Nimefuatilia kwenye kipima joto wanaowaunga mkono wabunge wa Chadema kutoka nje ya Bunge wamefikia aslimia 75 na waliosema sio ni kama 24 hivi kama sikose.
Sasa tuje kwa wananchi. Imanii yangu ni...
Mbunge la Mh. Sita lilikuwa na mvuto kwa sababu alikuwa hajali masilahi ya ccm, lakini huyu mama hana lolote, anakataa hoja ya upinzani halafu anaruhusu wabunge kuacha kujadili katiba na kuanza...
Hofu ya sasa ya ccm kwa chadema ni kutokana na ukweli kwamba hiyo 'katiba' mpya itakutana na aibu ya mwaka itakayofanikishwa na cdm na kupigiwa kura za maruhani. Kwa katiba kupitishwa kwa kura za...
Ukiangalia bunge utajua kawamba wanachofanya 85%
ya wabunge wa magamba ni kushambulia utu wa lisu
badala ya hoja iliyoko mbele yao sasa angalizo nia kwamba
hawa jamaa hawajui kwamba wanatumia...
Raisi JK ameingia Dodoma kwa ndege asubuhi ya leo. Kwa muda huu inasemekana yupo ktk kikao na wabunge wote wa CCM ktk ukumbi wa Pius Msekwa.
Moja ya ajenda ya kikao hicho ni kushinikiza wabunge...
Baada ya malumbano kuhusu ni chama kipi kikuu cha upinzan tz kwa sasa,hebu watz 2pige kura hap jf!piga kura mar 1 tu!chagua chama kmj kati y hv
(a)CUF
(b)CHADEMA
(c)NCCR_MAGEUZI.
Andika jina...
Sote tunafahamu mapinduzi ya kweli kule Tunisia yalianzaje, alikuwa ni kijana mmoja aliyetumia muda wake kudili na masomo akawa amehitimu mwisho wake! Hakubahatika kuhajiliwa akahamua kujiajili...
Nimemsikia Mh Kafulila akihojiwa BBC akisema tuwe na a parallel process ya kutengeneza katiba mbadala. Ni obvious ya kwetu itakuwa nzuri zaidi kwa hiyo ni kwenda kuipinga ya kwao bungeni na pia...
Katika hali isiyotarajiwa leo majira ya saa 9 mkuu wa mkoa Arusha aliamuru uvamizi katika kituo cha redio ( jina sikulinasa lakini sio triple A).
Madai ni kuwa kituo hicho kilifanya mahojiano na...
Wazanzibar hawajui wanalolitaka, Bungeni wanautaka Muungano, Mtaani hawautaki Muungano. Hizi ni Tabia za Popo, Si Ndege wala si Mnyama
Wazanzibar kuweni na Msimamo
Najiuliza sana kama Bunge letu kweli linaweza kuwa chombo kinachojitegema. waliotengeneza taratibu au kanuni za kuendesha bunge wanaweza kuthibitisha kuwa labda walikosea au walifanya makusudi...
Kuna mambo matatu (3) siyaelewi kuhusu huu mchakato wa kupata katiba mpya.
1. Suala la katiba mpya lilikuwa siyo agenda ya ccm na wala halikuwa kwenye ilani yake ya uchaguzi wa mwaka jana, na...
There is something seriously wrong with the administration of law and justice by my current government. The country has laws but their administration is selective and unfair, mostly because some...
Sasa hivi inaelekea chama tawala kimeishiwa hoja za nguvu hivyo kulikabidhi jeshi la polisi na la wananchi kushughulikia hoja zote za kisiasa, kiuchumi, kibiashara, kielimu na kijamii kwa kutumia...
Chma cha CUF ni chama kilchotokea kuw maarufu sn tz! Hivi sasa tumeshuhudia unafiki mkubwa wa wabunge wake kukishambulia chama kikuu cha upinzan cdm!prof lipumba amepotea kisiasa,hata hasikiki...
SAFARI ya ghafla ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mabadiliko ya ghafla ya ratiba ya vikao vya Bunge, jana vilizua hofu miongoni mwa wabunge, huku kukiwa na taarifa kwamba huenda muswada wa...
Jamani hivi hii Taasisi ina kazi gani?mbona kila kukicha wao ni kuilalamikia serikali tuu.Mimi sioni wanachokifanya isipo kuwa juzi nimesikia wamezindua kitabu cha hotuba za mwalimu...
Kuna wakati mwingine huwa najisikia vibaya sana kujivunia Utanzania wangu! Kwenye macho ya wengi huwa tunaonekana watu wenye amani sana! Kiukweli sivyo!
Nimeangalia ITV leo kule Meatu! Askari...
Ndugu zangu,
Kwa mujibu wa ratiba za Bunge Ijumaa ya leo ndio kimsingi itaamua mwelekeo wetu kama taifa. Kwamba ni njia ipi Wabunge wetu na hususan wa Chama Cha Mapinduzi wanataka kutupitisha...
NDOTO za Watanzania kupata Katiba Mpya kwa njia ya mwafaka na maridhiano ya kitaifa sasa zinaonekana kuota mbawa kwa sababu mbili kubwa. Kwanza, mwenendo wa wabunge wengi, hasa wa chama tawala...