Tunamuomba Dr. Slaa hapa JF J'pili tarehe 31 July

Status
Not open for further replies.

zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,831
8,621
tunaomba Dr.Slaa uje tena JF ajibu maswali ya moja kwa moja,
yapo mengi ya kukuuliza hasa kipindi hiki mfano:-
  • giza totoro na majibu mepesi ya rais na mawaziri,
  • bahasha la jairo.
  • kujivua gamba kwa RA.
  • sakata la madiwani wa arusha.
  • umaskini unaozidi kukua na gharama za maisha.
 
mods tunaomba muwasiliane na Dr.Slaa mumuombe aje tena JF ajibu maswali ya moja kwa moja,
yapo mengi ya kumuuliza hasa kipindi hiki mfano:-
  • giza totoro na majibu mepesi ya rais na mawaziri,
  • bahasha la jairo.
  • kujivua gamba kwa RA.
  • sakata la madiwani wa arusha.
  • umaskini unaozidi kukua na gharama za maisha.

Naunga mkono hoja
 
Hivi Mods kazi yao kuita viongozi wa siasa humu JF kuja kujibu maswali! Pro-TLP-JF na wenyewe wakitata mods wamlete Mrema, jamvini msikitae
 
Hakika itakuwa fursa nzuri sana hasa suala la Jairo naona ni serious lakini Chadema hawajapaza sauti inayofanana na hali halisi.
 
mods tunaomba muwasiliane na Dr.Slaa mumuombe aje tena JF ajibu maswali ya moja kwa moja,yapo mengi ya kumuuliza hasa kipindi hiki mfano:-
  • giza totoro na majibu mepesi ya rais na mawaziri,
  • bahasha la jairo.
  • kujivua gamba kwa RA.
  • sakata la madiwani wa arusha.
  • umaskini unaozidi kukua na gharama za maisha.
JF, sio ya CDM ni puplic forum debate, mtu yoyote anaruhusiwa kujiunga na kuja kutoa michango yake sio kutafutwa kuja kuchangia! CDM si mnayo site yenu mnaweza kumuita huku mkamuuliza hayo maswali yenu
 
Mimi I promise pamoja na kwamba Dr.Slaa ni member hapa lakini nampa hiili link ataamua yeye kama ana muda atajibu tu hana mchezo yule .Now kaeni tayari nitaleta majibu ya ndiyo au hapana .

Wanao umia kwa Slaa kujibu hapa waendelee kuumia .Viongozi wao vilaza cannot cope na uhalisia wa JF .Kuna thinkers hapa na kuna sinkers ambao mtawatambua kwa michango yao ya kijing jinga.
 
Mimi naomba Lunyungu umpe na Josephine hii link aje aongelee kuhusu
1. Kuvamiwa kwake na majambazi
2. Gari alilokuwa anatumia kuwa na kadi yenye jina la mume wake wakati anaishi na mume mwingine.
3. Na amaejiandaa andaa vipi kuzuia matukio kama hayo

natanguliza shukrani.
 
Hii yako ni ya kijinga haina manufaa kwa Taifa nenda nayo huko ambako wana fisadi Nchi.Mada ya maana nimesha wasiliana na mkuu Slaa nangoja aseme.
 
Mimi naomba Lunyungu umpe na Josephine hii link aje aongelee kuhusu1. Kuvamiwa kwake na majambazi2. Gari alilokuwa anatumia kuwa na kadi yenye jina la mume wake wakati anaishi na mume mwingine.3. Na amaejiandaa andaa vipi kuzuia matukio kama hayonatanguliza shukrani.
kama ungekuwa wa k@ke hakika ningeshakupa mimba kwa jinc ulivyo na kihere here chako
 
Hivi majibu ya maswali haya anayo Dr Slaa au Nape/Mukama/Chiligati/Kikwete? Mbona hakuna uhusiano kabisa? Dr Slaa aseme nini kuhusu giza na yeye hana uwezo hata wa kuagiza serikali ibadili sheria ya manunuzi iili mitambo ya mitumba inunuliwe kunusuru hali iliyopo?

Issues mlizoziibua hapa naona hata hazihitaji majibu ya Dr. Slaa bali ya Nape Nnauye. Mbona na yeye ni member wa JF? Kwa nini msimwambie Mod amuite Nape hapa aeleze ni kwa vipi wanashughulikia haya yaliyopo. CCM kama chama kinachoongoza serikali kina mamlaka ya kuiagiza serikali kutekeleza mambo kadha wa kadha ambayo yanaonekana kuwa ni mzigo kwa wananchi. Sasa Slaa atafanya nayo nini?

Mwiteni Nape, muacheni Slaa afanye mambo mengine ya msingi kwa chama.
 
mods tunaomba muwasiliane na Dr.Slaa mumuombe aje tena JF ajibu maswali ya moja kwa moja,yapo mengi ya kumuuliza hasa kipindi hiki mfano:-
  • giza totoro na majibu mepesi ya rais na mawaziri,
  • bahasha la jairo.
  • kujivua gamba kwa RA.
  • sakata la madiwani wa arusha.
  • umaskini unaozidi kukua na gharama za maisha.
Atakuja tu, Dr. Slaa ndio jembe letu!
 
Hivi majibu ya maswali haya anayo Dr Slaa au Nape/Mukama/Chiligati/Kikwete? Mbona hakuna uhusiano kabisa? Dr Slaa aseme nini kuhusu giza na yeye hana uwezo hata wa kuagiza serikali ibadili sheria ya manunuzi iili mitambo ya mitumba inunuliwe kunusuru hali iliyopo?

Issues mlizoziibua hapa naona hata hazihitaji majibu ya Dr. Slaa bali ya Nape Nnauye. Mbona na yeye ni member wa JF? Kwa nini msimwambie Mod amuite Nape hapa aeleze ni kwa vipi wanashughulikia haya yaliyopo. CCM kama chama kinachoongoza serikali kina mamlaka ya kuiagiza serikali kutekeleza mambo kadha wa kadha ambayo yanaonekana kuwa ni mzigo kwa wananchi. Sasa Slaa atafanya nayo nini?

Mwiteni Nape, muacheni Slaa afanye mambo mengine ya msingi kwa chama.
Mkuu, serikali ya chama cha mapinduzi inchi imeshawashinda, imani ya watanzania maskini wanaopenda nchi yao tunaona kabisa tunaibiwa na hawa mafisadi mkuu, Kikwete, Nape, Mukama hata huyo waziri mkuu hakuna hata mmoja anaeweza kujibu hizi shutuma... ndio maana umefika wakati mwafaka wa yule ambayo matokeo yake ya uchaguzi mkuu wa raisi 2010, yalichakachuliwa..Dr Slaaa tunakuomba uje ukoe hili taifa maana likisha angamia basi mjue tutaulizwa wote, hivyo Slaa njoo ukoe hili taifa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom