Sitajiuzulu kwa sababu ya Mgawo wa Umeme - Ngeleja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitajiuzulu kwa sababu ya Mgawo wa Umeme - Ngeleja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MziziMkavu, Jul 30, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [TABLE]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]WAZIRI wa Nishati na Madini, Willium Ngeleja amesema ni ngumu kujiuzulu kwa kuwa tatizo la umeme si la wizara yake pekee na kuwafumba midomo wale wanaotaka ajiuzulu licha ya Bajeti yake kukataliwa Bungeni[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Aliyasema hayo Mjini Dodoma wakati wabunge wengi wakitaka ajiuzulu mara tu bajeti yake ilipokataliwa bungeni kwa kuonekana hotuba hiyo haionyeshi tatizo la umeme Tanzania litaisha lini

  Hivyo Ngeleja alisema hawezi kujiuzulu kutokana na matakwa ya watu na kujitetea kuwa tatizo hilo si lake peke yake bali ni tatizo la serikali nzima

  Wabunge wanamtaka ajiuzulu ili kuwapisha watu wengine wanaoweza kukabiliana na wizara hiyo ili kuweza kuondoa tatizo la giza linaloendelea nchini ambao umeme linaonekana ni janga la kitaifa kwa kuwa watanzania hawana uhakika wa umeme

  “Bajeti si ya wizara pekee, na mimi si ndiye niliyetenga kiasi cha fedha kinacholeta utata, muhimu tukae chini kwa muda tuliopewa kutafakari tufanye nini ili kuweza kulinusuru Taifa kuondokana na janga la umeme nchini, kuliko kunitaka kuachia ngazi” alisema Ngeleja

  Wizara jhiyo imepewa muda wa wiki tatu kuja kutoa bajeti hiyo upya na kufafanua ni jinsi gani wamejipanga kukabiliana na tatizo la umeme linaloendelea nchini kote

  Tatizo la umeme ni janga sugu linaloendelea nchini Tanzania ambapo wajasiriamali wengi kuonekana kufunga ofisi zao kutokana na kukosekana kwa umeme kwa muda mwingi wakiwemo Saloon, Stationary, migahawa ya vinjwaji baridi, wanaotumia mashine mbalimbali ikiwemo na mashine za kusaga nafaka na hali hiyo kupelekea kuondoa ajira za watu waliokuwa wakiendesha ofisi hizo[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [/TR]
  [/TABLE]


  Chanzo: NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
   
 2. HT

  HT JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Anayosema ni kweli kabisa. Tatizo halikuanzia kwake, hivyo kuna wengi wa kuwajibika. Katika wengi hao, Ngeleja ni mmoja wao!
   
 3. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  La mgao wa umeme kuwa historia? Lilianzia kwa nani? Atajiuzulu kama mgao hautakuwa history of course!!!
   
 4. k

  kibajaj Senior Member

  #4
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajiuzulu afe njaa?
   
 5. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kweli atakufa njaa .RA nguvu yake ndo hivyo tena hana ujanja tena huyo Njegele ahhh Ngereja
   
 6. D

  Dr. Kato Member

  #6
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajiuzulu, anatuletea zengwe tu, watu hatufanyi kazi kwa ujinga wa wizara for several years hii wizara imejaa utumbo na upupu mtupu.

  Either the govt is not serious with the welbeing of its people or there might be a good number of 'bird brain' people who don't have uchungu at all bcoz wao wana majenereta ambayo sie wananchi kodi zetu ndiyo wananunulia mafuta.

  Let's try waishi kwa mshahara walipie mafuta for running their generators am pretty sure watabadilika fikra but nani wa kumfunga paka kengele.

  At one time we were told by some people tukawaona wajinga example aliyekuwa katibu mkuu b4 Mhando, tulikuwa na muda wa kujiandaa 4 all these but tuliuchezea lets swallow the pills and we stop lamenting.
   
 7. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,799
  Likes Received: 6,309
  Trophy Points: 280
  Hapa cha msingi ni wabunge kuikataa tena bajeti yake bungeni.

  Sidhani kama watakuja na jipya tena zaidi ya nadharia na porojo tu na kuweka vitu ambavyo deep down in their hearts wanajua havitekelezeki, lengo ikiwa ni kupitisha bajeti mwaka huu tu na kusuburi mengineyo mwakani tena
   
 8. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  atajiuzulu kwa maandamano ya wananchi!
   
 9. p

  politiki JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Ni kweli hata kama tatizo halikuanzia kwako that does not mean you cannot be held accountable.

  He is a part of the problem, anaombwa kujiuzulu kwa sababu ya yeye kukosa solution ya matatizo ya umeme nchini hata dokta ugonjwa unamposhinda ujitoa na kumuachia mwingine na linigine linalopigilia msumari wa mwisho ni swala la Jairo.

  Kwa hiyo huyu hivi sasa is dead man walking kwani you have to be out of your mind not know what is going on in your own house.

  Ngeleja was supposed to be fired long time it is beyond me why he is still there!
   
 10. HT

  HT JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapo ktk red unakumbuka "maisha bora kwa kila mtanzania?"
   
 11. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Sisi hatujataka wewe ujiuzulu kwa ajiri ya mgao sie tunataka ujiuzulu kwa uwajibikaji wako mbovu wakuto jali maslahi ya nchi hii.

  Huwezi ukawa madarakani kwa kipindi chote hicho kwenye wizara nyeti Nchi hii ukawa unatupa ahadi kila siku lukuki na sababu ngini za ongezeko za miradi isiyokuwa na utekelezaji na hakuna majibu au suruhisho la umeme limetendeka.

  Still unasema hujiuzulu huoni hata haya mbele ya watanzania?
   
 12. HT

  HT JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Curiously, by who?
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  akikutana na nguvu ya uuma atakubali... even mubarakalisema hivi lakini sasa hivi anagoma goma kula
   
 14. H

  Heri JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Akitaka kupata heshima ajiuzulu. Kosa ndiyo siyo lake lakini kisiasa anawajibika.

  Yeye kama Ngeleja amefanya nini kurekibisha hayo makosa ukizingayia kuwa amekuwepo kwenye hii wizara kwa muda tangu akiwa naibu waziri.

  Anataka kutuambia kuwa bado anataka kuendelea kubaki hapo. Kama akibaki atafanya nini kipya.

  My take hata asipojiuzulu atarudi kuwa back bencher muda siyo mrefu.
   
 15. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Uliona wapi, tangu lini mawaziri wa CCM kukubali kosa? Wamelelewa hivyo na Chama chao hatushangai bwana
   
 16. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,799
  Likes Received: 6,309
  Trophy Points: 280
  Ngeleja hawezi kujiuzuru. Hatuna utaratibu huo. Boss wake kimsingi keshasema tatizo la umeme si kosa la Ngeleja - ni kosa la Mungu kutunyima mvua
   
 17. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Ni kweli tatizo la umeme ni story ndefu. Lakini mheshimiwa hii kashfa ya mlungula unaionaje? Kusimamishwa kwa katibu wako ni dhahiri wizara yako ni usanii mtupu. Jairo hakufikia uamuzi ule peke yake. Wewe na Malima achieni ngazi kama EL na Msabaha. Msingoje rais awang'oe, jiheshimuni tafadhali.
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  we acha tu...
   
Loading...