Nani atukumbushe kiapo cha rais wa serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar

Mghaka

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
320
127
Kama kiapo kile hakitaji uaminifu wake kwa katiba ya jamhuri ya muungano hapo ndipo makosa yanapo anzia, nakubaliana kiapo chake alichokiapa Dar ilikuwa ni kumdhalilisha hasa. Yeye kama Rais anakiapo kimoja tu na kiapo kile ni kuilinda katiba ya Zanzibar ambayo inatakiwa iitambue serikali ya muungano, hiki kiapo kinatoshereza kukidhi matakwa ya kutunza siri za baraza la mawaziri. wajumvi wa mambo ya utawala tujuzeni juu ya viapo viwili kwa mtu mmoja
 
Back
Top Bottom