Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam: Pamoja na kwamba huwezi kutenganisha moja kwa moja ''role" ya marais walioongoza nchi hii kwa vipindi mbalimbali na historia ya Tanzania, mwelekeo unaoonekana hasa katika vyombo vingi vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati mwingine huwa napitia Ilani za uchaguzi za CHADEMA za 2005 na 2010 nakujiuliza ni kwa nini watanzania hawakuichagua kuongoza nchi kwenye chaguzi hizo zilizopita. CHADEMA linapokuja swala la...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama kiapo kile hakitaji uaminifu wake kwa katiba ya jamhuri ya muungano hapo ndipo makosa yanapo anzia, nakubaliana kiapo chake alichokiapa Dar ilikuwa ni kumdhalilisha hasa. Yeye kama Rais...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanajF nimeleta thread hii baada ya kukosa majibu kuwa taasisi ya Urais [Presidential Power] je ni mali ya Watanzania au ni mali ya kajikundi ka watu?Kwanini nasema hivyo kwa kuwa humu ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Waandishi Wetu Wilson Mukama, Katibu Mkuu wa CCM MKUTANO wa viongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) unaoendelea Dar es Salaam umekumbwa na jaribio la kufanya uasi dhidi ya baadhi ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
NI MAONI binafsi naomba mchango wenu ili kupunguza speed ya gari letu ambalo linakwenda 399 km-ccm2015!
0 Reactions
111 Replies
8K Views
Na Hellen Mwango Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi James Mbatia Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi James Mbatia ambaye anaishtaki Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) amedai mahakamani kwamba...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wameutwaa urithi wetu wakagawana; Urithi huo waliogawana wamemegeana vipande vipande na kurithishana wao na watoto wao! Urithi wa taifa letu umekuwa wa kwao peke yao na sisi wengine tumeachiwa...
0 Reactions
50 Replies
10K Views
Mwaka Jana TANROADS walikuwa wanadaiwa billion 300. Hazijalipwa. Mwaka huu TANROADS wanadaiwa 475 billion za Barabara. Sasa kwa nini Serikali ina kiherehere cha kulipa DOwans
0 Reactions
26 Replies
3K Views
MADAKTARI wa Hospitali ya Apollo India, wamefanikiwa kumfanyia operesheni Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambaye alipelekwa huko wiki iliyopita kutokana na kusumbuliwa na maradhi...
6 Reactions
71 Replies
7K Views
mOJA KWA MOJA NINAHISI Waandishi na Tv presenters karibu wote ni wadau wa CCM.mfano jana habari kuhusu CHADEMA saa 2 usiku ilikua kero kupita kiasi, no details on statments.Bora msiseme lolote...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni ajabu na inashangaza.., Katika ziara ya Nape inayoendelea hivi sasa nchini marekani kumekuwa na matukio mbalimbali ambayo katika zama za sasa na upepo wa kisiasa ulivyo hasa ndani ya CCM ni...
0 Reactions
94 Replies
9K Views
Polisi Mkoa wa Arusha imefungua jalada ya uchunguzi dhidi ya kauli ya kuwaita panya wananchi na wanachama wa Chadema inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Arusha (OCD), Zuberi...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Fujo hizi za ‘wanasiasa’ zinatuhatarisha sote Jenerali Ulimwengu NIMEJARIBU kwa njia kadhaa kuonyesha ni kwa nini kizazi cha sasa cha watu wanaojiita wanasiasa hakina uwezo wa kumuenzi Baba...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA TUKIO LA MHE GODBLESS LEMA (MB) KWENDA KWA RUMANDE KWA HIARI UJUMBE WA MSINGI WA KUZINGATIA. 01 NOVEMBA 2011 Ndugu wanahabari na Wananchi kwa ujumla, CHADEMA mkoa wa Arusha...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Posted Date::10/8/2007 CCM kwafuka watishiana kupelekana mahakamani Na Abdallah Nsabi, Maswa MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani hapa, Mkoa wa Shinyanga, Hasani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mbona alipokuwa huko hakusema haya yote mbele yao na kuwaelewesha hao wanzungu ,kaja huku ndio kuongea kwenye vyombo vya habari,hiyo ni siasi ya woga na juhudi za kujijengea jina na kujitafutia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF kwa heshima na taadhima naomba tujadili juu ya tatizo la vurugu zinazolikabili jiji la Arusha kila mara. Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa vurugu katika jimbo hili la Arusha zilianza...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, anaendelea kufanyiwa mazoezi ya bega kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbi (Moi), baada ya kufanyiwa upasuaji hivi karibuni ameitaka Serikali kuisaidia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau ninakumbuka hotuba wa Mwalimu kuhusu nchi zisizo kusanya kodi, ambapo alitaja kuhusu ugiriki nk, na ukiangalia kwa makini nchi zinazo kabiliana na hatima hizo ni Spain Italia na Ureno bila...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…