Ezekiel Wenje awasha moto Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ezekiel Wenje awasha moto Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jaxx, Jul 29, 2011.

 1. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wenje akichangia bungeni leo amesema afadhali alale Selo(Polisi) kuliko kukaa kimya huku nchi ikiliwa na wakubwa, Na kasema haoni kwanini traffic police akomaliwe kwa Tshs 20,000 wakati wakubwa wanakula mabilion,Ameonekana akirudia rudia sana kuapa kuwa HAKI YA MAMA.Mwisho kwapongeza Wabunge wote wa Upinzania waliolala Selo kuwa ni kitendo cha Ujasili maana '' FREEDOM IS COMING TOMORROW''
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,055
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Naunga mkono, maana umbombozi waja kwa wachache kuteseka, kuuwawa na dhuruma dhidi yao
   
 3. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono hoja 100/100

  FREEEEEEEEEEEEEEEEEEdommmmmmmmmmmmmmmm is comming tomorrowwwwwwwwwwww

  Peoples POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR
   
 4. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 931
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  It's true!
   
 5. C

  Chogo matata Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mateso,chuki,dharau,maisha magumu yanakaribia kuisha 2015 chadema wanachukua nchi,viva chadema aluta continua.
   
 6. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mbunge wa jimbo la nyamagana Mh.Wenje(CHADEMA) amewasha moto bungeni na kusema kuwa yupo tayari kwa lolote,wenje alitoa maneno hayo kipindi akichangia hotuba iliyosomwa jana na waziri wa wizara ya mambo ya ndani.Katika mchango wake anasema nchi kama Rwanda ukichaguliwa kuwa waziri au naibu waziri,unakosa amani,kwasababu unakuwa karibu na jela(gereza)anasema kagame anamchezo hata kidogo,Leo hii hapa kwetu unachaguliwa kuwa naibu waziri unafanya sherehe kubwa sana,kwasababu unajua unaenda kufanya madili,kama kagoda,richmond,radar na mengine mengi tu.
  Nawakilisha.
   
 7. M

  Mzee wa Posho Senior Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Moto uko wapi?
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,506
  Likes Received: 1,341
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Haitafika huko wananchi tumechoka na ufisadi!
   
 9. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,877
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  dah sa kama kawasha moto si waite fire brigade? Au gari hazina maji!!!????
   
 10. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanasheria mkuu amewabeza CDM
   
 11. L

  LINOTUNOTU New Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mtaji huu nadhan hakuna wa kumsimamisha 2015. co kama lile ***** la magamba ambalo kila cku lilikua linaonekana club likitumia gari za serikali
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,627
  Likes Received: 11,536
  Trophy Points: 280
  utauona wapi moto wakati wewe ni mzee wa posho
   
 13. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,051
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Kajitahidi kubalance japo kashindwa kukwepa bias.
   
 14. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Game ni tough hata sijui hatima yetu
   
 15. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kataje angalau tukajue mdau maana umefumba sana!!
   
 16. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #16
  Jul 29, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  hapo kwenye red 100/100=1

  pia naunga mkono hoja kwa 100%, tena ikiwezekana kabla vikao vya bunge hili havijaisha tuingie barabarani.
   
 17. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,867
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wanaume halisi siku zote huongelea ukombozi.
   
 18. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera Mheshimiwa Wenje kwa kuwaeleleza ukweli. Wakubwa wanakula madeal halafu wanawang'ang'ania polisi eti wamezidi kulwa Rushwa.
   
 19. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mwema kama yupo bungeni ni lazma alitoa tabasamu kwa chati.
   
 20. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hongera sana CHADEMA na wao CCM hatuwapendi hata Kidogo maana ni watu wa hovyo hovyo
   
Loading...