Huyu Ndio Ngeleja Mnaetegemea Atatue Tatizo la Umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Ndio Ngeleja Mnaetegemea Atatue Tatizo la Umeme

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by reformer, Jul 28, 2011.

 1. r

  reformer JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukienda siku za wkend club 84 iliyoko Dodoma kipindi cha bunge ni nadra sana kumkosa waziri ngeleja. Lkn kibaya zaidi ni kipindi hiki ambacho nchi iko kwenye crisis ya umeme waziri huyu bado ana muda wa kwenda kukata viono na wanafunzi wa UDOM 84. Hivi mtu kama huyu tuliyemakabidhi wizara nyeti kama hii atakaa saa ngapi na kufikri namna ya kutatua tatizo hili? Inasikitisha kumuona waziri wa wizara nyeti kama hii akiwa dancing floor anashindana na watoto wadogo kucheza kwaito na bolingo saa 8 usiku wakati nchi iko gizani. Watanzania kwa serikali hii ya akina ngeleja matatizo yetu hayatakuja kuisha.
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Why do you depend on people. Don't we have thinkers who can do pro se job? I mean CCM and Tanesco failed, why waiting on the sick man to help healthy society?
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  No comment...nisije nikaongea vibaya hapa nikapigwa ban na mod....nina hasira mno!!!
   
 4. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  1. Unaingilia maisha binafsi ya Ngeleja, wewe ukicheza na watoto wa shule nani anakumulika? Hili sio tatizo kwani wako wengi. Acha
  2. Wewe umeshiriki kumkabidhi Ngeleja wizara, maana unasema "tuliyemkabidhi wizara nyeti". Hiyo hujui hata kapewa vipi, acha.
  3. Unasema nchi iko gizani na muheshimiwa anaruka majoka! Inawezekanaje kucheza muziki katika kiza totoro?

  Jipange upya na uje umshambulie vizuri waziri Ngeleja
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Rais legelege huunda baraza la mawaziri legelege. Amechagua vilaza wenzake kwani angeteua mawaziri wenye uwezo wangemfunika. Alaaniwe JK,ilaaniwe CCM, lilaaniwe baraza lote la mawaziri na walaaniwe wabunge wote wa CCM.
   
 6. MashaJF

  MashaJF JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Unapo amua kuwa kiongozi maisha yako binafsi yanahusu jamii, kama hutaki kumulikwa usigombee uongozi uone kama kuna mtu atakufuatilia(labda magazeti ya udaku ya bongo).
  Atleast ukiperform watu wanaweza kupima na kukuelewa lakini kama hau perform watu wanakuwa na mashaka kwamba ume elemea upande wa starehe na kushindwa kutimiza majukumu yako.


   
 7. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  unasahangaa nini kwenye serikali ya kishikaji? tatizo la umeme hawaliju kama nitatizo maana wana generator majumbani kwao pia raha jipe mwenyewe ndio maana ukiangalia wizara nyingi hazina mwelekeo mzuri nje ya kusikia leo hili kesho lile tena mambo ya ajabu ajabu hata mtoto wa darasa la saba hawezi kufanya akipewa wazifa kama Ngeleja lakini kwa kutokujua yeye anachukulia ni poa tu
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Bado mnamtegemea huyu jamaa kuhusu umeme sidhani kama anajali kama nyie mko gizani
   
 9. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Ngereja angejiuzulu tuu kuheshimu umma. Mawaziri wengi walienda pale Nishati kwa ajiri ya kuiba mikataba ya madini na sio kutatua tatizo la umeme.
   
 10. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  1. jaribu kuwa mwelevu kwani hapo ujumbe ni kwamba alitakiwa kuwa occupied na mambo ya ofisi kwani anaonekana kuwa na muda mwingi sana; hivi wakati wa mitihani wanafunzi si huwa wako busiest, basi naye anatakiwa kuwa kama wanafunzi kwani ana assignment ngumu sana ambayo inataka muda wake mwingi. Kama yupo macho mpaka saa nane usiku unategemea Bungeni atafanya nini? Sleeping?

  [​IMG] [​IMG]

  2. Kila aliyemchagua JK ameshiriki kumpa Ngeleja wizara hiyo, pia wizara hiyo kapewa kiushikaji, pia huyu mtoa mada yawezekana ni mshikaji na mshauri wa JK kwani mwaka 2010 kwa CCM Urais ulikuwa ni suala la kifamilia!!!

  3. Hapa mimi nashindwa kuelewa uwezo wako wa kupambanua mambo; hivi huo ukumbi wa disco hauna powerful standby generator? Au line inayoelekea kwenye ukumbi huo ulitakiwa kuwa na umeme kwa sababu yeye alikuwa hapo, kwani kiongozi yeyote ambaye yupo kwa maslahi yake binafsi ni rahisi kuamrisha umeme uwepo pale na kwingine kubaki giza ili aweze tu kutimiza azma zake binafsi.
   
 11. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  inaonyesha umetumwa wewe si bure
   
 12. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Kwenye hii picha Vasco da Gama II anaonekana anafatilia mambo. Huyo Ngeleja kalala. Kwanza ni fedheha unalala mbele ya bosi wako wakati wa kazi. Hilo peke yake lingemtosha Vasco kumtimua kazi. Tatizo Vasco naye kilaza tu.
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,290
  Likes Received: 19,438
  Trophy Points: 280
  Kila mtu ale urefu wa kamba yake
   
 14. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  1. Unaingilia maisha binafsi ya Ngeleja, wewe ukicheza na watoto wa shule nani anakumulika? Hili sio tatizo kwani wako wengi. Acha Wewe maisha binafsi unayajua? Pale Club84 ni nyumbami kwa ngeleja au ni mahala public?
  2. Wewe umeshiriki kumkabidhi Ngeleja wizara, maana unasema "tuliyemkabidhi wizara nyeti". Hiyo hujui hata kapewa vipi, acha.Nchi tulimpa Kikwete naye kamkabidhi huyu hii wizara kwa hiyo ni sawa na sis kumkabidhi
  3. Unasema nchi iko gizani na muheshimiwa anaruka majoka! Inawezekanaje kucheza muziki katika kiza totoro?Wewe humtndei haki huyu mtu ngeleja.....kwani umeme lazima utoke TANESCO kwa yeye kuruka majoka? Hata nyumbani kwake hana mgao na usiniuklize anatumia nini.........jaribu kufikiri kabla ya kutetea ujinga unless u mjinga
   
 15. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hakuna cha maisha binafsi mkuu
  huyu jamaa ni mtu wa muhimu na anendesha wizara muhimu sana katika nchi yetu
  tungepata mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko yeye
   
 16. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe Ngeleja uko hapa? Ulichaondika hapa kinaonyesha jinsi ulivyo mtupu ndani ya hili skul lako.Utaendeshaje wizara hata kama isingekuwa nyeti hata kidogo kwa akili hii? Sh*****z
   
 17. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo ukiwa kwenye matatizo ndo usipate burudani?mwacheni ajiburudishe maana kila kukicha maneno kwake,na pole kama hadi leo unawategemea tanesco wakupe mwanga nunua solar...
   
 18. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Pls tembea na digital camera au simu yenye uwezo wa kupga picha then ukimkuta dancing floor mpige picha then utuwekee hapa JF ,,
   
 19. delabuta

  delabuta Senior Member

  #19
  Jul 29, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuyafanya mambo hayo utotoni ndio maana sasa hivi anahangaika nayo
   
 20. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I was surprised to hear the news that Ngeleja maintained his portfolio. I would rather he get a different portfolio. He has been in 6 years now. Migao inazidi.
   
Loading...