo amri 11 za raia wa Tz?wakizifuata hizo nchi ye2 mbona ita kua real tazama ramani utaona nchi nzuriii,yenye mito mingi na...malizieni.
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,058
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Colonial rule planted seeds for its own destruction
   
 6. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Gamba haliwezi kuhisi hoja.
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hii post imenikosha... If beggars where choosers...
   
Loading...